Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Daah!! Ouyaaa Wee. Pombe sio Poa.

Nina VISA vingi sana yaani sanaa maana sijui hata nielezee kipi niache kipi lakini kuna kimoja hicho sitakisahau Maisha.

Kipindi flani miaka ya nyuma sana nlikua Vijijini, Mkoani huko Kikazi. Sasa mimi ni yule mtu wa kujichanganya sana alafu siwezagi kunywa mwenyewe hata nikienda sehemu naweza kuanza mwenyewe lakini baada ya muda tu nakuwa nimeshazoeana na nliowakuta kisha tunaendelea kuenjoy mdogomdogo.

One day wikiendi hivi Saturday flani hivi imetulia. Nikatoka Ofisini mapema maana ni nusu siku nikaeda home nikaoga fresh nikachange Mkanda nje nikatupia T-Shirt na Jeans nikaenda Road.

Nikaenda kutulia Bar moja kubwa hivi ina Counter 1 barabarani huku nje na ndani mwisho kabisa kuna Counter ya 2 hapo katikati ndiyo watu wanakaa. Mimi nikawa nimetulia counter ya barabarani huku nakula vyedi (Safari) huku nacheki Magari yanapita, mengine yanaingia Bar, na mengine yanatoka napata burdani tosha kabisa.

Mpaka inafika saa 1 nshakula vyedi kama 6 hivi nikaona kama sielewi nikamchombeza Dada wa Counter amuite mtu wa Jikon alafu alivyorudi nikamzingua... Aaf kama vipi anipe K nichachue kama Maskhara vile nlikula Mvua za Matusi pale kejeli na kubinuliwa mdomo alinisema sana na kuniambia mimi namdhalilisha na kumuona Malaya mara yeye hajiuzi maneno mengi yakamtoka; nikaona isiwe kesi nikamwambia Sorry basi kunywa Bia na mimi nipe Bia nimeshakuelewa... Am sorry. Akapoa na mda huo nshamugiza Jamaa Mbavu Portion 2 na Ndizi 4.

Wakati naendelea na chupa zangu akawa anahudumia wateja wengine na wahudumu wanakuja pale counter kuchukua vinywaji lakini ananiangalia kwa hasira alafu anatikisha kichwa kama anasikitika hivi, mimi kwakua nshaharibu nikawa sina habari nampiga kijicho pembe nampotezea tu. Mara muda sio mrefu msosi ukaja mixer kachumbari nini Ndizi zimeremba sahani ya Bati ile pembe kwa pembe nikanawa nikamwambia jamaa amnawishe na yeye aje kula ila aongeze kwanza Bia 2 kama mwanzo mimi na yeye aikua anakunywa Eagle(Ndege) alafu ndiyo tuendelee. Akaniangalia Akatabasam huku anasikitika kama hataki vile.

Wakati tunaendelea kula pale yeye yuko ndani mimi niko nje viti virefu akaniangalia tena ila sasahivi akanikazia macho hivi nikamuuliza vipi umekabwa au akacheka akaniuliza Uko Serious, Kweli!!? Mimi nikatabasamu nikapiga funda kumezea nyama nikamjibu Ndiyo au ulijua nakuzingua!!? Tukaendelea kudonoa menu.

Tukiwa tunakribia kumaliza, nikamwachia sahani akae nayo ndan kule amalizia kabisa, namuona anakenua tu, Jamaa akaja nikanawa nikalipa nikaendelea kula Mma.[emoji97]

Ghafla naona napewa kirisit nikatahamaki vipi tena nikamuangalia na kumuuliza kwani nimekuomba Bill? Akaniambia kwa ishara Fungua usome... Daah!! Nikafungua nakuta ameandika "...Asa ntakupea wapi, tunafunga saa 10 leo." Nikacheka... Nikakichanachana kile kirisitk nkakitupa. Nikatulia. Mule Kaunta akanza kuhaha Mara atoke aingie ananifanyia Ishara ya Mikono akimaanish VIPI SASA!!? Nikamjibu Niongezee Bia alafu uje.

