Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,038
- 2,189
Khantwe na lady in action siku nyingine nikiwaambia muache kulia lia mnapokutana na mibazazi ya hisia kama hiv muwe mnanielewa!
Mgirik ennh it was nice having you here!
bottom line is hakuna sababu ya kujilazimisha kuishi na usiyempenda!hatuoi na kuolewa ili kutimiza wajibu na kuzaliana!
ndoa ni zaidi ya hapo!
ni zaidi ya kuvaa shela na tuxedo
kubwa zaidi hisia za mwenzi wako ni kitu azizi aseeh unless lipo alilokukosea ambalo kwalo bado mna haki na wajibu wa kulizungumza!
hatutegemei kuwa wanandoa ni malaika kiasi wasiwe na mapungufu,best thing is ni namna gani mnaweza kukusanya ubora wenu ulipo na kwa pamoja mkafidie mapungufu yenu!haijalishi how best u felt with ur ex!
tengeneza leo maana nayo itakuwa jana kwa kesho yako!
jumapili njema!
umemaliza kilakitu ..... jpil njema kwako pia
Last edited by a moderator: