Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Nlienda mkoa flani kikazi. Jamaa yangu akanialika weekend kwake. Nikaenda akanitoa out tukapige maji. Nlikunywa karibia crate zima la beer safari. Baadaye anasema nikaanza kuongea kwa uchungu sana nikilia kwa kumuonea huruma kuwa jamaa hajajenga ila anakunywa beer daily. Nlimsema sana bahati mbaya tulipokuwa pale alileta na mchepuko wake na mchepuko akaja na rafiki yake. Jamaa alijisikia aibu sana.

Bahati mbaya alikuwa amenitaka siku hiyo nikalale kwake ilikuwa Ijumaa.tuliporudi kwake nikaitisha kikao. Nikamsema sana mbele ya mke wake kuwa hafanyi mambo ya maendeleo anaendekeza mademu tu na pombe. Nikamwambia nisimuone tena na wale mademu aliowaleta pale bar

Nikaanza kumsema na shemeji yangu kuwa naye amekuwa hatumii akili. Anawaza kujilemba tu muda wote. Badala wasave pesa wafanye maisha. Wanazaa kma mbwa....watoto watano na bado hawajasettle.

Kesho yake asubuhi jamaa aliomba anirudishe guest. Hatukuwahi wasiliana tena mpaka leo.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mi ningekufukuza hapo bar kwanza
Ulienda chonganisha mji wa watu
 
Nlienda mkoa flani kikazi. Jamaa yangu akanialika weekend kwake. Nikaenda akanitoa out tukapige maji. Nlikunywa karibia crate zima la beer safari. Baadaye anasema nikaanza kuongea kwa uchungu sana nikilia kwa kumuonea huruma kuwa jamaa hajajenga ila anakunywa beer daily. Nlimsema sana bahati mbaya tulipokuwa pale alileta na mchepuko wake na mchepuko akaja na rafiki yake. Jamaa alijisikia aibu sana.

Bahati mbaya alikuwa amenitaka siku hiyo nikalale kwake ilikuwa Ijumaa.tuliporudi kwake nikaitisha kikao. Nikamsema sana mbele ya mke wake kuwa hafanyi mambo ya maendeleo anaendekeza mademu tu na pombe. Nikamwambia nisimuone tena na wale mademu aliowaleta pale bar

Nikaanza kumsema na shemeji yangu kuwa naye amekuwa hatumii akili. Anawaza kujilemba tu muda wote. Badala wasave pesa wafanye maisha. Wanazaa kma mbwa....watoto watano na bado hawajasettle.

Kesho yake asubuhi jamaa aliomba anirudishe guest. Hatukuwahi wasiliana tena mpaka leo.
Dah!we mkorofi kinoma
 
Miaka kama 10 iliyopita Nilitembea juu ya mkaa wa motoo nikiamini nina special powers siwezi ungua...aisee sitosahau nilikaa ndani week 2[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si mchezo..
Mwaka 2008, Nilikuwa Mbeya Tukuyu Kikazi, Nilikuwa nimetokea Mbeya Mjini ambapo Kuna baridi, Dose yangu ilikuwa Tusker Kumi, View attachment 1614054 Kwenda Tukuyu Nikaendelea na dose ileile bila kugundua kuwa Hali ya hewa ya Tukuyu Ni Tofauti na Mbeya Mjini. Na Pombe. Hukolea kwenye Joto, Tukuyu Kuna Joto. Mzee Mzima Nikavesha Kama kawaida, mpaka saa tano FULANI hivi, Sasa kimbembe Nikasahau Guest, Nikaenda kugonga Nyumba ambayo Inaangaliana na Guest Huku Povu likinitoka kwanini wafunge na Mimi bado sijarudi. Ebwana mlango ulifunguliwa na Mbaba mmoja akiwa na njemba tatu (Watoto wake) Nilichezea vitasa vyakutosha kila nikiweka Gurd wapi. Niliokolewa na Staff wenzangu Baada ya kuhisi kuwa sijarudi na wanasikia kelele za sauti yangu. Asee hiyo ilikuwa moja Ila Pombe kuacha bado nafikiria.
 
