Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Baada ya kuutwika kwenye sherehe ya kazini nilimtongoza mama mmoja mwenye cheo chake, nae akawa anacheka tu. Mimi ndio nazidi kumpa maneno mbele ya watu. Party iliisha kila mtu akaenda zake. Jumaatatu yule mama akaniita na kuniambia Ni mwambie yale maneno niliyo muambia siku ya party halafu alikua serious.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii noma.. Vip ulimwambia???
 
Mwezi wa 7 juzi tulitoka kwenye party ya mwana tulikuwa tumepiga vitu balaa njiani ukatokea ugomvi na boda boda tukaanza kugombana nao mimi nikamuotea mmoja nikaanza kumpa vitasa balaa wakaenda kuita wenzao watu walikuja na mapanga na visu nikapata upenyo nikakimbia nilipoteza simu, wallet dah sitasahau wenzangu walio baki walikiona cha moto
 
Niliuzia msala jamaa zangu walionipeleka home nikiwa nimelewa chakari, kwa kuzuga nilimwambia bibi yangu, "hawa jamaa wakupe bia zako 10, nimewapa wanisaidie kubeba" [emoji28] bibi mwenyewe mchaga huko marangu, beef kati yao lilichukua mda sana kupoa bibi aliwaona ma snitch wamekunywa bia zake
 
Jamaa umenikumbusha mbali matukio ni mengi ila moja ni hili:
Wakati nikiwa chuo mwaka wa mwisho tulikuwa tunafanya vikao vya tungi ,kama kawaida faru john mtu nne ila nilikua nachelewa kulewa tofauti na wenzangu kwa bahati mbaya Siku iyo nlikula slace mbili za mkate ,nikakaza kibingwa Hamna kutegeana nakumbuka tulikunywa konyagi nyingi sana baadae tukasepa kila mtu kivyake njiani nikanunua chips+mishkaki ili nikalie geto kufika geto nikaanza kukata moto kiasi kwamba nilishindwa kuingiza funguo kwenye tundu la kofuli nikajisogeza pembeni Luna tofali nkakaa cha ajabu ambacho kilinishangaza alikuja mbwa sijui wa wapi akaninyang'anya mfuko wenye kiepe na mishkaki nilishindwa hata kumwambia shhh toka maana mdomo haufunguki,nikaamua kujilaza palepale hadi asubui..nikajifunza pombe bila msosi noma pia niligundua ukinywa nyagi na glass macho yanakufa
hii kitu ni balaa mkuu nilizima mlangoni pombe sio chai
 
Huyo mbwa alijua umelanduka kufa kufaana akachukua zake kiepe[emoji16][emoji28][emoji28]
 
Baada ya kuutwika kwenye sherehe ya kazini nilimtongoza mama mmoja mwenye cheo chake, nae akawa anacheka tu. Mimi ndio nazidi kumpa maneno mbele ya watu. Party iliisha kila mtu akaenda zake. Jumaatatu yule mama akaniita na kuniambia Ni mwambie yale maneno niliyo muambia siku ya party halafu alikua serious.
Haaahaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]
 
Niliuzia msala jamaa zangu walionipeleka home nikiwa nimelewa chakari, kwa kuzuga nilimwambia bibi yangu, "hawa jamaa wakupe bia zako 10, nimewapa wanisaidie kubeba" [emoji28] bibi mwenyewe mchaga huko marangu, beef kati yao lilichukua mda sana kupoa bibi aliwaona ma snitch wamekunywa bia zake
Haaahaaa [emoji16]
 
Kali yangu moja ya tungi nipo bar na friends kula sana tungi hata siku mbuki idadi ya chupa mida ya kama saa saba ucku nikarudi zangu home fresh nacho kumbuka nilifungua geti fresh nika ingiza gari vizuri tu kumbe bhana nilipo fika nili park siku funga mlango wa gari na nika iacha ipo silence siku izima hii nilikuja kuambiwa asubuh...
Mbaya kuliko nika ingia ndani moja kwa moja mpaka kwenye chumba cha dada wa kazi nika lala naskia eti dada wa kazi kuona nime vamia chumba akaenda kulala sitting room ila wife hakuelewa kabisa ilo somo maana nakuja kushtuka asubuhi nipo chumba cha dada wa kazi ila baadae atakua ali elewa tu maana nili rudisha chenji kwenye shuka za dada wa kazi akajua huyu jamaa atakuwa alizidiwa na tungi .... ila ilinichukua siku nzima kumuelewesha ilo jambo.
Sema tu ukweli huu mke wako hayupo. Ni kweli kuwa hapo kabla ulikuwa na hisia kwa dada wa kazi muda mrefu?
 
