Coffee
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,290
- 1,277
Na hichi kipande ndo mimi kimenifungua kwamba hii story nishaisoma kitambo sana ila sikumbuki vizuri msimuliaji alikuwa nani. Anyway tuendelee kuburudika nakujifunza piaNikamweleza suala la kazi. Akanambia atanisaidia kwenda kwa mzee wetu flani kule kijijini. Kweli baba alienda akanambia nimtumie kiasi flani cha pesa.nikatuma. zilitumwa dawa za kuoga na kutafuna. Niliambiwa nioge usiku ambao kesho yake naenda tafuta kazi. Then nilale chini, nisi sex ,nisinywe pombe.nlioga nikalala chini.
Kesho yake nikarudi Pugu Road( Nyerere Road) kule kule kwa wahindi. Nikasema nataka onana na manager.kweli nikapelekwa kwake.nikaonana naye nikamwambia nahitaji kazi.
Akanambia kama nipo tayari nianze muda huo anipeleke kwa supervisor.kweli akanipeleka kwa supervisor na kunambia nianze kazi ni deal na yale magari ambayo yalikuwa na shida kwenye body(panel beating)
Nikaanza kazi.
Hichi kipande kimenisisimua sanaa....