Vipi kuishi na mume mkali kupitiliza?

Vipi kuishi na mume mkali kupitiliza?

Dah kuna siku aliamua kufunguka bhana hiyo shida yake na michozi hiyo, nilimuonea huruma sana, sijui ntamsaidiaje kwakweli, mi nshamzoea sasa hao wengine tena magirlfriend huwa nawaonea sana huruma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtu mkali huwa anahisia kali za ukali na HURUMA vilevile, ukimjulia mtu mkali utakula mema ya nchi.
Yaani ukimkosea kabla hajagundua wewe jisalimishe kwa msamaha, baasi kesi hakuna.
Tofauti na wapole wana vinyongo vya maisha atakukumbusha baada ya miaka
 
Usisahau kuwa hatuna vinyongo hata mkizipiga within 5 mins hasira hakuna tena na mambo yanasonga
Mkuu unahit kwenye point mpaka nakuogopa, as if unaniongelea mie. Kumbe niko sawa nisonge mbele.
 
Dah.....njaa inamsumbua huyo.... Mgongeshe sana usimpe hata muda wa kupumua....wanaume wote ni wanyonge sana...... Ikishindikana muanzie dozi ya mafuta ya taa....dondoshea matone mawili kwenye kila mlo wake kwa wiki moja.....atalegea tu[emoji13] [emoji13]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtu mkali huwa anahisia kali za ukali na HURUMA vilevile, ukimjulia mtu mkali utakula mema ya nchi.
Yaani ukimkosea kabla hajagundua wewe jisalimishe kwa msamaha, baasi kesi hakuna.
Tofauti na wapole wana vinyongo vya maisha atakukumbusha baada ya miaka
Yaani yupo mbali kwa sasa siku akija ntamchezea wewe na vile mambo yake safi baaasi nasubiri shopping tu saiv maana navyojishushaga akiwaka Halafu akipoa ndo na mimi ntaaanza orodha ya nitakavyo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ushauri hapo ni jaribu tu kumuuliza ukweli kwanini amekuwa mkali ?
Ila na nyie punguzenu kuharakia maisha usiolewe na mtu kisa ni tahiri ukaja kukosa amani maisha yako yote
 
Sababu si fake, naongea uhakisia mtupu mkuu wangu.
Kwa ujumla rafiki zangu muhimu ni watu wakali na ninajua kuwa handle balaa.
Ni watu makini na siriaz ktk maisha.

Mbona hata wewe ulikuwa wanikimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajua ni kwa nini
 
Yaani yupo mbali kwa sasa siku akija ntamchezea wewe na vile mambo yake safi baaasi nasubiri shopping tu saiv maana navyojishushaga akiwaka Halafu akipoa ndo na mimi ntaaanza orodha ya nitakavyo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Orodha ikizidi unalo[emoji12]
 
Natumai ni wazima..

Lengo la kuanzisha uzi humu ni kutaka msaada wetu wa mawazo jinsi ya kuishi na mume mkali.

Nina miaka minne kwenye ndoa na watoto wawili.

Kwa kweli nampenda mume wangu na yeye najua ananipenda lakini napata mawazo ya kuomba talaka sababu tokea niolewe hajabadilika kabisa anaweza nifokea hata mbele ya wazee wake kisa mtoto kaumia bahati mbaya. Yaani hata mtoto akiamka usiku akalia anatoka sana anasema namfanyia fujo makusudi!

Nikisahau kitu kama chupa ya maji kwenye gari yake anafoka hadi kuishia kuniita ukuta na kutaka kunipiga.

Naumia sana ndugu zangu naombeni ushauri.
Kuna mbinu
 
Back
Top Bottom