Vipi kuishi na mume mkali kupitiliza?

Vipi kuishi na mume mkali kupitiliza?

Kumvumilia mtu mkorofi ni kujipunja furaha.mimi mtu mkali hata urafiki wala ukaribu naye sitaki na ukinletea ukali wako wakingese na mimi nakupandishia.So dadaangu nakushauri akikupayukia na wewe fanya ivoivo tena upandishe sauti zaidi yake.kuna tabia nyengine mtu inakupasa kubadilika sio kuvumiliwa.

tunawaza pamoja asiee masuala ya kunidhalilisha mie sitak kuvumilia !ila huyu ukimpleka kwa wanasaikolojia watagundua ana shida sehem !au na malezi pia !yaan huyu mm hapana ! ampleke hosp aisee
 
Yaani unavyojichetuaga sasa, ukisikia honi getini unajipanga wima km askari au mtu asiejulikana amemaliza kupiga risasi 38 Hlf anasikia mtu kapona, ukisikia paaaaa mkojo huooo

aahahha mie shoga nina hasira na kiburi cha ndaniiiiiiiiiiiiiii so ataumia yeye aisee!na nilivyopataga njia na dawa ya kukaa kimya nadhan angeniua ! khaa! mie nikikujib nimekuheshim !huwa sijibu nakaa kimyaa bas ataita ukuta nakaa kimya tu!woi
 
Nimewaza ningekua huyo mwanamke ningeshavunjwa miguu, yani sipendi kuonelewa sasa nikianza kujiteteana hiki kigugumizi changu hakii ningekua namtolea maneno mabaya anipige aniue. Namshukuru Mungu napataga watu wapole.
 
hahahah kigugumizi noma sana nawaelewa watu dizaini yako ! mie naongeaga km cherehani ananipata wapi sasa hahhha! mie angenipa talaka mwenywe maana nina asili ya kumdharau mtu had anajion sio wa nchi hii
 
aahahha mie shoga nina hasira na kiburi cha ndaniiiiiiiiiiiiiii so ataumia yeye aisee!na nilivyopataga njia na dawa ya kukaa kimya nadhan angeniua ! khaa! mie nikikujib nimekuheshim !huwa sijibu nakaa kimyaa bas ataita ukuta nakaa kimya tu!woi
Mara paaap mabanzi, dah wanaume wa hivi hata huyo mdada kajitahidi sana
 
Mwombe Mungu atakufanyia mabadiliko maana yeye asema "mawazo yangu na njia zangu si kama za kwenu"
 
Yaani unavyojichetuaga sasa, ukisikia honi getini unajipanga wima km askari au mtu asiejulikana amemaliza kupiga risasi 38 Hlf anasikia mtu kapona, ukisikia paaaaa mkojo huooo
Kapeace huna adabu wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukali ni tabia,
Ukali ni udhaifu.
Mimi mwenyewe ni mkali hadi najiogopa japo siyo rahisi kuniona nikifoka hovyo.
Lakini akiniudhi mtu kupitiliza naweza kumkemea na akimbie kuelekee kusikojulikana.
Nilipogundua mimi ni mkali na huumiza wengine, kwasasa nina mabadiliko makubwa sana.
Hii hali huwezi kuamua kuwa mkali bali ni udhaifu.
LAKINI USISAHAU WATU WAKALI wana huruma sana hasa ukimweleza tatizo huwa anaguswa haraka kukusaidia.
Tumia muda mnapokuwa na furaha mweleze kwa hisia za ndani kuonyesha jinsi anavyokuumiza.
mkuu nimesoma comments zako nimekuelewa saana. yaani ni kama kioo vile, maana mie pia ni mkali mno. nikisoma unavyiandika ni kama naangalia zabia zangu kwenye kioo.

ni kweli pia, mie ni mwepesi kusaidia watu. pamoja na ukali wangu lakin nimejigundua nina huruma saana.

kuna kipindi nilikuwa nikiongea na mke wangu hasa kumshauri vitu alikuwa anakasirika saana. sikuwa naelewa shida ni nini. ila kuna siku niko ofisin akanipigia simu, pembeni alikaa dada mmoja mfanyakazi mwenzangu ofisini.

ile simu kuna kitu nilikuwa namuelekeza. ila baada ya kukata yule dada akaniambia mbona unamfokea mkeo? yaan unaongea nae kwa ukali hivyo! siku ile ndo nikapata jibu kwanin huwa anakasirika nikimuelekeza jambo.

mpaka sasa napambana kutompa wakat mgumu saana mke wangu. hasa maswala ya kufokea.
 
hahahah kigugumizi noma sana nawaelewa watu dizaini yako ! mie naongeaga km cherehani ananipata wapi sasa hahhha! mie angenipa talaka mwenywe maana nina asili ya kumdharau mtu had anajion sio wa nchi hii
Tatizo unampenda kwahiyo unajipa matumaini atabadilika, mimi hata nisingesubiri talaka ningemwambia baba kwaheri sijaja kufokewa hapa nimefuata raha. Kuna wanaume nasemaga wanipite tu kwa kweli maana kwa hii akili yangi siwawezi kama huyo jamano mtu unaishije nae sasa..
 
tunawaza pamoja asiee masuala ya kunidhalilisha mie sitak kuvumilia !ila huyu ukimpleka kwa wanasaikolojia watagundua ana shida sehem !au na malezi pia !yaan huyu mm hapana ! ampleke hosp aisee
Ndo hivyo mkuu wengi ni matatizo ya kisaikolojia,mtu aliye sawa kiakili hawezi kuwa mkalimkali,mfokaji fokaji,kukunja ndita muda wote kama umekalia misumari.yaan mi navyopenda kufurahi na kuvibe mda wote watu wa dizaini hii wananikata stimu. kwanza nawahurumia maana wanakuwa watumwa wa hasira,wapatiwe matibabu ya haraka sio kusema eti wavumiliwe,wangekuwa vikojozi mngesema wavumiliwe au watibiwe?
 
