mputamaseko
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,401
- 949
Gwajima alisha tahadhalisha mapema sana.Huyu mtoto DAB atatuletea matatizo Sana ktk nchi yetu!

Huwa sometimes nakuelewa sana mkuu,Jaribu kusoma tena kwa makini nilichoandika na pata picha kubwa na jiulize kwanini sasa na si wakati mwingine wowote? Bila kujali ni wasanii ama si wasanii, bila kujali kama ni kweli ama si kweli... Mamlaka za kusimamia haki zina shida kidogo ukiona hivi
Na hili la kusema eti 'tuna'ligawa taifa sielewi hata sijui umewaza nini
Malofa na wapumbavu ndio waliwao....hivi kama.unataka.kuvunja chungu au kusoma si usome tuu mpaka utangaze? Matangazo yanini kila mtu si aingie kwenye nyumba yake ya ibada asome? Hapo hakuna lolote ni utapeli tuu...
Kasoma mkuu ..huo ndo mchango wake mpuuzetu.Mkuu mbona hueleweki???...Umesoma vizuri huu uzi??? Rudia kusoma then toa maoni yako.....
Mkabila kama mkuu wa kanda ya ziwaHauna msingi wowote. Wewe ni mkabila na una chuki ambayo inakutafuna ndani kwa ndani. Nashangaa kwa mtu kama wewe kuandika upuuzi kama huu. Umetumwa na nani kutufarakanisha Watanzania!?
Unasikitisha sana kupita maelezo. Sina haja ya kufurahishwa na mtu kama wewe Mwenye mrengo wa chuki na sumu ya ukabila. Ninakemea huu upuuzi kwa nguvu zote na ushindwe pia Ulegee kama mlenda uliotiwa roico.
Mkuu Andiko MARIDHAWA!Ni jambo gumu kidogo kwa wale ambao si waamini. Visomo hivi vimezoeleka kuwa kwenye mambo ya binafsi zaidi. Hili la wiki hii ni kama linaelekea kuwa jambo la kitaifa.
Nimesikia majigambo mengi ya watawala, Nimemuona kwa macho yangu Ndugai akisema kwa midomo wake maneno haya CHEZA NA KITU KINGINE SIO NDUGAI. niliogopa sana.
Muda huu alfajiri kuna maombi yanafikia tamati pale kariakoo... Mchungaji kiongozi anataja damu iliyomwagika Tanzania.
Ishu ya kisomo hata kama imekuzwa sana lakini vema watawala wapate ujumbe wa kiroho wenye tafakuri kuu.
Kwamba wananchi wanaona hakuna kimbilio tena na hawana imani na serikali yao, sasa wanapeleka mashtaka yao kwenye NGUVU zisizojulikana. Hata kama visomo hivyo havitaleta madhara tarajiwa lakini ni ujumbe mbaya kwa serikali, kuna kaliba inahisi kuonewa na kunyanyaswa, kuna kaliba inaona wazi kabisa imetengwa na kufanywa yatima.
Energy ya hii kaliba isipuuzwe chondechonde! Tusiwafundishe watu kuacha misingi.
Viongozi na watawala tendeni kwa weledi, tendeni kwa hekima, tendeni kwa tafakuri na maono makuu.Angalieni malalamiko yasiwe mengi mno.
Tumshukuru Mungu wameamua kutumia silaha za maombi na visomo, waacheni msiwazuie. Hawana pengine pa kupumulia, hakuna mikutano ya kisiasa, hakuna kuandamana. Hivi vitu husaidia mno kupunguza nyongo iliyozidi.
Tendeni kwa weledi sana hakukuwa na haja ya kuzuia wachangia damu pale Temeke hospital.. Mambo mengine mbona ni ya kawaida mno?
Kuna ule wimbo wa Ney, ule wa wapo. Baada tu ya Mwakyembe kuruhusu upigwe, haraka sana ule wimbo ukawa sio habari tena!
Visomo hivi ni njia mpya ya kushtua ya kupeleka ujumbe mkubwa.
Visipuuzwe! Visomo vikishindikana hali inaweza kuwa tofauti LAKINI visomo vikijibu hata kama ni coicedence? Tutegemee nini kama taifa?
Huu upinzani wa ajabu sana yani tumefka hapa kuwaza hawa wauwaji wa Lissu' watapatikana na kuwajibishwa kimiujiza (albadili?). Hii nchi ya Vi WonderNi jambo gumu kidogo kwa wale ambao si waamini. Visomo hivi vimezoeleka kuwa kwenye mambo ya binafsi zaidi. Hili la wiki hii ni kama linaelekea kuwa jambo la kitaifa.
Nimesikia majigambo mengi ya watawala, Nimemuona kwa macho yangu Ndugai akisema kwa midomo wake maneno haya CHEZA NA KITU KINGINE SIO NDUGAI. niliogopa sana.
Muda huu alfajiri kuna maombi yanafikia tamati pale kariakoo... Mchungaji kiongozi anataja damu iliyomwagika Tanzania.
Ishu ya kisomo hata kama imekuzwa sana lakini vema watawala wapate ujumbe wa kiroho wenye tafakuri kuu.