Kuna pombe hio inaitwa 211 kule ughaibuni nilikunywa kopo mbili halafu nilikwenda club. Yaani nilikuwa najiona kama Superman mikono kama ndege inayotaka kuruka. Nikaingia club nikamchapa mzungu flani nikatolewa nje nikaanza kuwatukana mabausa sijui kilitokea nini ila niliishia hospital wiki 2 na miezi 6 home.[emoji23][emoji23]

View attachment 1576989

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Watu huwaga mnajitafutia tu matatizo!
Unaona kabisa kitu kinaitwa 'steel reserve' wewe unakifakamia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kama ninakiri!

Kitendo kilichonifanya kuacha kunywa pombe ni tukio la aibu nililolifanya miaka 30 iliyopita, lakini hadi leo bado linanibungua kichwa kwa aibu ile!

Miaka hiyo nilikuwa ninaishi 'kotaz' nyumba zenye kufanana kuanzia sura, rangi na mpaka mazingira ya nje.

Kimbembe kilipoanzia ni pale nilipotoka safari na kukuta 'ugeni' wa rafiki yangu wa siku nyingi kanitembelea hapo nyumbani.

Mahali gani pazuri pa kumpeleka 'outing' huyu ndugu akasuuze roho yake, hakuna pengine ni bar tu!

Sa9 alasiri tayari tupo kwenye meza ndefu tunakunywa, baada kama ya saa1 na nusu nikamuona mgeni wangu 'keshanitaimu' kalewa tayari mimi bado mkavu na bia hazinibambi, nikaona kama ananisanifu, sasa nifanyeje kufukia mashimo?

Wakati natafakari cha kufanya, nikaona mgeni wangu yupo chakari kabisa, nikaitisha tax ikampeleka nyumbani, mi nikabaki bar.

Bia zilivyoendelea kudunda nikaona niagize pombe kali nimix ili kupata ulabu kwa kasi, kumbe ninajitengenezea sumu!

Nikachukua viroba viwili vya 'power' (pombe ilikuwa inaingizwa toka Zambia)nikavimiminia kwenye chupa ya bia na kuanza kuifakamia.

Kumbukumbu zangu ndiyo zilipokomea hapo, yaliyofuata ni simulizi tu nilizokuja kusimuliwa bila mimi kukumbuka hata1.

Inaonekana ilipofika sa1 niliondoka bar kwa miguu kuelekea nyumbani, maana hapakuwa mbali sana.

Nilipofika, kwa kuwa nyumba zinafanana sana, nikakosea nikaingia nyumba kama yangu,lakini line ya mbele kabla sijafika kwangu.

Nilipofika nikaingia ndani na kupitiliza moja kwa moja chumbani kulala, wakati wenye nyumba wapo nje wanaongea!

Walipoingia wakakuta nimelala kitandani kwao na tayari 'shaharibu'.

Wakaenda kwa ghadhabu kumueleza 'wife' aje kunichukua, akakuta siamshiki wala sibebeki.

Njia iliyotumika kunitoa pale na kunipeleka kwangu pamoja na aibu yote niliyoifanya ndani ya nyumba hiyo na kwa familia hiyo, niliporudiwa fahamu na kusimuliwa, nilitamani dunia ipasuke inimeze!

Kwa unyenyekevu mkubwa, nikaiomba radhi familia hiyo na tangia hapo nikaacha pombe moja kwa moja na sitarudia kunywa mpaka takapokufa.
.

Kwa unyenyekevu mkubwa, nikaiomba radhi familia hiyo na tangia hapo nikaacha pombe moja kwa moja mpaka takapokufa.
.

Sent using Jamii Forums mobile app
We acha tu mdau hizi gambe zilishatufanyaga kitu mbaya
 
Back
Top Bottom