Akaongeza aaf, akanisogelea nikamwambia; "WEWE MTU MZIMA, UNANIULIZAJE MASWALI YA KITOTO HIVO." Nikaendelea na vyupa vyangu nakula monde tu... Akang'ata kidole akaendelea kuwahudumia wengine. Mara akakaa kwenye kiti chake pale ndani akawazaa alafu akatoka kisha akarudi akandika kirisit kingine; "... Ukiona amekuja mhudumu counter humu na mimi nimetoka basi uje ChaKike mwisho kabisa." Akanipa nikakisoma Chap nikamuoneshe Ngumi yenye Dole Gumba nikimaanisha Fresh! nimekusoma.

~ Itaendelea~

Lakini palepale Counter wakati Jamaa wa jikoni ananinawisha baada ya kumaliza kuna Mwamba alikuja akasalimia akakaa juu pale Kaunta nikawa katika kuongea nae na kumdodosa nikagundua ni Wajina yaani wakuitwa jina langu basi katika storystory nikamwambia Dada muongezee Bia ingiza bill yangu; Mwamba alikua anakunywa Plisner(Bia inanukaga Vibaya hii) fresh tukaendelea na story kama Mabest tunaojuana kumbe tumekutana palepale tena night hiyo hiyo.

Huku na huku Mwamba akanipanga kuna Mama Ntilie mmoja bonge wemepanga wakutane hapo ila kama fresh amchek aje na Msaidizi wake ili na mimi nisiwe mnyonge nikamwambia fresh utakua umenifaa aisee!! Tukacheka... Akampandia hewani na ile nokia six button akampanga aje na yule aliyemuhudumia yeye Mchana alivyoenda kula pale. Bonge akakubali. Baada tu ya kumaliza kuongea nae akaanza kumsifia huyo Msaidizi na kuniambia ni yaani Chombo ya Kwenda Aaf hata yeye ndiyo alikua anamtaka sema nini Big kampenda mwenyewe tu kwahiyo wacha aishi nae kwanza. Daah!! Kwa jinsi Mwamba alivyonipanga nikamwambia Dada wa Counter amuongeze Plisner ingine maana amenifurahisha Mwamba akawa ana Bia ya 3 Mpya ya pili iko nusu na ya kwanza keshamaliza.

Naomba niconclude(Nachoka kuandika): Nlijikuta nimekula Madem wote wa3 kizembe sana kwasababu yule wa Kaunta kule Toi nlienda nikapiga kimoja cha Mkwezi kirefu cha kishujaa cha kushika ukuta alafu pale hatukukaa sana walivyokuja wale Bonge na Msaidizi kumbe ni mtu na Shangazi yake tukawapiga bia kadhaa kila mtu tu nikalipa Bill yangu na jamaa akalipa yake tukaondoka Mwamba akatupeleka Kilabuni moja hivi Mashambani sio mbali na pale wanauza Pombe kwenye Makopo ya Chooni yale sema Makubwa na Madogo kama yale ya kuuzia Mbege. Alafu sijui ilikua Pombe gani ile ipo kama Mbege sema inarangj ya Maziwa na Mafuta kwa juu (kama uhudumiwe Maziwa ya Moto yenye Cream alafu yaanze kupoa kwenye Kikombe) ule utando sasa na machicha kidogo kwa juu kama uchafu hivi umechanganyika na mafuta unapuliza unakunywa.

