Kwa ufupi tunatofautiana sana, mimi sina jazba za ovyo, unaweza kuishi na mimi kipindi kirefu na unanikosea makosa ya kawaida na napotezea, lakini kikombe cha hasira kikijaa huwa sifikirii status yako wala nini, huwa bomu la nyuklia la hasira linatoka hadi hasira zikiisha natetemeka, niliwahi kumkoromea askari akakimbia ilhali ana silaha, niliwahi kusababisha afisa flani wa serikali kufunga ofisi na kuikimbia ofisi kwa kuniletea usumbufu usiokuwa walazima, ukiona hivi umeniudhi kupitiliza, sio napanga kukukoromea bali inatokea ghafla mkuu.
Lakini wengi wetu tulio wakali tunafaida nyingi tofauti na udhaifu huu wa ukali