Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Yeah,pia hata tunaokunywa baada ya kuvichanganya let's say na energy drinks,soda,juice n.k. nayo inachangia kuleta wenge la asubuhi.....ila naskia hata hizi Kali ambazo ziko kitambo kwenye game tunaziaminia pia nazo eti wanazichakachua pia siku HzšŸ˜³šŸ™SA sijui ni kweli?
Haishauriwi kabisa kuchanganya pombe kali na energy drinks, sijui huwa tunatafuta nini.
Yeah,pia hata tunaokunywa baada ya kuvichanganya let's say na energy drinks,soda,juice n.k. nayo inachangia kuleta wenge la asubuhi.....ila naskia hata hizi Kali ambazo ziko kitambo kwenye game tunaziaminia pia nazo eti wanazichakachua pia siku HzšŸ˜³šŸ™SA sijui ni kweli?
 
Binafsi nakunywa pombe mara mojamoja, naweza kupitisha mwezi sijanywa ila nikinywa huwa nalipiza siku ambazo sikunywa kabisa. Hii imenikuta wiki chache zilizopita tulikuwa na event na marafiki tunaotoka sehemu moja, kwenye pombe mbuzi anahusika nilisimamia kitengo.

Nilikunywa mpaka K Vant nikaiona kama soda, nakuja kustuka pombe imenizidi kiasi hata kutembea ilikuwa noma. Sifanyi fujo nikilewa kila mtu alifurahi lakini balaa lipo kwa ndugu zangu kujua kuwa ninakunywa. Busara ilitumika simu yangu nikaicha kwa mtu niipate nikiwa fresh.

Ase nilifanya safari ya saa 1 na nusu peke yangu nikiwa nimelewa na sijui nilifikaje nyumbani, kuja kustuka ni asubuhi niko kitandani tatizo limebaki kwa ndugu zangu. Wakati nimeacha simu kwa rafiki nilipigiwa jamaa akapokea na kuwaambia niko kwenye matatizo ile kitu ilizua taharuki watu hawajalala kuulizia hali yangu maana mimi sikupatikana tena.

Hii kitu imeniweka sehemu mbaya sana hakuna mtu anataka kunielewa tena. Ukweli nimekwama nimeamua kuacha pombe maana naona itanigombanisha na ndugu.
Nlikua nikilewa natongoza mabosi na mashemeji wangu nataka wanipe qumaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa nasafiri toka mwanza kwenda Dar usiku wa kuamkia safari nilipiga cocktail za maana Hadi saa Tisa usiku halafu safari ikaanza 11 alfajir dadadek kufika maeneo ya kibaigwa nilijinyea na kujikojolea nikawa nanuka Ile mbaya Hadi Kuna wakati konda aliitwa kiukweli pombe zilianza kupungua na mzigo ukaanza kushuka kwenye viatu ndipo nilipofikia dumila kwakuwa Giza lilikuwa limeingia nikashikia hapo yaani abiria walinizomea harufu nilikuwa naiacha yaani nikaenda kwenye ule mto wa dumila karibu na feli nikajitupa humo na nikampigia sim msela angu flani akaja na nguo zile nilizokuwa nazo nikajitupa mtoni ila hili tukio hakuna family member anajua
 
Binafsi nakunywa pombe mara mojamoja, naweza kupitisha mwezi sijanywa ila nikinywa huwa nalipiza siku ambazo sikunywa kabisa. Hii imenikuta wiki chache zilizopita tulikuwa na event na marafiki tunaotoka sehemu moja, kwenye pombe mbuzi anahusika nilisimamia kitengo.

Nilikunywa mpaka K Vant nikaiona kama soda, nakuja kustuka pombe imenizidi kiasi hata kutembea ilikuwa noma. Sifanyi fujo nikilewa kila mtu alifurahi lakini balaa lipo kwa ndugu zangu kujua kuwa ninakunywa. Busara ilitumika simu yangu nikaicha kwa mtu niipate nikiwa fresh.

Ase nilifanya safari ya saa 1 na nusu peke yangu nikiwa nimelewa na sijui nilifikaje nyumbani, kuja kustuka ni asubuhi niko kitandani tatizo limebaki kwa ndugu zangu. Wakati nimeacha simu kwa rafiki nilipigiwa jamaa akapokea na kuwaambia niko kwenye matatizo ile kitu ilizua taharuki watu hawajalala kuulizia hali yangu maana mimi sikupatikana tena.

Hii kitu imeniweka sehemu mbaya sana hakuna mtu anataka kunielewa tena. Ukweli nimekwama nimeamua kuacha pombe maana naona itanigombanisha na ndugu.
wakati wa Nuhu pia watu walikuwa hivi hivi. walikuwa wanakula na kunywa, wakioa na kuolewa, kifupi ni kwamba walikuwa wanakula bata, hadi siku ilipofika hawakuamini macho yao, na mlango ulishafungwa. Uishi ukijua kuna siku aidha utakufa au Yesu atarudi atakukuta, kama ulikuwa umeokoka utaurithi uzima ila ukifa au unyakuo ukija bado, utapata adhabu. Mungu amekupa nafasi hii leo, ni opportunity ya kubadili maisha yako, mrudie Mungu, onjeni muone ya kuwa Bwana yu mwema, heri mtu yule anayemtumaini Bwana, jaribu tu kuokoka, uone kama ni kubaya, uone kama kweli kunabadilisha moyo na maisha au la, wengi wanaona aibu kuokoka, wengine msingi wao wa kupata pesa umejikita kwenye njia zilizo kinyume na wokovu hivyo wanaona wakiokoka watakata mrija wa pesa, wengine wanaona ni jambo la aibu, Yesu alisema atakayenionea haya mbele za watu nami nitamwonea haya mbele za Baba, atakayenikiri mbele za watu nami nitamkiri mbele za BAba. zitafakarini njia zenu, tafakari halafu chukua hatua. Mungu awabariki.

