Visomo hivi si dalili njema sana

Visomo hivi si dalili njema sana

Unawapangia watu nini cha kuwaumiza...hao wezi wa mali za taifa we ulifanya nini
Hakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.
 
Ni jambo gumu kidogo kwa wale ambao si waamini. Visomo hivi vimezoeleka kuwa kwenye mambo ya binafsi zaidi. Hili la wiki hii ni kama linaelekea kuwa jambo la kitaifa.

Nimesikia majigambo mengi ya watawala, Nimemuona kwa macho yangu Ndugai akisema kwa midomo wake maneno haya CHEZA NA KITU KINGINE SIO NDUGAI. niliogopa sana.

Muda huu alfajiri kuna maombi yanafikia tamati pale kariakoo... Mchungaji kiongozi anataja damu iliyomwagika Tanzania.

Ishu ya kisomo hata kama imekuzwa sana lakini vema watawala wapate ujumbe wa kiroho wenye tafakuri kuu.

Kwamba wananchi wanaona hakuna kimbilio tena na hawana imani na serikali yao, sasa wanapeleka mashtaka yao kwenye NGUVU zisizojulikana. Hata kama visomo hivyo havitaleta madhara tarajiwa lakini ni ujumbe mbaya kwa serikali, kuna kaliba inahisi kuonewa na kunyanyaswa, kuna kaliba inaona wazi kabisa imetengwa na kufanywa yatima.

Energy ya hii kaliba isipuuzwe chondechonde! Tusiwafundishe watu kuacha misingi.

Viongozi na watawala tendeni kwa weledi, tendeni kwa hekima, tendeni kwa tafakuri na maono makuu.Angalieni malalamiko yasiwe mengi mno.

Tumshukuru Mungu wameamua kutumia silaha za maombi na visomo, waacheni msiwazuie. Hawana pengine pa kupumulia, hakuna mikutano ya kisiasa, hakuna kuandamana. Hivi vitu husaidia mno kupunguza nyongo iliyozidi.

Tendeni kwa weledi sana hakukuwa na haja ya kuzuia wachangia damu pale Temeke hospital.. Mambo mengine mbona ni ya kawaida mno?

Kuna ule wimbo wa Ney, ule wa wapo. Baada tu ya Mwakyembe kuruhusu upigwe, haraka sana ule wimbo ukawa sio habari tena!

Visomo hivi ni njia mpya ya kushtua ya kupeleka ujumbe mkubwa.

Visipuuzwe! Visomo vikishindikana hali inaweza kuwa tofauti LAKINI visomo vikijibu hata kama ni coicedence? Tutegemee nini kama taifa?
Kama hivyo visomo vinmgekua vinafanya kazi basi taifa la Marekani wote wangekua washapotea kwenye uso wa dunia maana nchi za kiarabu wangewasomea visomo mpaka kazi hivo visomo ni ushirikina na kiashiria cha ukosefu wa kazi,kuishiwa maarifa
 
Albadir yenyewe kwanza no shirk, cdhan Kama mngu atakubali dua za washirkina maana kasema mwenyewe hasameh washirkina sembuse kukubali dual zao
 
Mamlaka nazo zinachangia kwa kutoa mazuiyo yasiyo na msingi, si wangewaacha tuu! Hofu ya nini?
Kwani lazima usome uwanjani? Kwani lazima ujuze watu...hata muda huu si wasome tuu wakiwa wamejifungia sehemu? Au mikwara tuuu....hakuna cha kisomo hapo....
 
Nchi hii haijawahi kutokea vitendo vya maauaji na watu wasiojulikana lakini ni hakika dua ya watanzania kwa Allah itafanya kazi. Mfano mzuri ni kupigwa risasi 38 Tundu Lissu na leo ni mzima hiyo ni alama tosha kuwa Allah ndio mwenye haki pekee ya kumtoa mwanadamu roho.
 
Serikali inanishangaza sana inapozui mambo ambayo hayana maana yeyote, mambo kama haya yanafanya wanasiasa wawajaze chuki wananchi kwa vitu hata visivyo na maana.

Na hao wanotaka kufanya hicho kisomo si wangefanya tu kimya sijui walitangaza ili iweje!
Wananchi ni kama wanafunzi darasani, kupitia kiranja wa darasa ama kutoka kwa mwalimu moja kwa moja, darasa na shule mzima wanaweza kubehave ama kinyume chake
Mwalimu mkuu anapokuwa ndio kila kitu pia kuna hatari na madha yake mengi tu kuanzia stuff kwa walimu, viongozi wa shule mpaka kwa shule nzima... Wanafunzi wanapofanya mambo ya kitoto kabla ya kulaumiwa na kuadhibiwa lazima kwanza ijulikane tatizo limeanzia wapi! Kwa kiranja? Kwa mwalimu wa zamu? Au mwalimu wa darasa? Always shida yoyote mahali popote huwa na asili yake
 
Hakuna kitu hapo bana, mm ni Muislam walichofanya kama kisomo wapo kinyume kabisa na uislam, kisomo cha al badr ni ushirikina tena mkubwa hizo ni mbwembwe tu!, yaani mishirikina inawatisha mishirikina wenzakeo ujinga mtupu bora wangesema wanaomba dua, Adui mwombee dua njema huenda atakua mtu mzuri mbeleni au ukishindwa hilo omba dua kisha pigana Vita kavu kavu hill ndo ninalofahamu ktk uislam hakuna msaada isipokua kwa Mungu tu badr si ktk dini yetu ya uislam waache kuisingizia dini yetu na kuichafua wapumbavu wakubwa.
'Senge
Ndo jina lako
 
Malofa na wapumbavu ndio waliwao....hivi kama.unataka.kuvunja chungu au kusoma si usome tuu mpaka utangaze? Matangazo yanini kila mtu si aingie kwenye nyumba yake ya ibada asome? Hapo hakuna lolote ni utapeli tuu...
It political propaganda inaendelea, in expense of Tundu Lissu
 
Umetumia hekima kubwa sana kuandika lakini je watawala wetu wanao ufahamu wa hekima hiya? madaraka yamewapofusha hawaoni hawasikii wala hawadhani kama kuna mwisho wa hayo
 
Wao si wana mibunduki, poljsi .mahakama ili kupindisha haki.Sisi tutawashifakia kwa mungu tu.
 
Jana niliwaza kuhusu hilo , nikasema ama hakika roho za watanzania zinaumia lkn wapi pa kusemea ni hakuna kwa hiyo kumuomba Mungu atusikie,sisi wa nje tunaona lkn wale wenzetu hawaoni, laiti mm ndo nngekuwa raisi hii kitu nngeiwaza kwa mapana na marefu sio kitu cha kupuuza watu wanampolilia Mungu, naamini ipo siku atatujibu maombi yetu yeye si mjinga wala sikio lake sio zito hata asiweze kutusikia hakina tunaumia na hatuna pakutolea uchungu wetu
 
Mleta mada,
Nilikuwa naheshimu michango yako humu JF. Japo mengine yalipingana na Imani yangu ya dini lakini nilivumilia na kuamini ya kwamba wewe ni mtu makini na Mwenye busara.
Sikujua kama wewe ni mpuuzi wa kiwango hiki. Nashukuru kwa kunijulisha hilo.
Mnasambaza chuki na sumu ya ukabila katika Taifa letu. Ila Mungu ni zaidi ya nyinyi na soon ukweli utakuwa upenuni.
Shame on you mchawi kiongozi wa JF.

Masikini ya Mungu inaonekana wala hata haujui kilichompa jina mshana jr humu JF seems umemfahamu juzi tu.
 
Back
Top Bottom