Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,038
- 2,189
sisomi tena uzi huu unanitia hasira tu.....
Acha kulialia mtoto wa kiume! Songa mbele mapenzi yapo tu kama ulimpata huyo alokumwaga amini utampata mwingine bora zaidi yake....enjoy your life dude. You only live once..no regrets....
sisomi tena uzi huu unanitia hasira tu.....
sisomi tena uzi huu unanitia hasira tu.....
ni raha kiasi gani kujua kuwa we are even!dah! Nmecheka sana ulivyorusha hilo kombola kujibu mashambulizi.
Hilo wala halina shida kwangu hyo raha itaishia moyon mwako lakn huwez kuionyesha kwangu hadharan kwanza utakuwa kwenye kifungo cos unaogopa nikijua tu tayar nyumban hapatakalika, halafu utakuwa umejidhalilisha mbele ya wanawake wenzio na hata wazaz wako utakuwa umewapaka matope. Hvyo utakuwa kwenye wakat mgumu wa kuizuia hyo siri isivuje. Ila mm naweza kumzalisha ex wangu na kila mtu akajua na bado nikaonekana ni kidume zaidi na mtoto ntamleta nyumban na utamlea ww mwenyew. Umeona hapo mkuu
Hahahah mamy bora usome ujiandae kisaikolojia... Ujue si kila anayekwambia anakupenda anamaanisha. Wengine hovyo tu
unaweza umuwekee mtoto wa mtu sum ukafie magereza tu.....
Aiseeeee....huu uzi na ufungweee...
raha zote hiz duniani cha kufia gerezani nn sweerie?unaweza umuwekee mtoto wa mtu sum ukafie magereza tu.....
ni raha kiasi gani kujua kuwa we are even!
nilichotaka kuhakikisha ni nyie kuamini kuwa mnapofake mahisia sisi tunawafakia ving sana!
ntalea mtoto wako nikijua wazi ni wa x wako (not necessary wewe uwe baba maana usidhani na kuamini x wako anatofautiana saaaaaana na mimi.bora yangu nilitoka mrithi na picha za harusi .usisahau maumivu uliyomtengenezea kwa kumuacha yeye na kunioa mimi)
ahahahahahahahahahahaha hii enzi hizo naiba mipira ya kaka zangu tulikuwa tunaiiita dabali krosi!
tulia wewe!
wanakuwaga na msuli wa kengele wakijua wanachapa tu
ila woooote hujikunja wakijua wanachapiwa!
hahhahahahahahaa! Dah! Hii kali lakn nmekwambia kitanda hakizai halam kama ww ni nunda basi tangaza kuwa huyu sio mwanangu. Yaan kiufupi ni kuwa jeuri unayoifanya kwenda kwa hawala yako ndiyo jeuri ya hawala yangu kuja kwangu.
Tena nikigungua kuwa ww unachepka ndio naanza na kudili na vibichi vibichi huku ww nakushona mimba za fasta fasta ili uchoke. Ukishapata mimba sasa hapo ndio utajuta kuolewa na mm hapo ni mwendo wa kurudi sasa 6 usk semina kazn haziishi safar kikazi haziishi overtime kazn haziishi huku zote hizo znaishi kwa ma ex
ayaaaaaaahHahahah.... Walah nimesikia hasira nahisi kufakufa hapa
Hahahah.... Walah nimesikia hasira nahisi kufakufa hapa
Wacha kelele mimba kushika naamua mimi....
ayaaaaaaah
hili game hutakiwi kuwa moyo mwepesi hivyo .utakufa kweeeeli oh!
najua hapa una hasira ila tukiwa ndani ya ndoa na huku nikikuonesha mapenz ya kweli fake utaachia tu mama hutakuwa na jeuri
mnajipa sana moyo mjue!hahhahahahahahaa! Dah! Hii kali lakn nmekwambia kitanda hakizai halam kama ww ni nunda basi tangaza kuwa huyu sio mwanangu. Yaan kiufupi ni kuwa jeuri unayoifanya kwenda kwa hawala yako ndiyo jeuri ya hawala yangu kuja kwangu.
Tena nikigungua kuwa ww unachepka ndio naanza na kudili na vibichi vibichi huku ww nakushona mimba za fasta fasta ili uchoke. Ukishapata mimba sasa hapo ndio utajuta kuolewa na mm hapo ni mwendo wa kurudi sasa 6 usk semina kazn haziishi safar kikazi haziishi overtime kazn haziishi huku zote hizo znaishi kwa ma ex
unaweza umuwekee mtoto wa mtu sum ukafie magereza tu.....