Vipi kuishi na mume mkali kupitiliza?

upo kama mm jaman !sipend kukasirika wala gubu aisee yaan mie had huwa najistukia aise maaana napenda kucheka na kuenjoy maisha yenyewe haya jaman !akuu !yaan huyu mm aniite [HASHTAG]#UKUTA[/HASHTAG]!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! heehehehe namhama tu
Atemwe tu hamna namna, akatafute mkunja ndita mwenzie.maisha mafupi haya,usionee wala kukubali kuonewa na mwengine.
 
Yani wewe ni mimi kabisa, sipendi uonevu na siwez kukaa kimya mtu akinionea. Ningekuaga na nguvu za kupigana mimi ningekua napigana sana sema ndo vile nimejaaliwa mdomo na machozi, nikishindwa kuongea nitalia mpaka ulienikosea ujute na roho yako.


hahaha mie mdomo hatasina sijui tu yaan ! kuna kipind dingi alizurumiwa kiwanja chake akasema anamwachia Mungu !hahaah shoga nilijibeba na kachanga kangu jaman uwiii wakikumbukaga wanaishia kucheka ! mie huwa najipigiza kbs ukutan yaan miak hii atleast naishia kulia tu ! hatimaye tukashinda kikarudishwa ! ukinioea nikakaa kimya bas nimekudharau saana san !siwezi aisee !nahisg naungua !
 
Natumai ni wazima..

Lengo la kuanzisha uzi humu ni kutaka msaada wetu wa mawazo jinsi ya kuishi na mume mkali.

Nina miaka minne kwenye ndoa na watoto wawili.

Kwa kweli nampenda mume wangu na yeye najua ananipenda lakini napata mawazo ya kuomba talaka sababu tokea niolewe hajabadilika kabisa anaweza nifokea hata mbele ya wazee wake kisa mtoto kaumia bahati mbaya. Yaani hata mtoto akiamka usiku akalia anatoka sana anasema namfanyia fujo makusudi!

Nikisahau kitu kama chupa ya maji kwenye gari yake anafoka hadi kuishia kuniita ukuta na kutaka kunipiga.

Naumia sana ndugu zangu naombeni ushauri.
Bila shaka wakati mnafunga ndoa ulitamka haya maneno "KWA SHIDA NA RAHA",kwa dalili hizi umeanza kutengua kiapo chako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom