Kyela kuna joto kweli. Mkuu labda alimaanisha kyela
Unamaanisha power no.1 mkuu? vikiuzwa sh 100 per sachet?baadaye 150....nilikua na age 12 nilipoanza rasmi hii kitu gambe...kifupi kwenye family haikua kesi ni kama tamaduni tu.Kabisa mkuu! Darasa la saba hapo natoa pesa mfukoni nanunua vipombe vinaitwa power, ila pombe niliipenda tangia niko darasa la tano baada ya kuonja bia ya mzee
Ndio maana kuna dogo mmoja dingi ake alikua ni mgonga nyagi hatari,siku hio dogo na mama ake wanapita mitaa ya pale Distilleries Chang'ombe dogo anamwambia maza ake nasikia harufu ya perfume ya baba.Ukiwa mnywa konyagi huna haja ya kupuliza pafyumu ukienda ofisini. Ukiwa unapita kwenye korido and watu wapo maofisini hata kama hawajakuona wanajua flani anapita!! Ile harufu ya hangover ya konyagi sijui huwa inatoka wapi. Hata utafune nini harufu ipo tu
Mkuu hii hata kama ingenitokea mimi pombe ingekuwa adui yangu number moja then ndio anafuata shetani. Hili tukio ni la aibu lakini ndio lililokuwa mwanzo wa heshima uliyonayo mpaka sasaHapa kama ninakiri!
Kitendo kilichonifanya kuacha kunywa pombe ni tukio la aibu nililolifanya miaka 30 iliyopita, lakini hadi leo bado linanibungua kichwa kwa aibu ile!
Miaka hiyo nilikuwa ninaishi 'kotaz' nyumba zenye kufanana kuanzia sura, rangi na mpaka mazingira ya nje.
Kimbembe kilipoanzia ni pale nilipotoka safari na kukuta 'ugeni' wa rafiki yangu wa siku nyingi kanitembelea hapo nyumbani.
Mahali gani pazuri pa kumpeleka 'outing' huyu ndugu akasuuze roho yake, hakuna pengine ni bar tu!
Sa9 alasiri tayari tupo kwenye meza ndefu tunakunywa, baada kama ya saa1 na nusu nikamuona mgeni wangu 'keshanitaimu' kalewa tayari mimi bado mkavu na bia hazinibambi, nikaona kama ananisanifu, sasa nifanyeje kufukia mashimo?
Wakati natafakari cha kufanya, nikaona mgeni wangu yupo chakari kabisa, nikaitisha tax ikampeleka nyumbani, mi nikabaki bar.
Bia zilivyoendelea kudunda nikaona niagize pombe kali nimix ili kupata ulabu kwa kasi, kumbe ninajitengenezea sumu!
Nikachukua viroba viwili vya 'power' (pombe ilikuwa inaingizwa toka Zambia)nikavimiminia kwenye chupa ya bia na kuanza kuifakamia.
Kumbukumbu zangu ndiyo zilipokomea hapo, yaliyofuata ni simulizi tu nilizokuja kusimuliwa bila mimi kukumbuka hata1.
Inaonekana ilipofika sa1 niliondoka bar kwa miguu kuelekea nyumbani, maana hapakuwa mbali sana.
Nilipofika, kwa kuwa nyumba zinafanana sana, nikakosea nikaingia nyumba kama yangu,lakini line ya mbele kabla sijafika kwangu.
Nilipofika nikaingia ndani na kupitiliza moja kwa moja chumbani kulala, wakati wenye nyumba wapo nje wanaongea!
Walipoingia wakakuta nimelala kitandani kwao na tayari 'shaharibu'.
Wakaenda kwa ghadhabu kumueleza 'wife' aje kunichukua, akakuta siamshiki wala sibebeki.