Kwamba wananchi wanaona hakuna kimbilio tena na hawana imani na serikali yao, sasa wanapeleka mashtaka yao kwenye NGUVU zisizojulikana. Hata kama visomo hivyo havitaleta madhara tarajiwa lakini ni ujumbe mbaya kwa serikali, kuna kaliba inahisi kuonewa na kunyanyaswa, kuna kaliba inaona wazi kabisa imetengwa na kufanywa yatima.
Energy ya hii kaliba isipuuzwe chondechonde! Tusiwafundishe watu kuacha misingi.
Viongozi na watawala tendeni kwa weledi, tendeni kwa hekima, tendeni kwa tafakuri na maono makuu.Angalieni malalamiko yasiwe mengi mno.
Tumshukuru Mungu wameamua kutumia silaha za maombi na visomo, waacheni msiwazuie. Hawana pengine pa kupumulia, hakuna mikutano ya kisiasa, hakuna kuandamana. Hivi vitu husaidia mno kupunguza nyongo iliyozidi.
Tendeni kwa weledi sana hakukuwa na haja ya kuzuia wachangia damu pale Temeke hospital.. Mambo mengine mbona ni ya kawaida mno?
Kuna ule wimbo wa Ney, ule wa wapo. Baada tu ya Mwakyembe kuruhusu upigwe, haraka sana ule wimbo ukawa sio habari tena!
Visomo hivi ni njia mpya ya kushtua ya kupeleka ujumbe mkubwa.
Visipuuzwe! Visomo vikishindikana hali inaweza kuwa tofauti LAKINI visomo vikijibu hata kama ni coicedence? Tutegemee nini kama taifa?
Masikini hawa jamaa wako hoi lakini bado wanaendelea kutumika tu..
Mamlaka nazo zinachangia kwa kutoa mazuiyo yasiyo na msingi, si wangewaacha tuu! Hofu ya nini?Malofa na wapumbavu ndio waliwao....hivi kama.unataka.kuvunja chungu au kusoma si usome tuu mpaka utangaze? Matangazo yanini kila mtu si aingie kwenye nyumba yake ya ibada asome? Hapo hakuna lolote ni utapeli tuu...

Mkuu leo umeleta tafakuri adhimu ambayo wengi wetu hatujawahi kuifikiria,kumejaa hekma nyingi mno humu.Ni jambo gumu kidogo kwa wale ambao si waamini. Visomo hivi vimezoeleka kuwa kwenye mambo ya binafsi zaidi. Hili la wiki hii ni kama linaelekea kuwa jambo la kitaifa.
Nimesikia majigambo mengi ya watawala, Nimemuona kwa macho yangu Ndugai akisema kwa midomo wake maneno haya CHEZA NA KITU KINGINE SIO NDUGAI. niliogopa sana.
Muda huu alfajiri kuna maombi yanafikia tamati pale kariakoo... Mchungaji kiongozi anataja damu iliyomwagika Tanzania.
Ishu ya kisomo hata kama imekuzwa sana lakini vema watawala wapate ujumbe wa kiroho wenye tafakuri kuu.
Kwamba wananchi wanaona hakuna kimbilio tena na hawana imani na serikali yao, sasa wanapeleka mashtaka yao kwenye NGUVU zisizojulikana. Hata kama visomo hivyo havitaleta madhara tarajiwa lakini ni ujumbe mbaya kwa serikali, kuna kaliba inahisi kuonewa na kunyanyaswa, kuna kaliba inaona wazi kabisa imetengwa na kufanywa yatima.
Energy ya hii kaliba isipuuzwe chondechonde! Tusiwafundishe watu kuacha misingi.
Viongozi na watawala tendeni kwa weledi, tendeni kwa hekima, tendeni kwa tafakuri na maono makuu.Angalieni malalamiko yasiwe mengi mno.
Tumshukuru Mungu wameamua kutumia silaha za maombi na visomo, waacheni msiwazuie. Hawana pengine pa kupumulia, hakuna mikutano ya kisiasa, hakuna kuandamana. Hivi vitu husaidia mno kupunguza nyongo iliyozidi.
Tendeni kwa weledi sana hakukuwa na haja ya kuzuia wachangia damu pale Temeke hospital.. Mambo mengine mbona ni ya kawaida mno?
Kuna ule wimbo wa Ney, ule wa wapo. Baada tu ya Mwakyembe kuruhusu upigwe, haraka sana ule wimbo ukawa sio habari tena!
Visomo hivi ni njia mpya ya kushtua ya kupeleka ujumbe mkubwa.
Visipuuzwe! Visomo vikishindikana hali inaweza kuwa tofauti LAKINI visomo vikijibu hata kama ni coicedence? Tutegemee nini kama taifa?
ahahaaaaaaaaa haya machadema mashirikina sanaKISOMO KIMEMUA DIWANI WA CHADEMA MBEYA![]()
Mbona mwaogopa na kuzuia...?!H
ahahaaaaaaaaa haya machadema mashirikina sana
Yan nyie watu Dr Slaa kweli aliondoka na akili zenu kwa hiyo mnategemea hao watu wasiojulikana watapatikana kwa njia ya ushirikina?Hahaaaaaaa dah hii kweli nchi ya Vi WonderMbona mwaogopa na kuzuia...?!