Vipi kuishi na mume mkali kupitiliza?

Vipi kuishi na mume mkali kupitiliza?

Aisee maisha yangu yote sijawahi kufoka!

Pole yako bi dada....we sepa! Badala ya msaidizi wake wewe ni ukuta ndo nini sasa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi nampenda sana coz ni aina ya wanawake wenye akili kubwa sana.
Unajua umbo mtu aweza kubadilika lakini akili ni hazina
witnessj
Kila la heri ila hiyo pic yake inasadifu yaliyomo, nakunong'oneza sasa mwambie iv yeye ni mucute
 
Bill juu yangu ndio kaka na si unajua lile chimbo langu msosi mtamu halafu bei kawaida tu. Au ndo wale wa pizza na burger
Kwa ufupi wifi yako anapenda vitu vizuri, kuanzia nyumba, gari,mavazi hadi msosi, japo hana maringo na ukimwona yaani..sijui nisemeje
 
Ukali ni tabia,
Ukali ni udhaifu.
Mimi mwenyewe ni mkali hadi najiogopa japo siyo rahisi kuniona nikifoka hovyo.
Lakini akiniudhi mtu kupitiliza naweza kumkemea na akimbie kuelekee kusikojulikana.
Nilipogundua mimi ni mkali na huumiza wengine, kwasasa nina mabadiliko makubwa sana.
Hii hali huwezi kuamua kuwa mkali bali ni udhaifu.
LAKINI USISAHAU WATU WAKALI wana huruma sana hasa ukimweleza tatizo huwa anaguswa haraka kukusaidia.
Tumia muda mnapokuwa na furaha mweleze kwa hisia za ndani kuonyesha jinsi anavyokuumiza.
Namie pia nahasira ila huruma ninayo pia.
 
Kwa ufupi tunatofautiana sana, mimi sina jazba za ovyo, unaweza kuishi na mimi kipindi kirefu na unanikosea makosa ya kawaida na napotezea, lakini kikombe cha hasira kikijaa huwa sifikirii status yako wala nini, huwa bomu la nyuklia la hasira linatoka hadi hasira zikiisha natetemeka, niliwahi kumkoromea askari akakimbia ilhali ana silaha, niliwahi kusababisha afisa flani wa serikali kufunga ofisi na kuikimbia ofisi kwa kuniletea usumbufu usiokuwa walazima, ukiona hivi umeniudhi kupitiliza, sio napanga kukukoromea bali inatokea ghafla mkuu.
Lakini wengi wetu tulio wakali tunafaida nyingi tofauti na udhaifu huu wa ukali
Daahhhh aiseeee nilimlaza jamaaa central mwezi mzima.......

Mwingine akashushwa cheo kazinii..

Nahisi utoto ..eewwhhhhh mbigu zinisamehee.
 
Back
Top Bottom