Njia iliyotumika kunitoa pale na kunipeleka kwangu pamoja na aibu yote niliyoifanya ndani ya nyumba hiyo na kwa familia hiyo, niliporudiwa fahamu na kusimuliwa, nilitamani dunia ipasuke inimeze!
Kwa unyenyekevu mkubwa, nikaiomba radhi familia hiyo na tangia hapo nikaacha pombe moja kwa moja mpaka takapokufa.
.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu unasema unafikiria kuacha alafu bado unaipendaDuh! Sijaacha mkuu, ila naanza fikiria kuacha kwa sasa japo naipenda
Wakati wa kunywa walaaa mtu hujari ila kesho asubuhi hii harufu + hali ya mdomo huwa inanikera sana.Ukiwa mnywa konyagi huna haja ya kupuliza pafyumu ukienda ofisini. Ukiwa unapita kwenye korido and watu wapo maofisini hata kama hawajakuona wanajua flani anapita!! Ile harufu ya hangover ya konyagi sijui huwa inatoka wapi. Hata utafune nini harufu ipo tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sitaki tena pombe kumbe ndo ivyoo aiseeeIko hivi mkuu. Kitu chochote ambacho kimechachushwa ( fermented )kinakuwa na kiwango kikubwa cha acetic acids. Ini hubadirisha hizi chemical compound kuwa fatty acid, carbon dioxide na maji. Sasa ukiendelea kunywa kiwango ambacho ini litashindwa kuchakata hupelekea kiwango cha pombe kwenye damu kuongezeka. Pombe inapokuwa nyingi kwenye damu heart beats kuongezeka ili kuruhusu kiwango kingi cha oxygen kwenda kwenye moyo ili ijichanganye na damu yenye pombe kwa matumizi ya cells mwilini. Hapa utumaji wa taarifa ( impulses) kwenda na kurudi kwenye ubongo hufanyika kwa speed kubwa kadri blood circulation inavyoongezeka kwa unywaji wako wa pombe. Taarifa ni hizo unazosikia hapo ulipo (stories zinazoendelea mahala unapokunywa) na taarifa nyingine ni hizo ambazo zipo kwenye store ya ubongo wako. Sasa mchakato wa kuzichakata ndipo hupelekea mwingine KUONGEA SANA[emoji3][emoji3]. Hapa ndipo huwa chanzo cha matusi, dharau na hali ya kutaka kusikilizwa wewe tu (conversational domination)
Process ya unywaji inapoendelea hufikia hatua kiwango cha blood alcohol huwa kikubwa sana nakupelekea utumaji na urudishaji wa taarifa kutoka kwenye ubongo kuzorota, hatua hii mtu huanza kuloose control na matokeo yake mdomo kuwa mzito, macho hulegea( Viungo vya mwili kuwa vizito). Kadri pombe inavyoongezeka kwenye damu Ubongo huamua kufanya maamuzi ya kuvizima sense organs (viungo pokea taarifa) ili ushugurike na kubalance kiwango cha pombe kwenye mwili.
Ubongo huamuru nephrones kwenye figo kuongeza kasi ya uchujaji bila kunyonya. Hapa kimkja hutokea kati ya vitu viwili ambavyo ni
1. Kama kiwango ni cha juu lakini ubongo unaweza tengeneza mazingira ukashtuka na kuhisi umebanwa na mkojo ukakojoa kwa hiari yako
2. Kama kiwango ni cha juu ubongo huruhusu mkojo kutiririka toka kwenye figo, kjja kwenye bladder (kifuko) na kutoka nje moja kwa moja bila wewe kuwa na taarifa. Hatua hizi mbili zote tunasema mtu amezima[emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani nimejaribu kukujibu kadri ulivyotaka mkuu.
