Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Wajinga wamekua wengi sana,
Nahis ni wageni toka facebook mana wanacoment ujinga mwingi sana kama vile ilikua lazima waandike kitu
Kabisa. Jamiiforums imejaa vitoto vidogo vinaharibu ladha ya JF ya miaka ile. Jamaa anasimulia kitu ambacho kipo na kinafanyika kabisa. Hilo la wahindi mimi nalifahamu kuna jamaa yangu alitolewa kafara mwaka flani kwa ajali ya ajabu ya pikipiki. Kazini kwao kila mwaka lazima mtu mmoja afe. Kila mwaka anaondoka mtu.
 
Kabisa. Jamiiforums imejaa vitoto vidogo vinaharibu ladha ya JF ya miaka ile. Jamaa anasimulia kitu ambacho kipo na kinafanyika kabisa. Hilo la wahindi mimi nalifahamu kuna jamaa yangu alitolewa kafara mwaka flani kwa ajali ya ajabu ya pikipiki. Kazini kwao kila mwaka lazima mtu mmoja afe. Kila mwaka anaondoka mtu.
Jf imepoteza uhalisia wake kuna vitoto vyetu humu maadam kana diploma au bachelor kanakuja humu kusumbua Baba zake walahi ningewajua mama zao ningewatafuna wote ili hivi vinyamkera viwe na adabu
 
Chief nimeifuatilia story yako, inazidi nipa reflection ya mambo kadhaa ambayo nimekutana nayo kupitia (kwa waganga ambao nimeshatembelea kwao), watu niliofamiana nao in the course of life na wanawake [ni mmoja hasa] niliyekuwa naye. Huyu mwanamke alinifumbua macho kwa mambo mengi ya kusaka utajiri huko ziwa tanganyika. Noti alikuwa nayo hasa, licha ya kuwa alikua akinipenda na sometimes kunipiga tafu sana financially maana by that time nilikua broke, niliamua kuachana nae baada ya kuniletea story za maagano kati yangu na yeye [hiki ni kitu kibaya sana], ingawa haikuwa rahisi kuachana nae.

pia nilipokuwa university, kuna jambo lilitokea likanilazimu niwe na lala ghetto kwa jamaa yangu. Yule jamaa alikuwa na ghetto kama lile aliloimba ngwea. Kilichonishangaza jamaa alikuwa analala chini. Nimepoa pale geto siku tatu, ikabidi nijikatae nitafute kigesti hausi nipoe kwa muda, mishe za yule mkigoma nilikua sizielewi. Huwezi kuwa tajiri kama huna roho ngumu.
Funguka mkuu tujifunze huenda tukabadilisha mawazo ya kwenda ziwa Tanganyika
 
Mtanisamehe kwa hati mbaya
Kuna point nimekutana nazo Mkuu wanao kupinga bado watoto wadogo kwenye mambo haya
binafsi kuna sehemu mtaani jamaa mmoja mtu wa kigoma huko mwenye mali za masharti
kuna siku nilienda kutatua short ya umeme nyumbani kwake yeye hakuwepo alikuwa mpangaji mmoja tu ndio anaamia.

Chakushangaza zaidi nyumba kubwa inavyumba kumi na mbili lakini wapangaji wote wameama

Nilipanda juu ya dali kwa kusoma dua sana kwa sisi waislamu (naas,falaq,ikhaalas ) mara tatu tatu
nikafanya kazi nimemaliza ile kushuka chini mwenye nyumba na mkuta kukasirika sana ana mwambia yule mpangaji huyu fundi(kijana jr) simjui nikakaa kimya wakasemana na mpangaji wake pale mm nikakaa kimya

Mwisho nikamwambia mzee juzi tu simekufungia feni pale dukani kwako mzee mbona leo unasema unijui
mzee akaendelea kukataa sikujui kabisa na sijawahi kukuona hapa mtaani
.akatoa simu na kupiga kisha huyo kasepa nikabaki mimi na yule mpangaji
ambaye anaamia nikaanza kumlaumu
kwanini umenidanganya kuwa umeshaongea na mwenye nyumba mimi nifanye kazi yule mpangaji akabaki ameduwaa tu kijana jr nimeongea nae na nikamwambia ni wewe akasema uje urekebishe na shangaa anasema kwamba hakujui. mimi nikasepa zangu home kesho yake nikaanza kuumwa moyo na kifua nikigeuka upande siwezi napata maumivu makali ya moyo kwa ndani nikikoa au kuongea ni maumivu per day kazi yangu ni kulala chali nikapelekwa mnazi mmoja kupiga x-lay nikaambiwa sina tatizo lolote kwenye moyo nikaandikiwa sindano tano za powercef aiseee sindano kali zinaumaaaa balaaa nikachomaa after five day nikamaliza ila maumivu ya moyo yapo pale pale kazi yangu ikawa ni kulala kuna siku bimkubwa akanifata kijana jr mara ya mwisho ulifanya kazi nyumba gani nikawa sina kumbukumbu vizuri kumbe yule mpangaji wa yule mzee alikuja home kuniulizia akaambiwa amelala anaumwa ndio akamwambia bi mkubwa yote yaliotokea Fasta tu bimkubwa wakanipeleka kwenye rukya(maombi ya kiislamu) ndio nikakaa sawa yule mzee nikikutana nae anashtuka sana mkuu wanao kupinga ndio hao hao wazee wa Ndago . mwaka jana mwishoni nyumba ameivunja amejenga kanisa baada ya ile nyumba kukosa wapangaji na siri mtaani kuvuja mauza uza ya mule ndani jamaa ana vx kali anauza kiduka anavaa ndala amegeuza za rangi tofauti
Ulisahau kujipigia dua mkuu ya Guard
 
Kabisa. Jamiiforums imejaa vitoto vidogo vinaharibu ladha ya JF ya miaka ile. Jamaa anasimulia kitu ambacho kipo na kinafanyika kabisa. Hilo la wahindi mimi nalifahamu kuna jamaa yangu alitolewa kafara mwaka flani kwa ajali ya ajabu ya pikipiki. Kazini kwao kila mwaka lazima mtu mmoja afe. Kila mwaka anaondoka mtu.
hata wabongo,o-level niliyosoma alikua Headmistress wetu,kila mwaka form one mmoja alikua lazima afe,mwezi wa sita ule mkienda likizo,wiki moja kabla ya kufungua shule lazima afe form mmoja... hiv vitu vipo mkuu
 
Back
Top Bottom