zed B
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 956
- 1,029
Nomba link mkuunimesoma story nzima ila hapa ndio nimepata content....aisee ndio maana nateseka sana na hizi business kuna mdau mmoja aliwahi kuandika hapa jf ulifanikiwa baada ya muda gani wa kufanya biashara..yaliyoelezwa yanafikirisha...ndio maana utajiri unaongelewa nyumbani kwenye familia..familia yako ikiwa bogas kama yangu ..utasoma utafanya biashara hutapata hela..na hutaajirika kazi nzuri...kuna mawili kumtegemea mungu full time au upande wa pili hakuna neutral...