Watu wamejiweka kwenye situation(kihisia) ambayo kiuhalisia haipo hivyo.Wananchi ni kama wanafunzi darasani, kupitia kiranja wa darasa ama kutoka kwa mwalimu moja kwa moja, darasa na shule mzima wanaweza kubehave ama kinyume chake
Mwalimu mkuu anapokuwa ndio kila kitu pia kuna hatari na madha yake mengi tu kuanzia stuff kwa walimu, viongozi wa shule mpaka kwa shule nzima... Wanafunzi wanapofanya mambo ya kitoto kabla ya kulaumiwa na kuadhibiwa lazima kwanza ijulikane tatizo limeanzia wapi! Kwa kiranja? Kwa mwalimu wa zamu? Au mwalimu wa darasa? Always shida yoyote mahali popote huwa na asili yake
Well said mchana jr..shida ni kuwa watakuelewa hawa akina cocochanel, bashite, jinga lao na wengine wa kariba ya niliowataja?Ni jambo gumu kidogo kwa wale ambao si waamini. Visomo hivi vimezoeleka kuwa kwenye mambo ya binafsi zaidi. Hili la wiki hii ni kama linaelekea kuwa jambo la kitaifa.
Nimesikia majigambo mengi ya watawala, Nimemuona kwa macho yangu Ndugai akisema kwa midomo wake maneno haya CHEZA NA KITU KINGINE SIO NDUGAI. niliogopa sana.
Muda huu alfajiri kuna maombi yanafikia tamati pale kariakoo... Mchungaji kiongozi anataja damu iliyomwagika Tanzania.
Ishu ya kisomo hata kama imekuzwa sana lakini vema watawala wapate ujumbe wa kiroho wenye tafakuri kuu.
Kwamba wananchi wanaona hakuna kimbilio tena na hawana imani na serikali yao, sasa wanapeleka mashtaka yao kwenye NGUVU zisizojulikana. Hata kama visomo hivyo havitaleta madhara tarajiwa lakini ni ujumbe mbaya kwa serikali, kuna kaliba inahisi kuonewa na kunyanyaswa, kuna kaliba inaona wazi kabisa imetengwa na kufanywa yatima.
Energy ya hii kaliba isipuuzwe chondechonde! Tusiwafundishe watu kuacha misingi.
Viongozi na watawala tendeni kwa weledi, tendeni kwa hekima, tendeni kwa tafakuri na maono makuu.Angalieni malalamiko yasiwe mengi mno.
Tumshukuru Mungu wameamua kutumia silaha za maombi na visomo, waacheni msiwazuie. Hawana pengine pa kupumulia, hakuna mikutano ya kisiasa, hakuna kuandamana. Hivi vitu husaidia mno kupunguza nyongo iliyozidi.
Tendeni kwa weledi sana hakukuwa na haja ya kuzuia wachangia damu pale Temeke hospital.. Mambo mengine mbona ni ya kawaida mno?
Kuna ule wimbo wa Ney, ule wa wapo. Baada tu ya Mwakyembe kuruhusu upigwe, haraka sana ule wimbo ukawa sio habari tena!
Visomo hivi ni njia mpya ya kushtua ya kupeleka ujumbe mkubwa.
Visipuuzwe! Visomo vikishindikana hali inaweza kuwa tofauti LAKINI visomo vikijibu hata kama ni coicedence? Tutegemee nini kama taifa?
Well said mkuu...Hakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.
Hawasomi kwa kufuata mistari na tafakuri bali mihemko! wasikubangue kichwa mkuu.Jaribu kusoma tena kwa makini nilichoandika na pata picha kubwa na jiulize kwanini sasa na si wakati mwingine wowote? Bila kujali ni wasanii ama si wasanii, bila kujali kama ni kweli ama si kweli... Mamlaka za kusimamia haki zina shida kidogo ukiona hivi
Na hili la kusema eti 'tuna'ligawa taifa sielewi hata sijui umewaza nini
Asante mama. Naona imekuingia vizuri tu.Kale ka tafiti cha kila kwenye watz wanne mmoja kichaa,uyu ni mpuuz wa kiwango cha phd
Ndio maana ya imani haionekani wala haishikiki na ina nguvu ya kuangusha jabali.Yan nyie watu Dr Slaa kweli aliondoka na akili zenu kwa hiyo mnategemea hao watu wasiojulikana watapatikana kwa njia ya ushirikina?Hahaaaaaaa dah hii kweli nchi ya Vi Wonder
Hakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.
Ni kweli kabisa mkuu.mshana jr ni mchawi, mchonganishi na mwanga mkuu humu JF ! Siyabonga101
Kumbe na wewe ni mfuasi wa huyu mpiga ramli!? Pole sana kijana.Aisee!!! Taifa bado lipo gizani na nachelea kusema kwamba kuna uwezekano kuna baadhi ya watanzania tunaishi bila ubongo... I guess you are among of them
Nashukuru nawe ni mtanzania as moja na mbili zinakuhusuMtanzania yuko vizuri katika nyanja mbili tu katika maisha;
1. Ushirikina.
2. Unafiki.

Waambieni bila aibu wale wanaopotosha haki, na nyie mnaoshabikia dhuluma subirini hukumu yenu. Acha kujitoa ufahamu utafikiri huoni dhuluma na mauaji yanayofanywa kwa mkono Wa chuma Wa watawala.Hakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.
Ni kweli kiongozi, siwezi kujitoa coz ni mtanzania pia. Hizo ndio sifa kuu za mtanzania, answali/sali kila siku, anaenda kanisani/msikitini kila siku, lakini akitoka hapo anaenda kutafuta nguvu zingine za kumkinga/kumlinda.Nashukuru nawe ni mtanzania as moja na mbili zinakuhusu![]()
Sikio la kufa .....................Haijawahi kutokea hali hii Tanzania , Hapo wasiposikia hiki kilio cha taifa zima basi kuna uwalakini mkubwa.
Tuhabarishe mkuu diwani yupi huyo??Nimesikia Mbeya kisomo kimeandoka na diwani
Mkuu komando mmoja nisawa na wanajeshi 1000.kwahalihiyo lazima ujue kutofautisha kati ya x na +Hakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.
Hawakufanya hivyo kwa kuwa wote hao walikuwa na mtetezi,wanafanya hivyo kwa huyu kwa sababu hanamtetezi zaidi ya Mungu pekee.Hakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.
Ndo tumeanza rasmi sasa badala ya mamlaka husika kutuzuga na kutufanyia usanii kila siku. Pia sie wakristu tuanza na novenaHakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.