Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,342
- 34,747
๐๐๐๐๐๐๐Nilikunywa mpaka nikamuuliza baba yangu mzazi, "samahani bro, sura yako sio ngeni, tuliwahi kuonana wapi?"
๐๐๐๐๐๐๐Nilikunywa mpaka nikamuuliza baba yangu mzazi, "samahani bro, sura yako sio ngeni, tuliwahi kuonana wapi?"
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNiliuzia msala jamaa zangu walionipeleka home nikiwa nimelewa chakari, kwa kuzuga nilimwambia bibi yangu, "hawa jamaa wakupe bia zako 10, nimewapa wanisaidie kubeba" [emoji28] bibi mwenyewe mchaga huko marangu, beef kati yao lilichukua mda sana kupoa bibi aliwaona ma snitch wamekunywa bia zake
We umesikia wapi ?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃPombe mbaya
Nyie ndio mnaotolewa marindaHapa kama ninakiri!
Kitendo kilichonifanya kuacha kunywa pombe ni tukio la aibu nililolifanya miaka 30 iliyopita, lakini hadi leo bado linanibungua kichwa kwa aibu ile!
Miaka hiyo nilikuwa ninaishi 'kotaz' nyumba zenye kufanana kuanzia sura, rangi na mpaka mazingira ya nje.
Kimbembe kilipoanzia ni pale nilipotoka safari na kukuta 'ugeni' wa rafiki yangu wa siku nyingi kanitembelea hapo nyumbani.
Mahali gani pazuri pa kumpeleka 'outing' huyu ndugu akasuuze roho yake, hakuna pengine ni bar tu!
Sa9 alasiri tayari tupo kwenye meza ndefu tunakunywa, baada kama ya saa1 na nusu nikamuona mgeni wangu 'keshanitaimu' kalewa tayari mimi bado mkavu na bia hazinibambi, nikaona kama ananisanifu, sasa nifanyeje kufukia mashimo?
Wakati natafakari cha kufanya, nikaona mgeni wangu yupo chakari kabisa, nikaitisha tax ikampeleka nyumbani, mi nikabaki bar.
Bia zilivyoendelea kudunda nikaona niagize pombe kali nimix ili kupata ulabu kwa kasi, kumbe ninajitengenezea sumu!
Nikachukua viroba viwili vya 'power' (pombe ilikuwa inaingizwa toka Zambia)nikavimiminia kwenye chupa ya bia na kuanza kuifakamia.
Kumbukumbu zangu ndiyo zilipokomea hapo, yaliyofuata ni simulizi tu nilizokuja kusimuliwa bila mimi kukumbuka hata1.
Inaonekana ilipofika sa1 niliondoka bar kwa miguu kuelekea nyumbani, maana hapakuwa mbali sana.
Nilipofika, kwa kuwa nyumba zinafanana sana, nikakosea nikaingia nyumba kama yangu,lakini line ya mbele kabla sijafika kwangu.
Nilipofika nikaingia ndani na kupitiliza moja kwa moja chumbani kulala, wakati wenye nyumba wapo nje wanaongea!
Walipoingia wakakuta nimelala kitandani kwao na tayari 'shaharibu'.
Wakaenda kwa ghadhabu kumueleza 'wife' aje kunichukua, akakuta siamshiki wala sibebeki.
Njia iliyotumika kunitoa pale na kunipeleka kwangu pamoja na aibu yote niliyoifanya ndani ya nyumba hiyo na kwa familia hiyo, niliporudiwa fahamu na kusimuliwa, nilitamani dunia ipasuke inimeze!
Kwa unyenyekevu mkubwa, nikaiomba radhi familia hiyo na tangia hapo nikaacha pombe moja kwa moja mpaka takapokufa.
.
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐ i wish mme wangu kimkute hiki kitu..๐Hapa kama ninakiri!

๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃTungi inaendana na kichwa ya mtu mkuu nakumbuka kuna jamaa alikunywa ili apate confidence kwenye presentation cha ajabu akajichanganya akasema my name is good morning..aiseeee Hadi lecturer ilibidi aangue kicheko
The same applies to what I said earlier before kuwa mwili hauwezi kufanya kazi bila kuwa na kiwango kikubwa cha alcoholic blood in circulation kwasababu ni habit ambayo unakuwa umeitengeneza mwenyewe. Pia bila kusahau kuwa mwili hautakuwa in full function kwenye state hiyo as the results baadhi ya mambo hayaendi ipasavyo kama wewe ulivyopoteza sensitivity of smell.Na vp ile hali unakuwa unapiga vitu sana mpaka inafika hatua unapoteza uwezo wa kunusa harufu,yaan unakuwa uhisi harufu yeyote....pua inapoteza uwezo wa kunusa na ku sense harufu yyte?Mm ilinitokea nilikaa kama wiki kadhaa ndo nikawa sawa nikaanza kusense harufu kama kawaida.Hii huwa ni nn? fyddell
Ya kibabe na jinsi nilivyo mbavu watu walikuwa wanatulia kimya๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃManeno ya kishujaa!!Kama yapi hayo mkuu?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
This time umetumia sh. Ngapi boss?Miaka 4 leo yamejirudia juz yale yale sijui nakwama wapi
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐Ya kibabe na jinsi nilivyo mbavu watu walikuwa wanatulia kimya๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃnew year celebrations ikaleta taabu.........Trh 1.1.2024 pombe ilinidhalilisha.Nilinunua chupa kubwa ya grants mimi na mwana tukaanza kutumia....Sikufika nusu nikalewa chakari,nilitapika sana.Nakuja kuamka saa 12 asubuhi.