Labda wewe ni mnyiramba kwani ke wanyiramba wababe kupita waume zao[emoji12]

hapana mkuu mie sio nyiramba ! mie toka nazaliwa nilikuja jigundua peke yangu sipend kbs kuonewa in any means! nashukur wote wameshanikubali na tabia yangu yaan huwa napaza sauti ! yaan huwa siwez kuvumilia jaman ! sina nguv tu aisee! huwa nasema ningekuwa anngv nie uwiiii ni ngumi kila week kwa yyt atakayenigusa !navyozid kukua najiona naanza kuwa kawaida sasa atleast naweza ignore!lol

nashukuru mume ni mpole na ananijua huwa hanionei akinionea huwa natumia ngv zoote kujitetea! pyee
 
Tatizo unampenda kwahiyo unajipa matumaini atabadilika, mimi hata nisingesubiri talaka ningemwambia baba kwaheri sijaja kufokewa hapa nimefuata raha. Kuna wanaume nasemaga wanipite tu kwa kweli maana kwa hii akili yangi siwawezi kama huyo jamano mtu unaishije nae sasa..

basi sie dingi yetu yupo desgn hyo ya ukali wa kufoka foka tu mwee ! sema na mkewe ashamjulia anajishushaga daily ! mie ndo nilikua naenda naye sawa !anaishiaga kucheka tu !hapana aiseee mie ni gas sana sana !ukinilipua nalipukaaaaa
 
Ndo hivyo mkuu wengi ni matatizo ya kisaikolojia,mtu aliye sawa kiakili hawezi kuwa mkalimkali,mfokaji fokaji,kukunja ndita muda wote kama umekalia misumari.yaan mi navyopenda kufurahi na kuvibe mda wote watu wa dizaini hii wananikata stimu. kwanza nawahurumia maana wanakuwa watumwa wa hasira,wapatiwe matibabu ya haraka sio kusema eti wavumiliwe,wangekuwa vikojozi mngesema wavumiliwe au watibiwe?

upo kama mm jaman !sipend kukasirika wala gubu aisee yaan mie had huwa najistukia aise maaana napenda kucheka na kuenjoy maisha yenyewe haya jaman !akuu !yaan huyu mm aniite [HASHTAG]#UKUTA[/HASHTAG]!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! heehehehe namhama tu
 
mkuu nimesoma comments zako nimekuelewa saana. yaani ni kama kioo vile, maana mie pia ni mkali mno. nikisoma unavyiandika ni kama naangalia zabia zangu kwenye kioo.

ni kweli pia, mie ni mwepesi kusaidia watu. pamoja na ukali wangu lakin nimejigundua nina huruma saana.

kuna kipindi nilikuwa nikiongea na mke wangu hasa kumshauri vitu alikuwa anakasirika saana. sikuwa naelewa shida ni nini. ila kuna siku niko ofisin akanipigia simu, pembeni alikaa dada mmoja mfanyakazi mwenzangu ofisini.

ile simu kuna kitu nilikuwa namuelekeza. ila baada ya kukata yule dada akaniambia mbona unamfokea mkeo? yaan unaongea nae kwa ukali hivyo! siku ile ndo nikapata jibu kwanin huwa anakasirika nikimuelekeza jambo.

mpaka sasa napambana kutompa wakat mgumu saana mke wangu. hasa maswala ya kufokea.
Umemaliza mkuu, wahenga walisema (ng'ombe mkali ana maziwa matamu)
Mwenye akili ataelewa
 
hapana mkuu mie sio nyiramba ! mie toka nazaliwa nilikuja jigundua peke yangu sipend kbs kuonewa in any means! nashukur wote wameshanikubali na tabia yangu yaan huwa napaza sauti ! yaan huwa siwez kuvumilia jaman ! sina nguv tu aisee! huwa nasema ningekuwa anngv nie uwiiii ni ngumi kila week kwa yyt atakayenigusa !navyozid kukua najiona naanza kuwa kawaida sasa atleast naweza ignore!lol

nashukuru mume ni mpole na ananijua huwa hanionei akinionea huwa natumia ngv zoote kujitetea! pyee
Yani wewe ni mimi kabisa, sipendi uonevu na siwez kukaa kimya mtu akinionea. Ningekuaga na nguvu za kupigana mimi ningekua napigana sana sema ndo vile nimejaaliwa mdomo na machozi, nikishindwa kuongea nitalia mpaka ulienikosea ujute na roho yako.
 
Back
Top Bottom