Haina kushea kila mtu na mtuwe, Mwamba akaagiza Kubwa 2 mimi nikatoa Buku 2 na Mwamba akatoa Buku Jero kumbe Lile kopo Dogo ni Buku na lile Kubwa Ni Buku Jero; Mimi nimebigwa na Butwaa lakini sielewi wale wenzangu inaonekaga ndiyo Pigo zao kwasababu Bi Mkubwa( Hawa ni wale waMama wanakuuzia huku wamevaa Kanga/ Vitenge viwili tu kiunoni na kifuani tu. Aaf, wanakuaga aidha Mnene Sana au Mwembamba sana kisha Ni weusiii kama Mkaa sijawi ona Mweupe mimi) alivyoleta nini mixer wanaongea Kilugha mara onja ndiyo unipe mara ya leo mbona kama kali sijui machicha yamefanyaje ivoo yaani. Asa kwasababu pale Bar hawakuwa wamekunywa kivilee kama sisi waliyafakamia yale Mapombe pale mixer yule Bonge akaongezaa na Kopo dogo lile la Buku tukiwa tumekaa upenuni kwenye Benchi hivi tumezunguka duara tukifuatana na Mabenji mengine.

Mwamba alizima pale pale ikabidi mimi niondoke nao wote wawili mpaka kwangu njia nzima tunaimba nyimbo za kilugha mimi nafanya kuitikia tu. Asubuhi, Bonge alitapika Uvunguni sijui hata sina kumbukumbu yaani alitapikaje Uvunguni ambako hakufikiki hata, huku Chumba kizima kinanuka puya la Pombe za Kienyeji aaf yule Shangazi yake na yeye alikua hataki kuondoka... Eti kapapenda ghetto. Mimi sasa ndiyo sifai Kichwa Kinauma, Naskia Kiu kishenzi na huku Mdomoni sasa sijui nlikua najiskiaje ni chefuchefu sio kichefuchefu, machicha kama nimekula Mchanga vile na uso unang'aa kama nimeoga Mafuta. Mimi nimeamka na Boxer na wao kila mmoja ana Pensi lake kubwa lina mifuko yenye zipu huku Vifua wazi hivi nikawatoa hela kidogo wakaondoka, Siwajui na wao hawanijui mpka leo maana walitaka wapike Chai na mimi nlikua sina Chombo chochote ndani basi walivyotoka saa 5 hiyo kweupe kabisa Majirani na wapangaji wengine kama vile waliambiana Wageni rasmi wanatoka wakawa wamejipanga nje wawaone... Daah!! Aibu ile sitaisahau kamwe.
Aiseee...nimecheka kinyama.
 
Nlienda mkoa flani kikazi. Jamaa yangu akanialika weekend kwake. Nikaenda akanitoa out tukapige maji. Nlikunywa karibia crate zima la beer safari. Baadaye anasema nikaanza kuongea kwa uchungu sana nikilia kwa kumuonea huruma kuwa jamaa hajajenga ila anakunywa beer daily. Nlimsema sana bahati mbaya tulipokuwa pale alileta na mchepuko wake na mchepuko akaja na rafiki yake. Jamaa alijisikia aibu sana.

Bahati mbaya alikuwa amenitaka siku hiyo nikalale kwake ilikuwa Ijumaa.tuliporudi kwake nikaitisha kikao. Nikamsema sana mbele ya mke wake kuwa hafanyi mambo ya maendeleo anaendekeza mademu tu na pombe. Nikamwambia nisimuone tena na wale mademu aliowaleta pale bar

Nikaanza kumsema na shemeji yangu kuwa naye amekuwa hatumii akili. Anawaza kujilemba tu muda wote. Badala wasave pesa wafanye maisha. Wanazaa kma mbwa....watoto watano na bado hawajasettle.

Kesho yake asubuhi jamaa aliomba anirudishe guest. Hatukuwahi wasiliana tena mpaka leo.
[emoji2]
 
Kiwira, katumba, tukuyu mjini mpaka huku ushirika kuna baridi gani mkuu?
Baridi ipo mwakaleli kiasi ila komesha ni ifupa huko ndo baridi ipo,mbeya baridi si ya kusema japo siku moja moja ,nikisema baridi ni ifupa,dah huko mm nilikubali ,ifupa hata msimu usiyo na baridi kule bado utaikuta, kuna ukungu kama moshi unakuwa unatanda mda wote, kama vile ukifungua jokofu ile hewa unayokutana nayo ndo mwendo ule sasa
 
Tarehe 20 nitatimiza miezi mitatu bila kunywa pombe....