Matukio mawili 1.Nilimtongoza mama mkwe infact sio mama wa mke wangu lakini ni mama mdogo wa mke wangu kwa kweli ni kifaa na tumelingana alishindwa nipa mchezo vile alimuheshimu tu mtoto wa dada yake 2.Nilitembea hadi asubuhi sifiki ninakokwenda. kufika asubuhi jamaa mmoja akanishtua hapo ndio nikajua kumbe nilipotea
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aisee wee balaaa
 
Nlienda mkoa flani kikazi. Jamaa yangu akanialika weekend kwake. Nikaenda akanitoa out tukapige maji. Nlikunywa karibia crate zima la beer safari. Baadaye anasema nikaanza kuongea kwa uchungu sana nikilia kwa kumuonea huruma kuwa jamaa hajajenga ila anakunywa beer daily. Nlimsema sana bahati mbaya tulipokuwa pale alileta na mchepuko wake na mchepuko akaja na rafiki yake. Jamaa alijisikia aibu sana.

Bahati mbaya alikuwa amenitaka siku hiyo nikalale kwake ilikuwa Ijumaa.tuliporudi kwake nikaitisha kikao. Nikamsema sana mbele ya mke wake kuwa hafanyi mambo ya maendeleo anaendekeza mademu tu na pombe. Nikamwambia nisimuone tena na wale mademu aliowaleta pale bar

Nikaanza kumsema na shemeji yangu kuwa naye amekuwa hatumii akili. Anawaza kujilemba tu muda wote. Badala wasave pesa wafanye maisha. Wanazaa kma mbwa....watoto watano na bado hawajasettle.

Kesho yake asubuhi jamaa aliomba anirudishe guest. Hatukuwahi wasiliana tena mpaka leo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]falaaa sanaa
 
Wakati niko kijana mdogo ndio naanza kazi, kulikua na party ya kiofisi pale Agip Motel Dar. Sasa na Mimi wakati huo najifunza pombe nikanywa beer mbili, zilipopanda kichwani nikaanza kumtongoza mama MTU mzima aliyekua amekaa pembeni yangu. Mama akawa anacheka tu na wenzake. Mimi ndio nazidi kumtongoza na mkono uko kwenye Goti lake. Mwisho wa party kila MTU alirudi kwao. Jumatatu asubuhi mama aliniita ofisini kwake halafu akaniambia, nimuambie Yale maneno nikiyosema juzi kwenye party. Aisee hiyo aibu ilikua sio ya dunia hii.
Mkuu wakati mwingine hawa wamama huwa wanapenda kutongozwa na anakuuliza ivyo ajue kama ulikua unamaanisha. Mwisho wa siku kama haikua serious unaomba msamaha najua na yeye ataelewa ilikua ni pombe tu heshima yenu ibaki palepale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlienda mkoa flani kikazi. Jamaa yangu akanialika weekend kwake. Nikaenda akanitoa out tukapige maji. Nlikunywa karibia crate zima la beer safari. Baadaye anasema nikaanza kuongea kwa uchungu sana nikilia kwa kumuonea huruma kuwa jamaa hajajenga ila anakunywa beer daily. Nlimsema sana bahati mbaya tulipokuwa pale alileta na mchepuko wake na mchepuko akaja na rafiki yake. Jamaa alijisikia aibu sana.

Bahati mbaya alikuwa amenitaka siku hiyo nikalale kwake ilikuwa Ijumaa.tuliporudi kwake nikaitisha kikao. Nikamsema sana mbele ya mke wake kuwa hafanyi mambo ya maendeleo anaendekeza mademu tu na pombe. Nikamwambia nisimuone tena na wale mademu aliowaleta pale bar

Nikaanza kumsema na shemeji yangu kuwa naye amekuwa hatumii akili. Anawaza kujilemba tu muda wote. Badala wasave pesa wafanye maisha. Wanazaa kma mbwa....watoto watano na bado hawajasettle.

