Vipi kama ex aki ......!!

Vipi kama ex aki ......!!

mnajipa sana moyo mjue!
yani wallahi hadi huruma!
rudi usiku !kuwa na vibichi na vikavu fufua maex wako wote!
ila mi nakomaa na dume moja tu!moooooja tu!
hayo yote unayofanya yanakuwa compensated!
af ukijua inaumaje sasa?
unaongeza vibichi kwa kasi,hence the less concetration kwa kipenda roho wako nako kunaanza kuchacha maana mwisho wa siku unagundua wanawake wote tunafanana!

wewewewee! Nikigundua nakutimua kwanza wakat huo utambue sina mapenz ya kweli ila na fake tu. Najua ex wangu niliyempenda ameshaolewa hvyo sitaona kesi wala haja kubadilisha mwanamke mwingne
 
Ndo nmeshajua ufirauni wako sasa. I'll never invest all my feelings

hahahaaa! Khantwe fungua moyo mamaaaaa! Ww usione jamaa akidindisha unajua amekudindishia ww au ukiona anamwaga kojo na akiugumia ukajua umemgusa panapostahili kumbe hata hayupo pale ila amekuvisha picha ya mtu wake. Mdada wa watu unahangaika unajikakamua kuzungusha nyonga unashika mike unashuka mistari kumbe amekufanya toi
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana mkuu....jitahidi uoe aliye kama wewe si unaona hapa watu wanavyojivunia maex wao? Ni shidaaa

naona unataman umpate kama huyo umtoe bikra mwenye umiliki vilivyo raha iliyoje?
 
wewewewee! Nikigundua nakutimua kwanza wakat huo utambue sina mapenz ya kweli ila na fake tu. Najua ex wangu niliyempenda ameshaolewa hvyo sitaona kesi wala haja kubadilisha mwanamke mwingne
sssssshhh taratibu wanakuskia ulivopanick ujue!
wakati unapunguza sauti ujiulize hili swali
mimi nayejua kuwa u baradhuli wako wote na bado nikaendelea kuitwa mke wako
na wewe uliyejua ufyampu wangu mmoja tu na kunitimua /kunipa talaka
nani ni best actor/actress?
 
ww mwanamke mbishi ww duh! Ngoja nikanywe kahawa ntarudi baadae ila sijakukimbia
 
Khantwe na lady in action siku nyingine nikiwaambia muache kulia lia mnapokutana na mibazazi ya hisia kama hiv muwe mnanielewa!
Mgirik ennh it was nice having you here!
bottom line is hakuna sababu ya kujilazimisha kuishi na usiyempenda!hatuoi na kuolewa ili kutimiza wajibu na kuzaliana!
ndoa ni zaidi ya hapo!
ni zaidi ya kuvaa shela na tuxedo
kubwa zaidi hisia za mwenzi wako ni kitu azizi aseeh unless lipo alilokukosea ambalo kwalo bado mna haki na wajibu wa kulizungumza!
hatutegemei kuwa wanandoa ni malaika kiasi wasiwe na mapungufu,best thing is ni namna gani mnaweza kukusanya ubora wenu ulipo na kwa pamoja mkafidie mapungufu yenu!haijalishi how best u felt with ur ex!
tengeneza leo maana nayo itakuwa jana kwa kesho yako!
jumapili njema!
 
Thread Closed.

Ma ex waheshimiwe na wachepukaji wote.
 
nmekuelewa sana lakn ungerudia kuisoma coment yanguya kwanza kabisa. Ilikuwa ni mifarakano kidogo ilitokea baada ya hapo kila mtu akashika njia yake lakn bado kila mmoja alikuwa na hisia na mwenzake. Lakn hatukuweza kupata mda wa kuyamaliza mpaka mwenzangu alipopata mtu na kuolewa....... Kumpenda x wangu haimaanishi kwamba nitamchukia nitakayekuwa naye la hasha! Nitampenda my wife lakn hautafikia upendo ambao upo kwa x japo sitaweza kuishi naye lakn nakiri kuwa nilimpenda sana but sababu kidogo sana ndiyo ilitufanya tusiwe pamoja.
 
Kwa kifupi kabisa mwambie x wako amegeuka kuwa mchepuko wako. Mchepuko wa lami.
 
Khantwe na lady in action siku nyingine nikiwaambia muache kulia lia mnapokutana na mibazazi ya hisia kama hiv muwe mnanielewa!
Mgirik ennh it was nice having you here!
bottom line is hakuna sababu ya kujilazimisha kuishi na usiyempenda!hatuoi na kuolewa ili kutimiza wajibu na kuzaliana!
ndoa ni zaidi ya hapo!
ni zaidi ya kuvaa shela na tuxedo
kubwa zaidi hisia za mwenzi wako ni kitu azizi aseeh unless lipo alilokukosea ambalo kwalo bado mna haki na wajibu wa kulizungumza!
hatutegemei kuwa wanandoa ni malaika kiasi wasiwe na mapungufu,best thing is ni namna gani mnaweza kukusanya ubora wenu ulipo na kwa pamoja mkafidie mapungufu yenu!haijalishi how best u felt with ur ex!
tengeneza leo maana nayo itakuwa jana kwa kesho yako!
jumapili njema!

Amina kubwa....endi sledi klozid
 
Last edited by a moderator:
Zimekugusa hadi umekuwa speechless

Daa! Hizi mambo saa zingine si zakukumbuka, but all in all tushukuru kwa kuumbwa kupunguza hasira n kusahau pia otherwise idadi ya machizi wangekuwa wengi! hivi kuna hospital wanayoformat ubongo?
 
Last edited by a moderator:
Zimekugusa hadi umekuwa speechless

Daa! kama jina langu! Hizi mambo saa zingine si zakukumbuka, but all in all tushukuru kwa kuumbwa kupunguza hasira n kusahau pia otherwise idadi ya machizi wangekuwa wengi! hivi kuna hospital wanayoformat ubongo?
 
Last edited by a moderator:
Kwa upande wangu kama haikua rizki mwanzo basi haina sababu yakutafuta michepuko huyu nilokua nae ndio bahati yangu
nisije kukosa mwana na maji ya moto......ntakula kwa macho2.............
 
Back
Top Bottom