Vipi kama ex aki ......!!

Vipi kama ex aki ......!!

Duh! Ma eX wangu wote wana sifa za kurudiwa,sasa nikiamua kuwarudia wote sitasonga mbele,what i always do is just one 9t stand,from there kila mtu anaendelea na maisha yake.
 
mkuu snowhite yaan ww utahudumiwa kila kitu kwasababu najua ndio mama mwenye nyumba lakn moyo wangu tu unatoa damu kwa ex na sio sisi bali ni hisia tu ndio znafanya hvyo
soma hiyo post vizuri puleeeez!
zamani kweny club raha leo show tulikuwa tunasema once mooooore!
 
Last edited by a moderator:
Kaizer ndo alifanyaga mitihani ya cambridge!
ila ngoja nijaribu!
anasema thy shallnt thou come art me place thee

Sijakuambia unitafsirie kiyunani. staki tena tafsiri yako potofu.
 
Last edited by a moderator:
mambo ya kukumbushiana na maeks, wengine majanga ukirudiana nao
 
soma hiyo post vizuri puleeeez!
zamani kweny club raha leo show tulikuwa tunasema once mooooore!

nikweli nilichanganya maada.
Hyo tunajua sana lakn jambo la msingi ni usiri tu baasi. Kwanza kitanda hakizai halamu na kama mm nmekutolea mahali na naishi na ww kwa ndoa ya kanisani au msikitn najua mm ndio kidume hakuna yeyote atakayekuja kusema huyu ni mwanangu ila ww na huyo mwzi mwenzio mtaishia kusemea kwenye blanket tu.
 
Hahahahah.....na wewe imekutachi eeh?

umeona Asprin kanitukania hapo juu!
daaadeki!
ujue wanaume huwa wanaamini wanawake ni vilaza or sort of!
kimsingi wanasahau namna hedhi na uchungu huwa zinatengeneza nini zaidi ya ujasiri!
kutana na wachawi woooote ila sio mchawi mwanamke!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah.....bas nikionaga jitu limefanyiwa hivyo mimi full burdani....

kama mm siewez hata kulalamika kwasababu ntadhalilika bure, hata nikikufumania mm ntapiga kimya tu ili kulinda heshma yangu..
 
umeona Asprin kanitukania hapo juu!
daaadeki!
ujue wanaume huwa wanaamini wanawake ni vilaza or sort of!
kimsingi wanasahau namna hedhi na uchungu huwa zinatengeneza nini zaidi ya ujasiri!
kutana na wachawi woooote ila sio mchawi mwanamke!

Hakika.....
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi bana....

Unavyokua unajipangia vitu vyako kichwani ukikua mkubwa vitu vingine vinakuwa tofauti.

I wish kusingekuwa na option ya kuachana. ...
 
hakyamama hiv mnawaza sisi hatuna archives?
enhenhenhenhe uzuri wetu archives zetu huwa tunahakikisha mnazilisha ugali,mnazilipia ada,mnazipa majina ya baba na mama zenu!
fair inuf kwa kweli!

kweli hiyo ni 50/50 coz hata sie kila tukiwa 6/6 tunakuwa na maex wetu, wengine hata kukojoa mpaka ex awekwe kwenye kamera, lol
 
umeona Asprin kanitukania hapo juu!
daaadeki!
ujue wanaume huwa wanaamini wanawake ni vilaza or sort of!
kimsingi wanasahau namna hedhi na uchungu huwa zinatengeneza nini zaidi ya ujasiri!
kutana na wachawi woooote ila sio mchawi mwanamke!

sisi hatusemi nyie ni vilaza ila haya mambo kila mtu anaujanja na jeuri yake. Jeuri anayoitumia ex wangu kumtoroka mme wake na kuja kwangu ndiyo jeuri anayoitumia mke wangu kwenda kwa hawala yake.
 
Last edited by a moderator:
Kwa maana hiyo you are both michepuko....?that is quite unfair kwa hao life partners wenu. Hivi mkitoka kuchepuka mnawaangaliaje? Na feelings hata za kutimiza tendo la ndoa zinakuepo kweli? Mungu saidia kizazi hiki dah!Utadhani mlishikiwa bunduki kuingia katika ndoa! I'm not judging but this is jus breaking my heart for real.:shocked:
You are allowed to judge as you are entitled to your opinions but trust me, you don't know the whole story. But to shed some light on the issue anza kufikiria what makes a lovin loyal wife betray her marriage vows, usiangalie sana result[cheating], focus on the cause.
 
Back
Top Bottom