Visomo hivi si dalili njema sana

Visomo hivi si dalili njema sana

Nàomba msichezee dini ya Mwenyezi Mungu hivi wote mnao soma hiyo Dua ya Albadiri mko wasafi ?
 
805b4dada13a2b3837f815eca5a6d8c6.jpg

Kisomo kimeanza kuleta majibu
Wapi hiyo Mkuu???
 
Hakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.
Tatizo lako wewe ni uelewa wako mdogo. Ebu ngoja nikupe mfano, leo unaongelea suala la kibiti kwanini hawajalizungumiza au kuombewa au kusomewa albadili. Sawa unaweza ukawa una haki, lakini ulinganishi wako ni zero!! Mfn; Baba wa Taifa sio kwanza kufa Tanzania, lakini msiba wake na maombolezo yake yalichukua mwezi mzima, na leo tunakumbukumbu yake kila mwaka. Je Mv bukoba walikufa wangapi? Mbona hatuna siku ya kitaifa kuwakumbuka? Au wewe umeona kibiti tu!! Halafu la pili, wauwaji wa kibiti wanawaingilia usiku, kuvunja kuchagua wa kuwaua na kuondoka, unielewe vizuri, kwa Mh Tundu walimvamia mchana tena kwenye makazi ya mawaziri na kupiga risasi zaidi ya 20, fikiria mara tatu tatu kabla haujajibu hii comment. La tatu nani kati ya waliouwawa kibiti alikuwa anawatetea watanzania bila kujali dini, kabila au ukanda? Sasa acha kufanya watu wawe sawa, wakati hata vidole vyako vya mkononi haviko sawa. Pole kwa kujiona eti umechangia pole sana, la mwisho mbona haulizi suala la ghalama za matibabu ya Mh Lissu kufanywa na watu binafsi? Huku serikali na Bunge zikijitenga? Kweli una akili wewe, na hao uliokuwa nao wankupa nafasi ya kuwawakilisha au, ndio wote kama walivyosema Twaweza!!!! Hahaaaaaaah acha nicheke mimi.
 
Hauna msingi wowote. Wewe ni mkabila na una chuki ambayo inakutafuna ndani kwa ndani. Nashangaa kwa mtu kama wewe kuandika upuuzi kama huu. Umetumwa na nani kutufarakanisha Watanzania!?
Unasikitisha sana kupita maelezo. Sina haja ya kufurahishwa na mtu kama wewe Mwenye mrengo wa chuki na sumu ya ukabila. Ninakemea huu upuuzi kwa nguvu zote na ushindwe pia Ulegee kama mlenda uliotiwa roico.
Kale ka tafiti cha kila kwenye watz wanne mmoja kichaa,uyu ni mpuuz wa kiwango cha phd
 
Mleta mada,
Nilikuwa naheshimu michango yako humu JF. Japo mengine yalipingana na Imani yangu ya dini lakini nilivumilia na kuamini ya kwamba wewe ni mtu makini na Mwenye busara.
Sikujua kama wewe ni mpuuzi wa kiwango hiki. Nashukuru kwa kunijulisha hilo.
Mnasambaza chuki na sumu ya ukabila katika Taifa letu. Ila Mungu ni zaidi ya nyinyi na soon ukweli utakuwa upenuni.
Shame on you mchawi kiongozi wa JF.
mshana jr ni mchawi, mchonganishi na mwanga mkuu humu JF ! Siyabonga101
 
Ni jambo gumu kidogo kwa wale ambao si waamini.... Visomo hivi vimezoeleka kuwa kwenye mambo ya binafsi zaidi... Hili la wiki hii ni kama linaelekea kuwa jambo la kitaifa
Nimesikia majigambo mengi ya watawala.... Nimemuona kwa macho yangu Ndugai akisema kwa midomo wake maneno haya.... CHEZA NA KITU KINGINE SIO NDUGAI. niliogopa sana
Muda huu alfajiri kuna maombi yanafikia tamati pale kariakoo... Mchungaji kiongozi anataja damu iliyomwagika Tanzania
Ishu ya kisomo hata kama imekuzwa sana lakini vema watawala wapate ujumbe wa kiroho wenye tafakuri kuu... Kwamba wananchi wanaona hakuna kimbilio tena na hawana imani na serikali yao, sasa wanapeleka mashtaka yao kwenye NGUVU zisizojulikana
Hata kama visomo hivyo havitaleta madhara tarajiwa lakini ni ujumbe mbaya kwa serikali, kuna kaliba inahisi kuonewa na kunyanyaswa, kuna kaliba inaona wazi kabisa imetengwa na kufanywa yatima.... Energy ya hii kaliba isipuuzwe chondechonde! Tusiwafundishe watu kuacha misingi
Viongozi na watawala tendeni kwa weledi, tendeni kwa hekima, tendeni kwa tafakuri na maono makuu... ANGALIENI MALALAMIKO YASIWE MENGI MNO....
Tumshukuru Mungu wameamua kutumia silaha za maombi na visomo, waacheni msiwazuie.. Hawana pengine pa kupumulia, hakuna mikutano ya kisiasa, hakuna kuandamana.... Hivi vitu husaidia mno kupunguza nyongo iliyozidi
Tendeni kwa weledi sana hakukuwa na haja ya kuzuia wachangia damu pale Temeke hospital.. Mambo mengine mbona ni ya kawaida mno?
Kuna ule wimbo wa Ney, ule wa WAPO... Baada tu ya Mwakyembe kuruhusu upigwe, haraka sana ule wimbo ukawa sio habari tena!
Visomo hivi ni njia mpya ya kushtua ya kupeleka ujumbe mkubwa...... Visipuuzwe! Visomo vikishindikana hali inaweza kuwa tofauti LAKINI visomo vikijibu hata kama ni coicedence? Tutegemee nini kama taifa?
MKUU NIMEKUELEA SAAANA TU BIG UP
 
Mleta mada,
Nilikuwa naheshimu michango yako humu JF. Japo mengine yalipingana na Imani yangu ya dini lakini nilivumilia na kuamini ya kwamba wewe ni mtu makini na Mwenye busara.
Sikujua kama wewe ni mpuuzi wa kiwango hiki. Nashukuru kwa kunijulisha hilo.
Mnasambaza chuki na sumu ya ukabila katika Taifa letu. Ila Mungu ni zaidi ya nyinyi na soon ukweli utakuwa upenuni.
Shame on you mchawi kiongozi wa JF.
Aisee!!! Taifa bado lipo gizani na nachelea kusema kwamba kuna uwezekano kuna baadhi ya watanzania tunaishi bila ubongo... I guess you are among of them
 
Hakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.
Naamini kuna kitu hauelewi japo unaweza sema unaelewa maana neno kuelewa linatumika na yyte maana ni la kiswahili,ama umetopea kwenye ushabiki na umekuwa teja wa ushabiki,
Swala ni ujumbe wa ndani uliopo nyuma ya hizi dua na malalamiko,
 
Hauna msingi wowote. Wewe ni mkabila na una chuki ambayo inakutafuna ndani kwa ndani. Nashangaa kwa mtu kama wewe kuandika upuuzi kama huu. Umetumwa na nani kutufarakanisha Watanzania!?
Unasikitisha sana kupita maelezo. Sina haja ya kufurahishwa na mtu kama wewe Mwenye mrengo wa chuki na sumu ya ukabila. Ninakemea huu upuuzi kwa nguvu zote na ushindwe pia Ulegee kama mlenda uliotiwa roico.
55c96678d9e075e109e6159e5f59e21f.jpg
 
Back
Top Bottom