Miezi mitatu bila kufanya ngono.
Miezi mitatu bila kula wanga (ugali na wali)

Itakua miezi mitatu natimiza kilo 75 kutoka kilo 96.....

Super....
Kwamba haujaoa/kuolewa?
 
Ded: Young Killer a.k.a Msodoki ft. Belle 9 - Dear Gambe.
 
Baridi ipo mwakaleli kiasi ila komesha ni ifupa huko ndo baridi ipo,mbeya baridi si ya kusema japo siku moja moja ,nikisema baridi ni ifupa,dah huko mm nilikubali ,ifupa hata msimu usiyo na baridi kule bado utaikuta, kuna ukungu kama moshi unakuwa unatanda mda wote, kama vile ukifungua jokofu ile hewa unayokutana nayo ndo mwendo ule sasa
Upo sahihi mkuu, ifupa ni mbele ya igoma au kikondo kama sijakosea. Hata hapo igoma tu baridi lake sio
 
Wakati niko kijana mdogo ndio naanza kazi, kulikua na party ya kiofisi pale Agip Motel Dar. Sasa na Mimi wakati huo najifunza pombe nikanywa beer mbili, zilipopanda kichwani nikaanza kumtongoza mama MTU mzima aliyekua amekaa pembeni yangu. Mama akawa anacheka tu na wenzake. Mimi ndio nazidi kumtongoza na mkono uko kwenye Goti lake. Mwisho wa party kila MTU alirudi kwao. Jumatatu asubuhi mama aliniita ofisini kwake halafu akaniambia, nimuambie Yale maneno nikiyosema juzi kwenye party. Aisee hiyo aibu ilikua sio ya dunia hii.
Umenikumbusha mkasa wangu wa kwenye party ya welcome first year. Hii ilikuwa miaka ya tisini, na siku hiyo Msondo Jazz walikuwa Morogoro. Tukasema tuanzie pale msondo, then twende Moro hotel kwenye party. Kufika nakuta bia bingwa sijawahi kuiona, nikanywa bingwa 2 tu pale msondo. Tukaenda kwenye part, nikaendelea na bia nilizozoea. Nilishtukia baadaye niko chini ya ulinzi wa polisi, madai ni kumshika binti makalio, jamaa zake wakanipa kipondo cha maana
 
Tukuyu ya wapi iliyo na baridi kuliko mbeya? Tukuyu kuna baridi ila sio ya kuizidi pale uyole.. kwa mvua tukuyu haina mpinzani
Mkuu waweza kuwa uko sawa kabisa. Baridi ya bonde lote la Uyole huwa kali sana, unakuta mpaka grass tempereture inasoma 0 Centigrade. Ila meneo mengi ya Mkoa wa Mbeya hayana baridi kali kiasi hicho
 
Mzee mmoja alikuwa much know sana, anatukana sana watu akilewa, mropokaji wa ovyo wenye kukera kila anayemsikiliza!
Baada ya tafakari ya siku kadhaa washikaji zangu Pius na Alex (sio majina yao halisi) wakaka come up na njia ya kukomesha hii tabia, wakapanga siku wakampigisha tungi sana baadae akazima, walikuwa wamejiandaa kwa zana zote, wakamchukua hadi karibu na kwake, wakachukua mayai mawili ndani ya suruali kwa nyuma, wakachukua marker pen wakaandika Maneno "Tumekuf*ra! Sitori sikazagaa kwamba jamaa kafanyiwa mchezo chafu.... mkewe akajua, watoto pia etc.... jamaa, from that day aliacha pombe kbs!!!
 
