Vita dhidi ya Rais Samia ni vita dhidi Tanzania, hatutakubali mchafue taswira ya Rais wetu

Rais Samia, Mama Mnyenyekevu, Mzalendo na Mchamungu,
ni kiongozi alitejawa akili za ajabu na mtu mwenye uelewa mkubwa anafanay kazi usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo.

Kikundi cha wapuuzi wachache wanaopambana kuchafua maamuzi na utendaji kazi wa Rais Samia tunatangaza vita kali dhidi yenu kuwa hamtaweza.
Watanzania tuko nyuma na Rais Samia na tutapambana kuhakikisha anaongoza kwa amani.
Wananchi wameanza kuneemeka
Mzunguko wa pesa unarudi,
Biashara zinakuwa watu wanaweza kukopa na kufanya marejesho,
Bandari inaongeza ukusanyaji wa mapato kuliko kipindi kilichopita,
Shule, Hospitali na Zahanati zinajengwa kila mahali nchini,
Hakuna mtu aliyeuwawa wala kupotezwa,
Ma benki wameongeza kukopesha watanzania,
Uwekezaji umeongezeka watu wanakuja Tanzania kuwekeza ili vijana wapate ajira,

Sasa tunatoa onyo kuwa icho kikundi chenu ambacho mnataka kuchafua taswira ya Rais Samia hamtaweza,
Tumetangaza vita na kwenye vita hii hamtaweza. Rais Samia yupo sana na ataendelea kuleta maendeleo Tanzania.
Magugu yote yatang'olewa hatuwezi kuwa na watu wasaliti ndani ya Chama.

RAIS SAMIA
#KAZI IENDELEE
Hata aongoze miaka Ishirini hatokuja kuwa bora...ni failure from day 1.
 
bei imepanda kwenye soko la dunia ndio maana Joe Biden alitoa mapipa ya mafuta ku regulate bei hio duniani
kumbukeni watumiaji wakuu wa mafuta wamerudi kwenye uzalishaji baada ya korona kupungua na wazalishaji ndio wameanza operation zao
Sawa, mabati nondo na cement nako pametokea nn hata vipande bei?
Na gesi, sukari.............mtapata taabu sana kumuuza 2025!

Mfumuko wa bei + tozo za ajabu, unatuumiza sana wananchi. Mnajifanya mnalinda viwanda vyenu vya kinyonyaji" viwanda vya pombe, sigara, azam nk nani anavilinda? Mbona vinafanya vzri!?

Tangu mwaka 1961 mpka leo ccm imeshindwa hata kutokomeza malaria tu! Ni chama kilichfeli kuwaletea wananchi maendeleo.

"2025 kataa wahuni"
 
Rais Samia, Mama Mnyenyekevu, Mzalendo na Mchamungu,
ni kiongozi alitejawa akili za ajabu na mtu mwenye uelewa mkubwa anafanay kazi usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo.

Kikundi cha wapuuzi wachache wanaopambana kuchafua maamuzi na utendaji kazi wa Rais Samia tunatangaza vita kali dhidi yenu kuwa hamtaweza.
Watanzania tuko nyuma na Rais Samia na tutapambana kuhakikisha anaongoza kwa amani.
Wananchi wameanza kuneemeka
Mzunguko wa pesa unarudi,
Biashara zinakuwa watu wanaweza kukopa na kufanya marejesho,
Bandari inaongeza ukusanyaji wa mapato kuliko kipindi kilichopita,
Shule, Hospitali na Zahanati zinajengwa kila mahali nchini,
Hakuna mtu aliyeuwawa wala kupotezwa,
Ma benki wameongeza kukopesha watanzania,
Uwekezaji umeongezeka watu wanakuja Tanzania kuwekeza ili vijana wapate ajira,

Sasa tunatoa onyo kuwa icho kikundi chenu ambacho mnataka kuchafua taswira ya Rais Samia hamtaweza,
Tumetangaza vita na kwenye vita hii hamtaweza. Rais Samia yupo sana na ataendelea kuleta maendeleo Tanzania.
Magugu yote yatang'olewa hatuwezi kuwa na watu wasaliti ndani ya Chama.

RAIS SAMIA
#KAZI IENDELEE
Et watanzania mko nyuma , Sema Wahuni mko nyuma na samia
 
Sasa tunatoa onyo kuwa icho kikundi chenu ambacho mnataka kuchafua taswira ya Rais Samia hamtaweza,
Tumetangaza vita na kwenye vita hii hamtaweza. Rais Samia yupo sana na ataendelea kuleta maendeleo Tanzania.
Magugu yote yatang'olewa hatuwezi kuwa na watu wasaliti ndani ya Chama.

RAIS SAMIA
#KAZI IENDELEE
Naunga mkono hoja
P
 
Rais Samia, Mama Mnyenyekevu, Mzalendo na Mchamungu,
ni kiongozi alitejawa akili za ajabu na mtu mwenye uelewa mkubwa anafanay kazi usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo.

Kikundi cha wapuuzi wachache wanaopambana kuchafua maamuzi na utendaji kazi wa Rais Samia tunatangaza vita kali dhidi yenu kuwa hamtaweza.
Watanzania tuko nyuma na Rais Samia na tutapambana kuhakikisha anaongoza kwa amani.
Wananchi wameanza kuneemeka
Mzunguko wa pesa unarudi,
Biashara zinakuwa watu wanaweza kukopa na kufanya marejesho,
Bandari inaongeza ukusanyaji wa mapato kuliko kipindi kilichopita,
Shule, Hospitali na Zahanati zinajengwa kila mahali nchini,
Hakuna mtu aliyeuwawa wala kupotezwa,
Ma benki wameongeza kukopesha watanzania,
Uwekezaji umeongezeka watu wanakuja Tanzania kuwekeza ili vijana wapate ajira,y

Sasa tunatoa onyo kuwa icho kikundi chenu ambacho mnataka kuchafua taswira ya Rais Samia hamtaweza,
Tumetangaza vita na kwenye vita hii hamtaweza. Rais Samia yupo sana na ataendelea kuleta maendeleo Tanzania.
Magugu yote yatang'olewa hatuwezi kuwa na watu wasaliti ndani ya Chama.

RAIS SAMIA
#KAZI IENDELEE
wamwache mama afanye kazi maana huu ndo muda wake kufanya kazi
 
Samia yupo ikulu kwa sababu ya imani ya marahemu JPM kwake. Kumbuka alitembea nchi nzima pamoja na hayati wakati wa kampeni.

Hayupo pale kwa kutegemea kubebwa na uanamke wake katoka jasho. Usimsimange kama vile kabebwa hajabebwa anastahili kuwa kiongozi.

Hutaki fanya mpango wa kuihama Tanzania, utaumia siku zote za urais wake.
Pole! Iko siku utasifia harufu nzuri ya chooni. Yaani niumie kwa sababu ya Samia tu! Why? Mbona wadhaifu ni wengi pamoja na wewe na tunakutana nao kwenye dla dala kila siku? Hapa tunajadili sifa kumwangwa kusikotakiwa.
 
Back
Top Bottom