Luka 17:26 – 37: YESU AKAWAAMBIA; Na kama ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo itakavyokuwa katika siku zake Mwana wa Adamu. Watu walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakioa na kuolewa, hata siku ile Nuhu aliyoingia katika safina, gharika ikashuka, ikawaangamiza wote.

Na kadhalika, kama ilivyokuwa katika siku za LUtu, walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakinunua na kuuza, wakipanda na kujenga; lakini siku ile LUtu aliyotoka Sodoma kulinyesha moto na kibiriti kutoka mbinguni vikawaangamiza wote.

Hivyo ndivyo itakavyokuwa siku ile atakayofunuliwa Mwana wa Adamu. Katika siku ile, aliye juu ya dari, na vyombo vyake vimo ndani ya nyumba, asishuke ili kuvitwaa; na kadhalika, aliye shambani asirejee nyuma. Mkumbukeni mkewe Lutu. Mtu yeyote atakaye kuiponya nafsi yake ataiangamiza; na yeyote atakayeiangamiza ataiponya. Nawaambia, usiku huo watu wawili watakuwa katika kitanda kimoja, mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa. Wanawake wawili watakuwa wakisaga pamoja, mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa. Watu wawili watakuwa shambani, mmoja atatwaliwa mmoja ataachwa. Wakajibu wakamwuliza, wapi Bwana? Akawaambia, ulipo mzoga ndipo watakapokutanika tai.

Soma pia Mathayo 24:37.- 38 37 Kama ilivyokuwa wakati wa Nuhu, ndivyo itakavyokuwa atakaporudi Mwana wa Adamu. 38 Kwa maana siku zile kabla ya gharika, watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka siku ile Nuhu alipoingia kwenye safina.
 
Nimemaliza kusoma comment moja baada ya nyingine, itoshe kusema Kuna watu wana visa babu kubwa humu especially nyie wote mliojichafua kisa pombe. Mm pia ni mnywaji mzuri mno toka nimeanza advanced level 2007 shule moja Pwani region mpaka kuanza chuo 2009 kumaliza na kuanza michakato ya kazi 2013 mpaka leo hii 2024.
Mikasa niliyoipata kwenye mitungi ni mingi sana ikiwemo ajali 3, mbili zikihusisha gari niliyoinunua kwa million 12 mwaka 2016 kuiuza kwa 4.5m after 3 years kutokana na mbanga.

Achilia mbali mbanga za kuokota wadau wa 20k, Kuna siku nikala hadi kazi ambayo kichwani haiko sawa nilijua kesho yake baada ya kurudi kwenye ile pub kumbe ile demu imechezewa akili inakaa pale kuokota wale walevi sana wakaigonge kila nikikumbuka hili tukio dah!
Nahisi nimekunywa ghorofa zangu 3 mpaka sasa, ila bado naendelea na siachi labda niumwe Figo, sana sana naendelea kuset mitego mingine nje ya mshahara na posho kupata pesa za kula kilaja. Tule monde
 
Hii kitu kuacha ni ngumu labda yenyewe ikuache
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Franky Pole mkuu.....kuna picha imenijia hapa baada ya kusoma comment yako......Kama ni Pub flan hv Iko nyuma ya stand flan kubwa hv ya mabasi ya mikoani ambayo sahv imehamishiwa sehemu nyingine naweza nikaconnect dots nikajua wapi uliokota hyo pisi iliyochezewa akili.🤣🤣🤣.Jina la hyo Pub linaanza na herufi S.,jiko lao la kuchomea nyama lipo Kwa nje hv!
 
Mkoa gani na wilaya mzee baba nijue kama code imevujaa
 
Twangana na mapolisi mara 2. sio bongo.
Nikapigwa Selo mara 2.
Nilizingua mpk wakanifukuza.
Tukapiga fegi nao huyo nikaenda home.
Siku nikatimka saa tisa usiku na wenge langu mi naona kumekucha niwahi job.
Aah wapi kumbe mapeema,
Mlinzi ananiambia hapa unatakiwa uingie saa moja
Tukabaki tunapiga story tu hadi mda ukafika.
 
Kuna siku nilikuwa napanda daladala naenda nyumbani, mwaka wa nne chuo kikuu. ile kufika kwenye daladala nikakuta kuna wanaume wawili wanapigana, kuangalia ni conductor na abiria. kumwangalia abiria ni mjomba wangu alikuwa na miaka kama 55 hivi, pande la mtu. kumbe mjomba alikuwa amekunywa pombe, zilimzidi na alijisaidia haja kubwa (ninasema hili kwa uchungu kwasababu nilipata aibu mno), suruali kwa nyuma ililowa kabisa naona mapombe yalitoka kama yalivyo, sasa alipokaa kwenye daladala abiria wakaanza kumkimbia, konda kumshusha wakaoshe gari kwa nguvu ndio ngumi zile nilizikuta, yeye anaona anaaibishwa, watu wamekusanyika wanamwangalia. niwe mkweli, nilijifanya simjui (nadhani ni utoto kwasababu nilikuwa mwanafunzi wa chuo bado na sikuwa na pesa ya kumchukulia taxi na kwasababu hakuniona na nilisimama distance, niliondoka eneo lile).

ajabu yake, hakuachaga pombe hadi anakufa pamoja na aibu kubwa namna hii. dereva kaondoa daladala kaenda kuiosha anapiga kelele ati daladala yangu yote inanuka choo. this is a true story.
 
Back
Top Bottom