Ilikuwa mwezi wa 8 siku ya mechi ya ngao ya jamii kati ya Simba na Yanga. Nilirudi nyumbani kusalimia wazazi nikawakuta na madogo wapo likizo. Nilirudi na binti yangu wa miaka 4. Kwahiyo home tulikuwa mimi, baba mzazi, wadogo zangu 2 wa kiume 18 yrs na 14 yrs na pia binti yangu wa 4 yrs.

Kisa kinaanza mzee na madogo mashabiki wa Yanga kindakindaki. Basi siku hiyo mzee akarudi na wine kwenye dumu la lita 3. Baada ya mechi kuisha ile furaha ya ushindi mzee akasema tupate glas moja moja ya wine. Basi tukagawana pale mtoto akapewa maziwa ili asijihisi mnyonge. Ikaisha glas ya kwanza ikaongezwa ya pili hapo tukachangamka dogo anayenifwata ameshapendeza akasema jamani natamani kucheza mziki mzee akasema weka tufurahie.
Basi ikawa wanacheza mziki huku mimi nakunywa ikiisha naongeza si nikalewa. Baada ya muda mzee akasema yeye anaenda zake kulala si tuendelee kufurahia ushindi wa Yanga.

Hapo ndio panaponipa aibu ya kumwangalia mzee mpaka kesho wine imepanda kichwani nikamwambua mzee sasa tunakusindikiza kwa muziki mpaka mlangoni kwako, basi nikawapanga kuanzia mzee, nafwata first born hadi wa mwisho naongoza kucheza kumsindikiza mzee kulala amefika mlangoni nikampa speech matata sana ya kumkubali jembe letu la familia.

Inshort tukarudi sebuleni kuendelea kunywa mpaka tukamaliza dumu lote nikiwa kinara wa kunywa na kucheza mziki vituko nilivyofanya kesho yake nasimuliwa nikaapa siji kunywa tena aisee. Kukazia mwanangu akawa anawasimulia babu na anko zake jana usiku mama alitapika nilijisikia aibu sana.
Bado nilianza kuwapigia simu watu usiku saa 7 naongea visivyoeleweka kesho yake ndio wananipigia kunieleza hadi aibu. Ilikuwa moment nzuri ila ilinifadhaisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

wanawake 99% pombe mnafosi sana,sio yenu kabisa.

kama hujatoa boko namna hii basi ni kuuza unyumba mpaka kwa vichaa.
 
Itakua ulilala BRK mbele ya Kaites Kuna danguro! Hahaaa
Hahaaaa pale sijawahi piga ila huwa naingia kuvuta muda kwenye ile kaunta yao....

Niliwaka tu nikawa nazinguanmixer kushika bambataa....

Ila kwa sasa nimeweza kupumzika pombe nina mwezi wa 4 sasa no alcohol...
 
Tarehe 20 nitatimiza miezi mitatu bila kunywa pombe....

Miezi mitatu bila kufanya ngono.
Miezi mitatu bila kula wanga (ugali na wali)

Itakua miezi mitatu natimiza kilo 75 kutoka kilo 96.....

Super....
Kitu sijaweza toboa hapa ni kufikisha 75kg zimegomea 80kg so natumai mpaka dec atleat iwe hata 77 au 75 kabsa.. ..

Vingine mpaka sasa nmemaintain..

No alcohol
No sex
No wanga

Nione kama nitakufa...😀😀
 
Binafsi nakunywa pombe mara mojamoja, naweza kupitisha mwezi sijanywa ila nikinywa huwa nalipiza siku ambazo sikunywa kabisa. Hii imenikuta wiki chache zilizopita tulikuwa na event na marafiki tunaotoka sehemu moja, kwenye pombe mbuzi anahusika nilisimamia kitengo.

