Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Bidhaa gani za muhimu ambazo hazipatikani SA? Au unafikiri Blue Band? Maziwa yao tuliwapiga marufuku na hayapo tena. Nakuhakikishia wao ndiyo wataumia sana. Just wait and see!
Mkuu Kama ni bidhaa zenyewe wakina bluee band na maziwa na panadol hatuogopi hakuna kufungua wao wameanza sisi tunamaliza

Huu mwaka wa 5 sijawahi kula blue band na hayo maziwa kwa miezi 3 naweza kula mara moja tena kwa mama ntilie sio lazima hivyo vitu
 
Rais wa Kenya alikuwa anaongea kama yeye ni Rais wa Kenya na Tanzania. Ha ha ha ha
Yani anachagua kizuri kinachomfaa ana ruhusu na kisichomfaa haruhusu.
 
Watapimwa TZ kwa mashine ipi? Ile iliopima mbuzi na papai?.
You are not informed Zambia wameshafungua, Rwanda wameshakubaliana na TZ na hakuna kuwapima madreva watz bali watapimwa TZ tu. Uganda ni ndugu zetu hawawezi funga mpaka tumetoka mbali nao tuliwasaidia kumng'oa Nduli. Ngoja tuwashughulikie hawa nyang'ao kwanza!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawashughulikia kwa lipi ulilonalo?

Uchumi mbovu

Kila kitu kibovu

Viongozi wenu wabovu,etc

Zambia ni closed,kadanganye watoto huko!

Hawa watu hawataki muwapelekee Covid-19,mnawalazimishia kuingia nchi zao nyie kama nani?

EA hawa viongozi wakikutana tena wakipitisha azimio TZ na Burundi kua locked out,ni locked out mnakua na sio eti ndugu zetu na blah blah za kipumbavu!

Ndugu zako walizaliwa na nyie?

Fuata guidelines kama wengine,sio unaleta kiburi halafu uachiwe sababu wewe ni bwana mawe,no one gives a fvck!

Fuata guidelines!

In two weeks ngoja akina Kagame,Uhuru,Museveni na Kiir wakutane tena muone,fungia kushoto huko!

Hamna la kufanya....

TZ is not an economic powerhouse like Kenya,na ukiongeza UG,RW na SS,we are loosing here....stop mustabation!
mtanange bado ngonja tuone power ya Tanzania

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Hii kufunga mipaka msichukulie poa
Watu wengi wataathirika

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kenya wajiandae kisaikolojia kwa loss watakayopata kikweli kweli lkn pia bongo tujiandae mikoa ya (Kilimanjaro,Arusha,Manyara) ambayo hii tayari imeshasomeshwa No. Kwny utalii kwny hili suala la Kenya wanaenda kuumia big time bado mikoa inayolima Mahindi kwa wingi na nafaka nyinginezo.
 
Ila kilimo bana sometimes ni cha kidwanzi sana na ndio maana siwezi kuweka pesa yang.

Kipindi kama hiki mvua imekubali balaa mahindi/mchele etc yamevunwa/yatavunwa hatari afu ndio nchi zinafungiana mipaka sijui unaenda kuuzia wapi mizigo yako, ila ikitokea mvua hakuna na umekula bonge la loss huko Shambani muda huo unakuta nchi mipaka iko huru na cha ku-export hauna.

That't the world.
 
Tabia za kiongozi wetu zinaonekana kwenye hayo matamshi, naamini yeye ndie atakuwa amewaagiza hao "subordinates" wake wazuie hayo malori.

Halafu akiwa anahutubia kanisani anaonekana mnyenyekevu, kumbe moyoni amejaa kisasi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kiuhalisi huu si muda wa kubembelezana kama wao wamefunga bhas na sisi sio mbaya kama tayari tumefunga toka corona imeingia tumekuwa tukinyanyaswa na hawa majirani zetu as if sisi ndio chanzo cha korona mimi naona iwe hivyo corona ikiiisha kama kuna uwezekano wa kukaa pamoja na kunywa kahawa bhash maisha yataendelea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya wajiandae kisaikolojia kwa loss watakayopata kikweli kweli lkn pia bongo tujiandae mikoa ya (Kilimanjaro,Arusha,Manyara) ambayo hii tayari imeshasomeshwa No. Kwny utalii kwny hili suala la Kenya wanaenda kuumia big time bado mikoa inayolima Mahindi kwa wingi na nafaka nyinginezo.
Kufungiana mipaka inathiri sana mambo
Maana Bidhaa zinazo toka bongo kwenda Kenya kuuza haziendi na Bidhaa wanazofata wakenya huku au kuleta huku Inakuwa mbinde
Mfano tu msimu wa mananasi huko kiwangwa wanunuzi wengi wanatokea Kenya

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kufungiana mipaka inathiri sana mambo
Maana Bidhaa zinazo toka bongo kwenda Kenya kuuza haziendi na Bidhaa wanazofata wakenya huku au kuleta huku Inakuwa mbinde
Mfano tu msimu wa mananasi huko kiwangwa wanunuzi wengi wanatokea Kenya

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hapo tayari wahesabu wanarudi kwny umaskini,Tanga wale jamaa na mafuso yao ya machungwa pia inaenda kula kwao.
 
Baada ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuyazuia magari makubwa kuingia nchini kupitia Holili jana, Leo naona pia mkuu wa mkoa Tanga Amezuia magari makubwa kuingia nchini kupitia mpaka wa Horohoro.

Hii ni kutokana na nchi jirani kuzuia madereva wa Tanzania kuingia huko kwa madai kwamba wana eneza korona hata kufikia hatua ya kufunga mipaka sasa imebaki mkuu wa mkoa Arusha kuzuia mpaka wa Namanga na mkuu wa mkoa Mara kuzuia Sirari.

Dawa ya jeuri ni kiburi kama wao wamekula hela za mabeberu watafute namna nyingine tu ya kuzilipa na siyo kulazimisha ujamaa..#jiwekwerikweri.
 
Back
Top Bottom