batmanwafez
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 882
- 1,363
Kuzima mtandao pia ni kosa. Binadamu tuna haki zetu za msingi na hii ya haki ya ku access internet ipo pamoja na haki ya kusoma, kuvaa , kula n.kNingependa kuwakumbusha tu matumiz ya vpn ni kosa kisheria kwa mujibu wa sheria unaweza kuhukumiwa miaka saba jera na fine ya milion tatu au vyote kwa pamoja kabla hujamaliza kushangaa na kuanza kubisha nakukumbusha tu hata jamiiforum wanakes mahakaman na kosa lao ni kutumia domain ya dot com badala ya dot tz chukia tahadhar jera sio kuzuri kuna manyampara wana roho mbya na ukame wa miaka mingi asanten na kwaheri
Naipataje hiyo mzee?hakuna wa kutumia Premium services kwa user wa kawaida ambao wameijua VPN baada ya TCRA kuzima mitandao.
wengi wao wanapendelea VPN za Bure au kutumia kwa Trial time
Hiyo nikiyoutaja hapo ni Cracked version, ina full swing kama Vile imelipiwa
Poleni .... simu yangu haijakumbwa na hilo tatizo kabisa,,, wasap, fb ,insta pote naperuzi toka mwaka janaVirtual private network
Hellow Great think
Taarifa rasmi kwawale wote walioshidwa kufanya access ndani ya JF. VPN ndio mkombozi wetu toka tarehe 28 usiku sikuweza kufanya access ndani mtandao wetu pendwa wa JF nilifanya majalibio kadhaa ya kuipata hi application ya VPN bila mafanikio kwani hapo mwanzoni haikua ndani ya simu yangu mungu nimwema leo majira ya saa 7 mchana nimefanikiwa kuipata
Baadaya kuifungua hii APP Mambo yamekuwa mazuri
Ukiacha kula sembe akili itakukaa sawaHuwa najiuliza serikali ikiamua si wa azima kabisa minara ya Internet, kwa hiyo hata uwe na VPN itakuwa kazi bure, au mwenye kuelewa anifafanulie
Sasa wewe kwa mfano Kama Ni mfagiaji wa kasri la mfalme au muosha majoho yake!Poleni .... simu yangu haijakumbwa na hilo tatizo kabisa,,, wasap, fb ,insta pote
naperuzi toka mwaka jana
Haha pole mkuu wengine siku ileile wanafunga baada ya muda tu tukarudi hewani.. nawaonea huruma ambao mpk sasa wapo kwenye kifungo!
Si nasikia eti "TISIARAEI" wana mpango wa kukamata watumiaji wote wa VPN eti kutumia VPN ni kinyume cha "Sharia"
Na kweli mfalme akisema tukamatwe wote tunaotumia VPN na Mimi nitakuwepo!Si nasikia eti "TISIARAEI" wana mpango wa kukamata watumiaji wote wa VPN eti kutumia VPN ni kinyume cha "Sharia"
Ni kweli usiwe mbishi kuna watu tunachati mitandao yote bila kutumia VPNacha uwongo wako labda utakua upo nnje ya hii falme ya Magu
access ilikua under control baadhi yawatumiaji nikimo mm baada ya mashambulizi kadhaa kufanyika yakudukua JF nzima kushindikana VPN imetupa accessAliyekwambia JF ilikuw GEO-restricted nan?!! au ndio Umbea
Sijapanic.. hueleweki...[emoji16][emoji16][emoji16] mbona unapanic bro? twende kwa fact
kuanzia Instagram Facebook WhatsApp Twitter
TCRA yako imeikosesha notwerk uwezo wakutenda kazi yake ya internet kwahiyo bila ya VPN uwezi kufanya access kwasababu speed ya internet imewekwa week
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Fb na insta unapata??au ni hii jamii tu??msaada majibu tafadhaliHa ha! Kuna watu wasingekuwa karibu nami mpk sahivi wangekuwa nje ya mtandao! Wacha nijisifu maana niligutuka mapema mno kulitambua hili likiwa bado hatua za awali! Wengine waliona kama ajabu kurudi hewani..😅 kama nchi tumefika pabaya siko proud na hili they are afraid of their own shadow!
Fb na insta unapata pia??mtusadie tujueWakwanza Mimi mkuu aisee sikuamini
Wameyataka wenyewe! Hizo ni sheria za kishamba kwahiyo kuzimia watu mitandao si kosa..?Unajua kutumia vpn ni kosa kisheria?
Wameyataka wenyewe! Hizo ni sheria za kishamba kwahiyo kuzimia watu mitandao si kosa..?