MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,070
unamkumbuka kwa mazuri alokuwa akikupa au kwa mabaya
kwa yote
unamkumbuka kwa mazuri alokuwa akikupa au kwa mabaya
tumeambiwa tusamehe lakini huyu kiumbe hata angekuja na magoti umbal wa km 100 siwezi kumsamehe na always namuombea mabaya tu.
I usually don't kiss and tell lakini kwa hili la ex nina confession. This is what is happening in my life right now and I am loving every moment of it though its very complicated, she's married and I am married too. Tulidate miaka 10 iliyopita na kutokana na mipango yetu ya kielimu, we went our separate ways with no hard feelings but been in touch here and there. Right now ndio tunajuana intimately as we have both grown mentally tremendously, tunagundua we got so many similar interests, dreams and goals.
Kwa maana hiyo you are both michepuko....?that is quite unfair kwa hao life partners wenu. Hivi mkitoka kuchepuka mnawaangaliaje? Na feelings hata za kutimiza tendo la ndoa zinakuepo kweli? Mungu saidia kizazi hiki dah!Utadhani mlishikiwa bunduki kuingia katika ndoa! I'm not judging but this is jus breaking my heart for real.:shocked:I usually don't kiss and tell lakini kwa hili la ex nina confession. This is what is happening in my life right now and I am loving every moment of it though its very complicated, she's married and I am married too. Tulidate miaka 10 iliyopita na kutokana na mipango yetu ya kielimu, we went our separate ways with no hard feelings but been in touch here and there. Right now ndio tunajuana intimately as we have both grown mentally tremendously, tunagundua we got so many similar interests, dreams and goals.
vvu nao wana goals, interests na blah blah similar.
bado unampenda.
Na mimi najuta kukufundisha mapema
kweli aisee, ulikuwaje mtam..lol.
Pole ....
Inaonekana una hasira sana,unamjua babu ODM a.k.a Asprin ?
Ni bingwa wa kuondoa hasira,hebu mtafute halafu utaona hasira zinavyoondoka kama mshumaa kwenye moto!
Acha kutisha watu.. Vvu vvu hapa
Siwezi rudiana na yoyote,ila huwa na mkumbuka sana mwanaume mmoja tu,he has always trully cared for me..wengine walikuwa wananichezea tu and i really hate them hadi kesho
nakuangalia tu unavotafuta excuse ya kupasha kiporo chako!
utakula ulikopeleka mboga nakwambia!
page ya 4 hii unalia lia humu
Endelea!
Kuchezewa ndo kumegwa bila condom au kumegwa kabla ya romansi?
Kuchezewa ndo kumegwa bila condom au kumegwa kabla ya romansi?