Unatumia simu ya button eeh! I mean zile Itel na tecno au x-tigi
Tafsiri yake ni pana zaidi ya unavyoona kwenye picha
Lakini nadhani tunahitaji michango ya aina zote I mean mawazo ya kila aina ya kisomi na yasiyo ya kisomiMshana while I am sympathetical about Tundu lisu, putting your mind to such a primitive level s dangerous. Tusaidieni kuipeleka nchi mbele maana mwenye mawazo ya kisomo ni sawa na akili ya kuua albino ili ufanikiwe.
NAHISI 100% HUJAELEWA MAADA AU UJUMBE, POLE SANA NA HAUKO PEKE YAKO PITIA TENA UZI MKUUMleta mada,
Nilikuwa naheshimu michango yako humu JF. Japo mengine yalipingana na Imani yangu ya dini lakini nilivumilia na kuamini ya kwamba wewe ni mtu makini na Mwenye busara.
Sikujua kama wewe ni mpuuzi wa kiwango hiki. Nashukuru kwa kunijulisha hilo.
Mnasambaza chuki na sumu ya ukabila katika Taifa letu. Ila Mungu ni zaidi ya nyinyi na soon ukweli utakuwa upenuni.
Shame on you mchawi kiongozi wa JF.
Tupe Aya mkuuHakuna kitu hapo bana, mm ni Muislam walichofanya kama kisomo wapo kinyume kabisa na uislam, kisomo cha al badr ni ushirikina tena mkubwa hizo ni mbwembwe tu!, yaani mishirikina inawatisha mishirikina wenzakeo ujinga mtupu bora wangesema wanaomba dua, Adui mwombee dua njema huenda atakua mtu mzuri mbeleni au ukishindwa hilo omba dua kisha pigana Vita kavu kavu hill ndo ninalofahamu ktk uislam hakuna msaada isipokua kwa Mungu tu badr si ktk dini yetu ya uislam waache kuisingizia dini yetu na kuichafua wapumbavu wakubwa.
Nenda karoge mkuu. Muda wenu ndio huu na huyo jamaa yako anayekufuga kama msukule wa biko.NAHISI 100% HUJAELEWA MAADA AU UJUMBE, POLE SANA NA HAUKO PEKE YAKO PITIA TENA UZI MKUU
😀😀😀😀😀😀😀😀 😵Nenda karoge mkuu. Muda wenu ndio huu na huyo jamaa yako anayekufuga kama msukule wa biko.
Mkuu mshana jr Ahsante.. Bandiko bora Kabisa..Jana nimesikitika Synthesizer Aliweka bandiko La kufikirisha ajabu Mods wakaliondoa kabla hatujaanza kuchangia
Hakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.
msifananishe mambo ya kibiti na LISSU, wala yule jenerali aliyeko lugalo watanzania wana akili timamuHakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.
Hivi kuna mtz yeyote aliyeamini kwamba yule jenerali alipigwa risasi kweli? Vitu mingine vichekesho kweli kweli.msifananishe mambo ya kibiti na LISSU, wala yule jenerali aliyeko lugalo watanzania wana akili timamu
TEKNIK ZA WATOTO WA CHEKECHEAAAHivi kuna mtz yeyote aliyeamini kwamba yule jenerali alipigwa risasi kweli? Vitu mingine vichekesho kweli kweli.