Nilikunywa mpaka K Vant nikaiona kama soda, nakuja kustuka pombe imenizidi kiasi hata kutembea ilikuwa noma. Sifanyi fujo nikilewa kila mtu alifurahi lakini balaa lipo kwa ndugu zangu kujua kuwa ninakunywa. Busara ilitumika simu yangu nikaicha kwa mtu niipate nikiwa fresh.

Ase nilifanya safari ya saa 1 na nusu peke yangu nikiwa nimelewa na sijui nilifikaje nyumbani, kuja kustuka ni asubuhi niko kitandani tatizo limebaki kwa ndugu zangu. Wakati nimeacha simu kwa rafiki nilipigiwa jamaa akapokea na kuwaambia niko kwenye matatizo ile kitu ilizua taharuki watu hawajalala kuulizia hali yangu maana mimi sikupatikana tena.

Hii kitu imeniweka sehemu mbaya sana hakuna mtu anataka kunielewa tena. Ukweli nimekwama nimeamua kuacha pombe maana naona itanigombanisha na ndugu.
Kupotea njia najikuta asubuhi kibarazani kwa watu.
 
Umenikumbusha mkasa wangu wa kwenye party ya welcome first year. Hii ilikuwa miaka ya tisini, na siku hiyo Msondo Jazz walikuwa Morogoro. Tukasema tuanzie pale msondo, then twende Moro hotel kwenye party. Kufika nakuta bia bingwa sijawahi kuiona, nikanywa bingwa 2 tu pale msondo. Tukaenda kwenye part, nikaendelea na bia nilizozoea. Nilishtukia baadaye niko chini ya ulinzi wa polisi, madai ni kumshika binti makalio, jamaa zake wakanipa kipondo cha maana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daah!! Ouyaaa Wee. Pombe sio Poa.

Nina VISA vingi sana yaani sanaa maana sijui hata nielezee kipi niache kipi lakini kuna kimoja hicho sitakisahau Maisha.

Kipindi flani miaka ya nyuma sana nlikua Vijijini, Mkoani huko Kikazi. Sasa mimi ni yule mtu wa kujichanganya sana alafu siwezagi kunywa mwenyewe hata nikienda sehemu naweza kuanza mwenyewe lakini baada ya muda tu nakuwa nimeshazoeana na nliowakuta kisha tunaendelea kuenjoy mdogomdogo.

One day wikiendi hivi Saturday flani hivi imetulia. Nikatoka Ofisini mapema maana ni nusu siku nikaeda home nikaoga fresh nikachange Mkanda nje nikatupia T-Shirt na Jeans nikaenda Road.

Nikaenda kutulia Bar moja kubwa hivi ina Counter 1 barabarani huku nje na ndani mwisho kabisa kuna Counter ya 2 hapo katikati ndiyo watu wanakaa. Mimi nikawa nimetulia counter ya barabarani huku nakula vyedi (Safari) huku nacheki Magari yanapita, mengine yanaingia Bar, na mengine yanatoka napata burdani tosha kabisa.

Mpaka inafika saa 1 nshakula vyedi kama 6 hivi nikaona kama sielewi nikamchombeza Dada wa Counter amuite mtu wa Jikon alafu alivyorudi nikamzingua... Aaf kama vipi anipe K nichachue kama Maskhara vile nlikula Mvua za Matusi pale kejeli na kubinuliwa mdomo alinisema sana na kuniambia mimi namdhalilisha na kumuona Malaya mara yeye hajiuzi maneno mengi yakamtoka; nikaona isiwe kesi nikamwambia Sorry basi kunywa Bia na mimi nipe Bia nimeshakuelewa... Am sorry. Akapoa na mda huo nshamugiza Jamaa Mbavu Portion 2 na Ndizi 4.