Kesho yake asubuhi jamaa aliomba anirudishe guest. Hatukuwahi wasiliana tena mpaka leo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah
 
Hii nimeipenda
 
Mkuu napenda kujua ulikuwa unakula vyakula gan

Sent using Jamii Forums mobile app
Asubuhi kahawa ya viungo

Mchana nyama ng'ombe, samaki, kuku... Vyote ni vya kuchoma au kuchemsha.

Usiku matunda ya kila aina....
Hvyo ni siku 5 za week.

Jumamosi asubuhi kahawa, mchana nyama, jioni nyama.
Jumapili nakula chochote nachopenda bila kujilimit....

Tafuta week mbili tu fanya hvyo..

Ila pia nafanya mazoezi sana....

All in all kilichonisaidia ni kuwa mbali na nyumbani... Bila hvyo ingeniwia vigumu kwa kuwa nipo mazingira yale yale. I decided to change my life hata kwa muda mdogo to see the other side of world....
I enjoy...
 
Mwaka 2008, Nilikuwa Mbeya Tukuyu Kikazi, Nilikuwa nimetokea Mbeya Mjini ambapo Kuna baridi, Dose yangu ilikuwa Tusker Kumi,
View attachment 1614054

Kwenda Tukuyu Nikaendelea na dose ileile bila kugundua kuwa Hali ya hewa ya Tukuyu Ni Tofauti na Mbeya Mjini. Na Pombe. Hukolea kwenye Joto, Tukuyu Kuna Joto.

Mzee Mzima Nikavesha Kama kawaida, mpaka saa tano FULANI hivi, Sasa kimbembe Nikasahau Guest, Nikaenda kugonga Nyumba ambayo Inaangaliana na Guest Huku Povu likinitoka kwanini wafunge na Mimi bado sijarudi.

Ebwana mlango ulifunguliwa na Mbaba mmoja akiwa na njemba tatu (Watoto wake) Nilichezea vitasa vyakutosha kila nikiweka Gurd wapi.

Niliokolewa na Staff wenzangu Baada ya kuhisi kuwa sijarudi na wanasikia kelele za sauti yangu.

Asee hiyo ilikuwa moja Ila Pombe kuacha bado nafikiria.
Mkuu tukuyu kuna baridi mbona kuliko mbeya mjini wewe ulienda tukuyu ipi?
 
Nlienda mkoa flani kikazi. Jamaa yangu akanialika weekend kwake. Nikaenda akanitoa out tukapige maji. Nlikunywa karibia crate zima la beer safari. Baadaye anasema nikaanza kuongea kwa uchungu sana nikilia kwa kumuonea huruma kuwa jamaa hajajenga ila anakunywa beer daily. Nlimsema sana bahati mbaya tulipokuwa pale alileta na mchepuko wake na mchepuko akaja na rafiki yake. Jamaa alijisikia aibu sana.

Bahati mbaya alikuwa amenitaka siku hiyo nikalale kwake ilikuwa Ijumaa.tuliporudi kwake nikaitisha kikao. Nikamsema sana mbele ya mke wake kuwa hafanyi mambo ya maendeleo anaendekeza mademu tu na pombe. Nikamwambia nisimuone tena na wale mademu aliowaleta pale bar

Nikaanza kumsema na shemeji yangu kuwa naye amekuwa hatumii akili. Anawaza kujilemba tu muda wote. Badala wasave pesa wafanye maisha. Wanazaa kma mbwa....watoto watano na bado hawajasettle.

Kesho yake asubuhi jamaa aliomba anirudishe guest. Hatukuwahi wasiliana tena mpaka leo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom