Kitu kimoja unachokosea ni kukaa katika uhusiano wa namna hiyo. Hapo hakuna uhusino wa kimapenzi.
Huo uhusiano unaendeshwa na constant abuse......kwann mwanaume akukosee heshima hivyo?!
Step out......usisubiri akuchoke zaidi hadi aiku afikie hatua ya kuanza kukufukana.
Hebu find your life. Kuna wanaume kibao wapo nje na wanaweza kukupenda na kukupa care unayotaka, kwanini ujilazimishe kukaa na mtu ambaye hana adabu hata kidogo na wewe?!
So fanyia kazi haya maneno, na si jambo la kufikiria mara mbili ni la kufanyia maamuzi. Ondoka sasa. Never tolerate an abusive spouse. Huyo si mtu anayekupenda acha hayo makauli ya kijinga wewe.
Ondoka sasa. Nenda katafakari upya maisha yako na watoto wako. Unayonafasi ya kupata mwanaume mwingine believe me.
Hayo ndio aina ya majaume yanayoshusha thamani ya taaisi ya ndoa.....tena ningekuwa namfahamu ningekuja mchana live mpumbavu m'moja huyu takataka mfano wa mwanaume.