Wakati naendelea na chupa zangu akawa anahudumia wateja wengine na wahudumu wanakuja pale counter kuchukua vinywaji lakini ananiangalia kwa hasira alafu anatikisha kichwa kama anasikitika hivi, mimi kwakua nshaharibu nikawa sina habari nampiga kijicho pembe nampotezea tu. Mara muda sio mrefu msosi ukaja mixer kachumbari nini Ndizi zimeremba sahani ya Bati ile pembe kwa pembe nikanawa nikamwambia jamaa amnawishe na yeye aje kula ila aongeze kwanza Bia 2 kama mwanzo mimi na yeye aikua anakunywa Eagle(Ndege) alafu ndiyo tuendelee. Akaniangalia Akatabasam huku anasikitika kama hataki vile.

Wakati tunaendelea kula pale yeye yuko ndani mimi niko nje viti virefu akaniangalia tena ila sasahivi akanikazia macho hivi nikamuuliza vipi umekabwa au akacheka akaniuliza Uko Serious, Kweli!!? Mimi nikatabasamu nikapiga funda kumezea nyama nikamjibu Ndiyo au ulijua nakuzingua!!? Tukaendelea kudonoa menu.

Tukiwa tunakribia kumaliza, nikamwachia sahani akae nayo ndan kule amalizia kabisa, namuona anakenua tu, Jamaa akaja nikanawa nikalipa nikaendelea kula Mma.[emoji97]

Ghafla naona napewa kirisit nikatahamaki vipi tena nikamuangalia na kumuuliza kwani nimekuomba Bill? Akaniambia kwa ishara Fungua usome... Daah!! Nikafungua nakuta ameandika "...Asa ntakupea wapi, tunafunga saa 10 leo." Nikacheka... Nikakichanachana kile kirisitk nkakitupa. Nikatulia. Mule Kaunta akanza kuhaha Mara atoke aingie ananifanyia Ishara ya Mikono akimaanish VIPI SASA!!? Nikamjibu Niongezee Bia alafu uje.

Akaongeza aaf, akanisogelea nikamwambia; "WEWE MTU MZIMA, UNANIULIZAJE MASWALI YA KITOTO HIVO." Nikaendelea na vyupa vyangu nakula monde tu... Akang'ata kidole akaendelea kuwahudumia wengine. Mara akakaa kwenye kiti chake pale ndani akawazaa alafu akatoka kisha akarudi akandika kirisit kingine; "... Ukiona amekuja mhudumu counter humu na mimi nimetoka basi uje ChaKike mwisho kabisa." Akanipa nikakisoma Chap nikamuoneshe Ngumi yenye Dole Gumba nikimaanisha Fresh! nimekusoma.

~ Itaendelea~

Lakini palepale Counter wakati Jamaa wa jikoni ananinawisha baada ya kumaliza kuna Mwamba alikuja akasalimia akakaa juu pale Kaunta nikawa katika kuongea nae na kumdodosa nikagundua ni Wajina yaani wakuitwa jina langu basi katika storystory nikamwambia Dada muongezee Bia ingiza bill yangu; Mwamba alikua anakunywa Plisner(Bia inanukaga Vibaya hii) fresh tukaendelea na story kama Mabest tunaojuana kumbe tumekutana palepale tena night hiyo hiyo.

Huku na huku Mwamba akanipanga kuna Mama Ntilie mmoja bonge wemepanga wakutane hapo ila kama fresh amchek aje na Msaidizi wake ili na mimi nisiwe mnyonge nikamwambia fresh utakua umenifaa aisee!! Tukacheka... Akampandia hewani na ile nokia six button akampanga aje na yule aliyemuhudumia yeye Mchana alivyoenda kula pale. Bonge akakubali. Baada tu ya kumaliza kuongea nae akaanza kumsifia huyo Msaidizi na kuniambia ni yaani Chombo ya Kwenda Aaf hata yeye ndiyo alikua anamtaka sema nini Big kampenda mwenyewe tu kwahiyo wacha aishi nae kwanza. Daah!! Kwa jinsi Mwamba alivyonipanga nikamwambia Dada wa Counter amuongeze Plisner ingine maana amenifurahisha Mwamba akawa ana Bia ya 3 Mpya ya pili iko nusu na ya kwanza keshamaliza.

Naomba niconclude(Nachoka kuandika): Nlijikuta nimekula Madem wote wa3 kizembe sana kwasababu yule wa Kaunta kule Toi nlienda nikapiga kimoja cha Mkwezi kirefu cha kishujaa cha kushika ukuta alafu pale hatukukaa sana walivyokuja wale Bonge na Msaidizi kumbe ni mtu na Shangazi yake tukawapiga bia kadhaa kila mtu tu nikalipa Bill yangu na jamaa akalipa yake tukaondoka Mwamba akatupeleka Kilabuni moja hivi Mashambani sio mbali na pale wanauza Pombe kwenye Makopo ya Chooni yale sema Makubwa na Madogo kama yale ya kuuzia Mbege. Alafu sijui ilikua Pombe gani ile ipo kama Mbege sema inarangj ya Maziwa na Mafuta kwa juu (kama uhudumiwe Maziwa ya Moto yenye Cream alafu yaanze kupoa kwenye Kikombe) ule utando sasa na machicha kidogo kwa juu kama uchafu hivi umechanganyika na mafuta unapuliza unakunywa.

Haina kushea kila mtu na mtuwe, Mwamba akaagiza Kubwa 2 mimi nikatoa Buku 2 na Mwamba akatoa Buku Jero kumbe Lile kopo Dogo ni Buku na lile Kubwa Ni Buku Jero; Mimi nimebigwa na Butwaa lakini sielewi wale wenzangu inaonekaga ndiyo Pigo zao kwasababu Bi Mkubwa( Hawa ni wale waMama wanakuuzia huku wamevaa Kanga/ Vitenge viwili tu kiunoni na kifuani tu. Aaf, wanakuaga aidha Mnene Sana au Mwembamba sana kisha Ni weusiii kama Mkaa sijawi ona Mweupe mimi) alivyoleta nini mixer wanaongea Kilugha mara onja ndiyo unipe mara ya leo mbona kama kali sijui machicha yamefanyaje ivoo yaani. Asa kwasababu pale Bar hawakuwa wamekunywa kivilee kama sisi waliyafakamia yale Mapombe pale mixer yule Bonge akaongezaa na Kopo dogo lile la Buku tukiwa tumekaa upenuni kwenye Benchi hivi tumezunguka duara tukifuatana na Mabenji mengine.

Mwamba alizima pale pale ikabidi mimi niondoke nao wote wawili mpaka kwangu njia nzima tunaimba nyimbo za kilugha mimi nafanya kuitikia tu. Asubuhi, Bonge alitapika Uvunguni sijui hata sina kumbukumbu yaani alitapikaje Uvunguni ambako hakufikiki hata, huku Chumba kizima kinanuka puya la Pombe za Kienyeji aaf yule Shangazi yake na yeye alikua hataki kuondoka... Eti kapapenda ghetto. Mimi sasa ndiyo sifai Kichwa Kinauma, Naskia Kiu kishenzi na huku Mdomoni sasa sijui nlikua najiskiaje ni chefuchefu sio kichefuchefu, machicha kama nimekula Mchanga vile na uso unang'aa kama nimeoga Mafuta. Mimi nimeamka na Boxer na wao kila mmoja ana Pensi lake kubwa lina mifuko yenye zipu huku Vifua wazi hivi nikawatoa hela kidogo wakaondoka, Siwajui na wao hawanijui mpka leo maana walitaka wapike Chai na mimi nlikua sina Chombo chochote ndani basi walivyotoka saa 5 hiyo kweupe kabisa Majirani na wapangaji wengine kama vile waliambiana Wageni rasmi wanatoka wakawa wamejipanga nje wawaone... Daah!! Aibu ile sitaisahau kamwe.
😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom