Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,330
Sio sahihi kuandika hapa mkuuIseme jamani hao ndg zako wa hasira wanatusumbua huku, yaan ukikuta call yake tu hee pozi na mapigo ya moyo yanabadilika
Sio sahihi kuandika hapa mkuuIseme jamani hao ndg zako wa hasira wanatusumbua huku, yaan ukikuta call yake tu hee pozi na mapigo ya moyo yanabadilika
huyo ni mburula,hakuna love hapo.Kivipi si mgumu ?mbona huyu wangu naweza kuwa romantic siku nzima akaja kunifokea kwa kuchelewa kufungua mlango wakati nikiwa bafuni?
Yeaaaah[emoji386] [emoji386] [emoji386] [emoji386] [emoji386] [emoji386] [emoji387]
Kwanini Mkuu?Wewe uliuguaga kichaa sio bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unahitaji kiasi gani?Yeaaaah
Nitumie pm basi jamani nione km ntamsaidia huyu ndgSio sahihi kuandika hapa mkuu
Uko harsh sana sometimes[emoji23]Kwanini Mkuu?
Uko harsh sana sometimes[emoji23]Kwanini Mkuu?
Mwenye shida huenda kwa mganga ujue[emoji12]Nitumie pm basi jamani nione km ntamsaidia huyu ndg
Aisee pole sana, anakuweka roho juu jamani kuna wanaume watemi jamani
Labda ni kuulize tu, ni rahisi wewe kugundua tabia yangu kama ni mkali?Maswala ya kukaa mbali mbali wakati wa mahusiano ndo yanasababisha mtu usijue tabia za ajabu za mwenza wako kama hizo, mimi usije kwetu kama hatujaishi wote japo miezi mitatu.
Amna kawaida tu ninjaUko harsh sana sometimes[emoji23]
Mwenye shida huenda kwa mganga ujue[emoji12]
Pm puliziUnahitaji kiasi gani?
PouwaaaaUko harsh sana sometimes[emoji23]
Mwenye shida huenda kwa mganga ujue[emoji12]
Labda wewe ni mnyiramba kwani ke wanyiramba wababe kupita waume zao[emoji12]katika vitu ambavyo nashukuru huwa sijabahatika kuwa na mtu mkali jaman ! jaman sipend ukali wa ajabu ajabu mie!khaaa maana najijua! hapana jaman wanaume watemi wapo !
Kwa ninavyokuona hufananii ukali ila watu kuna tabia huwa mnazificha na ni ngumu kugundua kama hamkai pamoja.Labda ni kuulize tu, ni rahisi wewe kugundua tabia yangu kama ni mkali?
Sema ukweli nimekuruhusu
Yaani unavyojichetuaga sasa, ukisikia honi getini unajipanga wima km askari au mtu asiejulikana amemaliza kupiga risasi 38 Hlf anasikia mtu kapona, ukisikia paaaaa mkojo huoookatika vitu ambavyo nashukuru huwa sijabahatika kuwa na mtu mkali jaman ! jaman sipend ukali wa ajabu ajabu mie!khaaa maana najijua! hapana jaman wanaume watemi wapo !
Kwa ujumla twaweza kuwa marafiki miaka mingi bila kuligundua hilo kwangu kwani siyo mtu wa kulipuka, hadi unikorofishe sanaaa hapo utakimbia bila viatu, but all in all siyo mgomvi wala mwonevuKwa ninavyokuona hufananii ukali ila watu kuna tabia huwa mnazificha na ni ngumu kugundua kama hamkai pamoja.