Vipi kama ex aki ......!!

Vipi kama ex aki ......!!

Nakuletea saa nne hivi..zitakiwa fresh sio kiporo..najua upo kitandani wala sikuulizi.mwalimu

Special diet alikuwa anawahi Asprin..mi nilikuwa marginalised ujue😕
hahahahahahahaha ODM
alianza harakati siku nyiiiiingi!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo usipovuta hisia, protini itakuwa haitoki. unamchosha bure mtoto wa watu. ukiöna binti anakaribia, unavuta hisia ya Khantwe, unamwaga kojo zito kiroho safey.

hahahahaaaa! Babu naona Khantwe amejaa hasira halafu agundue mm ndio bf sijui atanifanyaje wakat anaskia kila siku namwambia nampenda kumbe ni uwongo
 
Last edited by a moderator:
Wanaume mmeamua kufunguka. mtawaua hawa wadada wanaosoma hapa. wana wivu hao
hakyamama hiv mnawaza sisi hatuna archives?
enhenhenhenhe uzuri wetu archives zetu huwa tunahakikisha mnazilisha ugali,mnazilipia ada,mnazipa majina ya baba na mama zenu!
fair inuf kwa kweli!
 
na usikute mm ndio mpenz wako lakn hatujuan kwa id za hapa jf na baadae ukajua mm ndio bf wako na kwamaneno niliyosema hapa ju ya ex wangu sijui utanifanyaje

Nakuhamishia kikojoleo usoni ili huyo x wako asiwe na tabu ya kukifuata huko chini
 
Hivi mtu kama hana hisia na wewe huwezi kumjua? Yan kakuoa tu kama toy ila hisia zipo kwa mwingine. Hujaona hapo Mgirik anakwambia hadi kwenye gemu anavutia picha ya x....hii ni haki kweli?

punguza machungu Khantwe ila unaonekana ukigundua mmeo ndio yupo hvyo bila shaka utaua
 
Last edited by a moderator:
hakyamama hiv mnawaza sisi hatuna archives?
enhenhenhenhe uzuri wetu archives zetu huwa tunahakikisha mnazilisha ugali,mnazilipia ada,mnazipa majina ya baba na mama zenu!
fair inuf kwa kweli!

Kwamba hatujui? tunajua sana sema hatuna wivu na hatupendi kujidhalilisha. toto linafanana na mpemba mnajibaraguza eti limefanana na babu yangu. shenzy zenyu na robo.
 
hahahahaaaa! Babu naona Khantwe amejaa hasira halafu agundue mm ndio bf sijui atanifanyaje wakat anaskia kila siku namwambia nampenda kumbe ni uwongo

Khantwe anasumbuliwa na utoto. akikua ataelewa tu.
 
Last edited by a moderator:
Kwamba hatujui? tunajua sana sema hatuna wivu na hatupendi kujidhalilisha. toto linafanana na mpemba mnajibaraguza eti limefanana na babu yangu. shenzy zenyu na robo.

Hahahahah.....bas nikionaga jitu limefanyiwa hivyo mimi full burdani....
 
Back
Top Bottom