Wasikutishe mkuu kwa vimisamiati vya kizungu uchwara pombe kwa kiasi inaongeza Sana life span we piga tu kiasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sitaki tena pombe kumbe ndo ivyoo aiseee
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nikwambie kitu mkuu? Kwanza ujue mwili wenyewe unahitaji blood alcohol kwa kiwango flani ili metabolism and digestion zifanye kazi vizuri. Wenzetu wanaoelewa hata maofisini utakuta wameweka chupa za wiskey na glass na hunywa kabla hawajaingia kwenye mikutano au kabla ya presentations maofisini, kwenye mijadara mbalimbali kwasababu kwa kiwango kidogo huchangamsha mwili na akili.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sitaki tena pombe kumbe ndo ivyoo aiseee
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapana nilikuwa nakunywa ulanzi, sasa hivi sinywi kabisaKwasasa je? Isijekuwa ulikuwa unakunywa togwa ukizani pombe miaka hiyo[emoji23][emoji23]
Hahaha ulanzi ulishawahi kunilaza nilipokuwa teenager nilipowatembelea babu na bibi kijijini. Actually nilijua ni juice, mama alinizuia ila babaake (babu) akawaambia mwacheni anywe.Hapana nilikuwa nakunywa ulanzi, sasa hivi sinywi kabisa
Haha poleHahaha ulanzi ulishawahi kunilaza nilipokuwa teenager nilipowatembelea babu na bibi kijijini. Actually nilijua ni juice, mama alinizuia ila babaake (babu) akawaambia mwacheni anywe. Nilikuja kushtuka asubuhi kumekucha njaa inaniuma balaa maana hata usiku sikula.
I missed you my grandpal, may your soul continue to rest in peace
Zaidi ya miaka 20 sasa ishapita. Now nimekuwa konki though nachagua sana kutokana na mood niliyonayo muda huo.Haha pole
Acha kabisa mkuu pombe si chaiZaidi ya miaka 20 sasa ishapita. Now nimekuwa konki though nachagua sana kutokana na mood niliyonayo muda huo.
Nimekumbuka nikiwa na safari Makete au Njombe, mimi huwa napenda sana Kiswahili chao; Bee jameni tendwege sasa! Ila Watu poa sana na wakarimu.Hapana nilikuwa nakunywa ulanzi, sasa hivi sinywi kabisa
Sasa sisi ambao kuna wakati tupo maeneo baridi wakati mwingine joto si tutakuwa kila wakati tunabadilisha pombeNikwambie kitu mkuu? Kwanza ujue mwili wenyewe unahitaji blood alcohol kwa kiwango flani ili metabolism and digestion zifanye kazi vizuri. Wenzetu wanaoelewa hata maofisini utakuta wameweka chupa za wiskey na glass na hunywa kabla hawajaingia kwenye mikutano au kabla ya presentations maofisini, kwenye mijadara mbalimbali kwasababu kwa kiwango kidogo huchangamsha mwili na akili...
Mkuu ngoja niwe natafuta kakinywaji kangu niwe nakunywa nifasiliteti digestion maana umeongea pointi sanaNikwambie kitu mkuu? Kwanza ujue mwili wenyewe unahitaji blood alcohol kwa kiwango flani ili metabolism and digestion zifanye kazi vizuri. Wenzetu wanaoelewa hata maofisini utakuta wameweka chupa za wiskey na glass na hunywa kabla hawajaingia kwenye mikutano au kabla ya presentations maofisini, kwenye mijadara mbalimbali kwasababu kwa kiwango kidogo huchangamsha mwili na akili...
KweliAchana na pombe mkuu. Walevi hawafiki mbinguni
Haijarishi kwasababu uliyoizoea kwenye mazingira ya joto ukiinywa kwenye baridi inakuwa kama maji tu yaani itachelewa kukuamsha tofauti na ungekuwa kwenye mazingia ya joto ila uliyoizoea kwenye baridi ukiinywa kwenye mazingira ya joto uwe umeshiba, umejiandaa😊Sasa sisi ambao kuna wakati tupo maeneo baridi wakati mwingine joto si tutakuwa kila wakati tunabadilisha pombe