Visa na mikasa ya kilaji/gambe/bwax!

Mkuu hii ni chai. Kama ulikata network nani alimuelekeza bodaboda kwenu? Kukata netwok sio kipolepole watu wanalala mitaroni. By the way bi mdashi hakukupa hata kidogo later on?
Uzuri mtu anaye kunywa pombe uwa asahau njia ila akisha fika tu hapo ndo network uwaga inakata so yeah nakubali na mleta hoja kua hii sio chai
 
i know the feeling bruv...... you sound exaclty like me everytime nnapokunywa jameson ila sijui kwann huwa narudia tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaarh jameson ni nyoko sana ile kitu ukimix na kitu cha coca+ice qubes ni balaa.

Kuna siku nimekunywa ile chupa 750mil tuko watu 3 wengine wakaonja kidogo kidogo tu mi nikashupaa nayo aisee hio siku "nilirudisha chenchi" balaa kuanzia getini mpk ndani aisee.Kwa mara ya kwanza nilijishangaa kilichotokea.

Ila ndo hivyo tena hatukomagi aisee,bora kidogo tequila ina kaunafuu aisee.
 
[emoji3][emoji3] nilikuwa najiuliza kama hukumbuki ulifikaje home, ilikuwaje ukachukua bodaboda na njia ukaelekeza hadi mkafika. Hapa ndio sijaelewa kabisa
Mkuu walausiwe na wasi ,utakuwa sio mlevi ,mi nalewa gari nafikisha gari salama home ila asubuhi skumbuki ilifikaje Mara jirani aseme nilikuwa naimba Mara nilitongoza ,mkuu mlevi akikata network huwa ana IQ ndogo ila inawazidi mbwa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] alidhani pipi eeh!!
 
Kila la kher mkuu!
 
Uzuri mtu anaye kunywa pombe uwa asahau njia ila akisha fika tu hapo ndo network uwaga inakata so yeah nakubali na mleta hoja kua hii sio chai
Kwel mkuu!
 
Pole mkuu! Vp bado uko kwenye hili chama ama?
 
huyo hapo mnyama hafai kabisa.... ila hatukomi
 
Mkuu walausiwe na wasi ,utakuwa sio mlevi ,mi nalewa gari nafikisha gari salama home ila asubuhi skumbuki ilifikaje Mara jirani aseme nilikuwa naimba Mara nilitongoza ,mkuu mlevi akikata network huwa ana IQ ndogo ila inawazidi mbwa
Jiran nae chi ntu! [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwan huwez kupiga kidogo! Ugusemo tu kama dawa![emoji16][emoji16][emoji16] au unajipa ujasir haileweshi
hard drink hata kama ulipanga upige two shots ikasha kicks in basi unajisahau unajikuta umeenda robo tatu au nusu chupa
 
Nilikula mtungi moli balaa, nakumbuka nikachukua demu pale, tumeend ghetto nmekula mbonji. Napata nafuu SAA 10 night khaa kumbe nimeng'oa shoga
Mkuu nataka nijue iliishaje hiyo movie, jamaa alikukonki au wewe ndo ulimkonki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…