Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,039
- 2,190
Khantwe na lady in action siku nyingine nikiwaambia muache kulia lia mnapokutana na mibazazi ya hisia kama hiv muwe mnanielewa!
Mgirik ennh it was nice having you here!
bottom line is hakuna sababu ya kujilazimisha kuishi na usiyempenda!hatuoi na kuolewa ili kutimiza wajibu na kuzaliana!
ndoa ni zaidi ya hapo!
ni zaidi ya kuvaa shela na tuxedo
kubwa zaidi hisia za mwenzi wako ni kitu azizi aseeh unless lipo alilokukosea ambalo kwalo bado mna haki na wajibu wa kulizungumza!
hatutegemei kuwa wanandoa ni malaika kiasi wasiwe na mapungufu,best thing is ni namna gani mnaweza kukusanya ubora wenu ulipo na kwa pamoja mkafidie mapungufu yenu!haijalishi how best u felt with ur ex!
tengeneza leo maana nayo itakuwa jana kwa kesho yako!
jumapili njema!
tumeambiwa tusamehe lakini huyu kiumbe hata angekuja na magoti umbal wa km 100 siwezi kumsamehe na always namuombea mabaya tu.
Hongera sana mkuu....jitahidi uoe aliye kama wewe si unaona hapa watu wanavyojivunia maex wao? Ni shidaaa
kweli kabisa babu kwa hali hii michepuko haitakwepeka kama mm sidhan kama kuna mwanamke ntakuja kumpenda kama yule x wangu.
naweza kusema kitendo cha kutokumpenda ex wako tayar umekwepa gereza la mapenz.
Mpaka hapa mm sidhan kama kuna mwanamke nitakuja kumpenda kama ex wangu. Hata yeye naamin yupo ktk gereza la mapenz kama mm maana pamoja kuwa na mme wake hataki nikwazike nikimwitaji popote atafaya juu chini lazma aje
subiri umri wako Ndio utajajua ,...
Amen..
Hongera sana
Jamani, namuonea huruma uyo mke utakae muoa au uliemuoa.
Msinifanye ni imagine kama Mme wangu alishawai kupenda ivo.
sssssshhh taratibu wanakuskia ulivopanick ujue!
wakati unapunguza sauti ujiulize hili swali
mimi nayejua kuwa u baradhuli wako wote na bado nikaendelea kuitwa mke wako
na wewe uliyejua ufyampu wangu mmoja tu na kunitimua /kunipa talaka
nani ni best actor/actress?
Hahahaha, sio kuoa mi ni mke wa mtu.