Sinywi tena pombe kali,ninaendelea na bia
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃUlitisha sana......ila ulikumbuka zana mzee?maana mara nyingi mtu ukishalewa vizuri vizuri mambo huwa ni mengi sana......huyo mhudumu aliyekuwa anakunywa Eagle mwamba sana๐คฃ๐คฃ๐คฃ.....Hana Baya๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.๐๐๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃUlijizima data ukaona liwalo na liwe๐คฃ๐คฃ๐คฃshkamoo pombe.Tupe mrejesho mkuu kwamba ulifanikiwa kuweka?au ndo ulichezea Cha mbavu na aibu kibao๐คฃNilimtongoza mama mkwe wangu namanisha mama mdogo wa mke wangu maana ni kisu kishenzi
Umenikumbusha mkasa wangu wa kwenye party ya welcome first year. Hii ilikuwa miaka ya tisini, na siku hiyo Msondo Jazz walikuwa Morogoro. Tukasema tuanzie pale msondo, then twende Moro hotel kwenye party. Kufika nakuta bia bingwa sijawahi kuiona, nikanywa bingwa 2 tu pale msondo. Tukaenda kwenye part, nikaendelea na bia nilizozoea. Nilishtukia baadaye niko chini ya ulinzi wa polisi, madai ni kumshika binti makalio, jamaa zake wakanipa kipondo cha maana
Nafikiri ungesema inategemea na uwezo wa mtu na KIWANGO Cha pombe,lakn usigeneralize kwamba pombe Kali hazina hangover........we๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃPombe kali hazina hang over ukilinganisha na beer, mimi nikinywa beer dah asubui nakuwa na hang over mpaka ninywe kahawa ndio napata afueni ila nikipiga kitu kali naamka fresh kabisa
Ndo hata mm kanifanya nishangae kweli....Tukuyu ipi yeye alienda wakati Tukuyu ni full baridi...kuna kipindi ukungu unatanda mpaka hamuonani vizuri...Ukisema Tukuyu hakuna baridi wanaoifahamu watashangaa sana.Mkuu tukuyu kuna baridi mbona kuliko mbeya mjini wewe ulienda tukuyu ipi?
Ila hizi Konyagi na pombe kali zenye viwango kupata hangover ni nadra sana, tatizo ni hivi vipombe vya elfu 2 tunavyokunywa bila msosi wa uhakika, yaani wanavichakachua wanaongeza methanol sana. Hapo hangover ni kawaida sana, plus matatizo ya kiafya (maini) yatakwenda kwao mapema sana.Nafikiri ungesema inategemea na uwezo wa mtu na KIWANGO Cha pombe,lakn usigeneralize kwamba pombe Kali hazina hangover........we๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Wakati niko kijana mdogo ndio naanza kazi, kulikua na party ya kiofisi pale Agip Motel Dar. Sasa na Mimi wakati huo najifunza pombe nikanywa beer mbili, zilipopanda kichwani nikaanza kumtongoza mama MTU mzima aliyekua amekaa pembeni yangu. Mama akawa anacheka tu na wenzake. Mimi ndio nazidi kumtongoza na mkono uko kwenye Goti lake. Mwisho wa party kila MTU alirudi kwao. Jumatatu asubuhi mama aliniita ofisini kwake halafu akaniambia, nimuambie Yale maneno nikiyosema juzi kwenye party. Aisee hiyo aibu ilikua sio
Yeah,pia hata tunaokunywa baada ya kuvichanganya let's say na energy drinks,soda,juice n.k. nayo inachangia kuleta wenge la asubuhi.....ila naskia hata hizi Kali ambazo ziko kitambo kwenye game tunaziaminia pia nazo eti wanazichakachua pia siku Hz๐ณ๐SA sijui ni kweli?Ila hizi Konyagi na pombe kali zenye viwango kupata hangover ni nadra sana, tatizo ni hivi vipombe vya elfu 2 tunavyokunywa bila msosi wa uhakika, yaani wanavichakachua wanaongeza methanol sana. Hapo hangover ni kawaida sana, plus matatizo ya kiafya (maini) yatakwenda kwao mapema sana.
Hapana, mwaka jana ilifanyika analysis ya pombe kali zote sokoni (Serikali ilihusika). Majibu yaliyotoka kwa hizi pombe zilizojizolea umaarufu kwa sababu ya bei, yanatisha sana. Baadhi zina methano ambayo hatutegemei kabisa iwepo. Pombe mojawapo ilikutwa na methanol content mpaka unaogopa.Yeah,pia hata tunaokunywa baada ya kuvichanganya let's say na energy drinks,soda,juice n.k. nayo inachangia kuleta wenge la asubuhi.....ila naskia hata hizi Kali ambazo ziko kitambo kwenye game tunaziaminia pia nazo eti wanazichakachua pia siku Hz๐ณ๐SA sijui ni kweli?