Vita dhidi ya Rais Samia ni vita dhidi Tanzania, hatutakubali mchafue taswira ya Rais wetu

Rais Samia, Mama Mnyenyekevu, Mzalendo na Mchamungu,
ni kiongozi alitejawa akili za ajabu na mtu mwenye uelewa mkubwa anafanay kazi usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo.

Kikundi cha wapuuzi wachache wanaopambana kuchafua maamuzi na utendaji kazi wa Rais Samia tunatangaza vita kali dhidi yenu kuwa hamtaweza.
Watanzania tuko nyuma na Rais Samia na tutapambana kuhakikisha anaongoza kwa amani.
Wananchi wameanza kuneemeka
Mzunguko wa pesa unarudi,
Biashara zinakuwa watu wanaweza kukopa na kufanya marejesho,
Bandari inaongeza ukusanyaji wa mapato kuliko kipindi kilichopita,
Shule, Hospitali na Zahanati zinajengwa kila mahali nchini,
Hakuna mtu aliyeuwawa wala kupotezwa,
Ma benki wameongeza kukopesha watanzania,
Uwekezaji umeongezeka watu wanakuja Tanzania kuwekeza ili vijana wapate ajira,

Sasa tunatoa onyo kuwa icho kikundi chenu ambacho mnataka kuchafua taswira ya Rais Samia hamtaweza,
Tumetangaza vita na kwenye vita hii hamtaweza. Rais Samia yupo sana na ataendelea kuleta maendeleo Tanzania.
Magugu yote yatang'olewa hatuwezi kuwa na watu wasaliti ndani ya Chama.

RAIS SAMIA
#KAZI IENDELEE
Unachokifanya ni kitendo kibaya sana! Huna lengo la kumsifu Samia, unatafuta sababu ya matusi kwake maana hayo yote uliyoandika hayaendani na yeye, alivyo. Kweli Samia ana uelewa? Autoe wapi wakati elimu ni duni? Unasema hata benki wanakopesha kwa kufuata maelekezo ya Samia! Samia yupi? Yule wa Benki au Ikulu?
Ombi langu kwako, Toa sifa kwa Kikwete anaendelea kumpa maelekezo na majina ya teuzi zake.
 
Huwezi kumfananisha na dikteta magufuli, kaigomea Corona,mwishoe ikasepanae
 
Chifu Hangaya ni Rais wa mchongo.Anapaswa kupigwa vitu na kila mtu hadi wafu.

Chifu Hangaya hana kibali cha wananchi.Ni Rais mwenye kibali cha mapolisi.Ni Rais wa aibu.

View attachment 2045139View attachment 2045140View attachment 2045142
Lugha chafu na matusi dhidi ya mh.Rais zimekusaidia nini mpaka sasa ?!!!

Hebu jikague......otherwise umejawa na SIASA ZA KUKARIRI CHUKI ama una matatizo ya "PTSD".......

Mh.Rais SSH yeye yuko.....

Mh.Rais amejaa tele........

Tuko naye mpaka 2030 aaamin.....

Endelea KUWEHUKA TU....
JIWEHUSHE TU Mzee baba......
 
Kazi kubwa inafanyika
Trillion 1 tumeona matunda yake
Trillion 6 ziko on the way zikifika utaona matunda yake
Zikifika wapi wakati zishatumika, si unaona hujui hata Kama hiyo pesa ishatumika na hujui imetumika kwenye nini
 
Hao wanaishi na chuki, ukichunguza hata sura zao zitakuwa zimezeeka kabla ya wakati. Wanaruhusu machungu yazitese akili zao bila ya sababu ya msingi.
Mfano huyo BEHAVIOURIST 🤣🤣🤣
Jamaa "mgonjwa" fikrani......

Atakuwa na matatizo makubwa ya kisaikolojia ...🤣🤣

#Siempre JMT
 
Rais wenu!? Yeye ndiye rais wa kwanza nchi hii!? Kwendeni huko machawa nyie wenye njaa.
 
Rais Samia, Mama Mnyenyekevu, Mzalendo na Mchamungu,
ni kiongozi alitejawa akili za ajabu na mtu mwenye uelewa mkubwa anafanay kazi usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo.

Kikundi cha wapuuzi wachache wanaopambana kuchafua maamuzi na utendaji kazi wa Rais Samia tunatangaza vita kali dhidi yenu kuwa hamtaweza.
Watanzania tuko nyuma na Rais Samia na tutapambana kuhakikisha anaongoza kwa amani.
Wananchi wameanza kuneemeka
Mzunguko wa pesa unarudi,
Biashara zinakuwa watu wanaweza kukopa na kufanya marejesho,
Bandari inaongeza ukusanyaji wa mapato kuliko kipindi kilichopita,
Shule, Hospitali na Zahanati zinajengwa kila mahali nchini,
Hakuna mtu aliyeuwawa wala kupotezwa,
Ma benki wameongeza kukopesha watanzania,
Uwekezaji umeongezeka watu wanakuja Tanzania kuwekeza ili vijana wapate ajira,

Sasa tunatoa onyo kuwa icho kikundi chenu ambacho mnataka kuchafua taswira ya Rais Samia hamtaweza,
Tumetangaza vita na kwenye vita hii hamtaweza. Rais Samia yupo sana na ataendelea kuleta maendeleo Tanzania.
Magugu yote yatang'olewa hatuwezi kuwa na watu wasaliti ndani ya Chama.

RAIS SAMIA
#KAZI IENDELEE
Ilipotangazwa vita ya uchumi 2017 Tundu Lissu alifanywa chekeche huko Dodoma, hii sijui wahanga watakuwa nani.
 
bei imepanda kwenye soko la dunia ndio maana Joe Biden alitoa mapipa ya mafuta ku regulate bei hio duniani
kumbukeni watumiaji wakuu wa mafuta wamerudi kwenye uzalishaji baada ya korona kupungua na wazalishaji ndio wameanza operation zao
Naye atoe mapipa ya mafuta
 
bei imepanda kwenye soko la dunia ndio maana Joe Biden alitoa mapipa ya mafuta ku regulate bei hio duniani
kumbukeni watumiaji wakuu wa mafuta wamerudi kwenye uzalishaji baada ya korona kupungua na wazalishaji ndio wameanza operation zao
Dunia gani unazungumzia weye mbona hapo Zambia tu bei haijapandakama sisi.
 
Unachokifanya ni kitendo kibaya sana! Huna lengo la kumsifu Samia, unatafuta sababu ya matusi kwake maana hayo yote uliyoandika hayaendani na yeye, alivyo. Kweli Samia ana uelewa? Autoe wapi wakati elimu ni duni? Unasema hata benki wanakopesha kwa kufuata maelekezo ya Samia! Samia yupi? Yule wa Benki au Ikulu?
Ombi langu kwako, Toa sifa kwa Kikwete anaendelea kumpa maelekezo na majina ya teuzi zake.
Samia yupo ikulu kwa sababu ya imani ya marahemu JPM kwake. Kumbuka alitembea nchi nzima pamoja na hayati wakati wa kampeni.

Hayupo pale kwa kutegemea kubebwa na uanamke wake katoka jasho. Usimsimange kama vile kabebwa hajabebwa anastahili kuwa kiongozi.

Hutaki fanya mpango wa kuihama Tanzania, utaumia siku zote za urais wake.
 
Kosa lilofanyika ni kutangaza nia mapema kabla ya wakati uchaguzi wa 2025.

Ukitamka wanasikia, ukikaa kimya hawasikii
 
Back
Top Bottom