Vipi kama ex aki ......!!

Vipi kama ex aki ......!!

Hapo kwenye bold sijakuelewa kabisa mkuu!!

wanaume ndio wanaowashawishi wanawake wawapende na hata akikuambia ana mtu wake hatujali tunatumia kila uweza kuwashawishi na wao ni wadhaifu,na akishawishika yanaanza mapenzi mapya yake ya zamani hayamvutii tena,na sie tukiona tumekubaliwa tunakazana kweli kufanya tofauti na mbona yule wa mwanzo anaonekana pimbi lakin chanzo ni mwanaume mwenzako.
 
Ni kweli ni watu wengi tu ambao wako ndani ya ndoa hukumbuka mahusiano yao ya zamani na kujutia ndoa walizonazo na laiti kungekua na nafasi ya kufanya choice ya pili ni wengi tungefanya,mfano nilikua na mpz kabla sijafunga ndoa na nilie nae tulielewana sana na ni kati ya watu waliochangia kwa kiasi kikubwa mafanikio niliyonayo,ilipofika wakati wa kutambulishana ili taratibu zifanyike mdudu ukabila akaingia,oh we ni kijana wetu mkubwa huwezi oa nje ya kabila letu na mambo kibao hatimae mambo yakabadilika ikabidi niukubali uchungu wa kuachana nae,ila mpaka leo najuta nilifanya mistake kubwa.
 
Zamani itabaki kuwa zamani haiwezi kuwa sasa japo nyingine hazisahauliki, ila unapoamua kusonga mbele hakuna kurudi nyuma hata iweje aiseeeh.
 
nianze kwa kujifunza,mwanamke ni mtu wa kubadilika muda wowote ule. mwaka na miezi 3 sasa tangu aliponiacha maumivu alioniachi hayaelezeki na mpaka muda huu sijaona wa kufanana nae japo alikuwa wa kawaida lakin kwa upendo niliokuwa nao kwake natamani kurudiana nae,na nileo nilikuwa nawazia hilo ila sijui nianzie wapi.lakin nimempenda sana,ushauri wangu kama uko na mpenzi wako wakati huu,usijaribu kamwe kufikiria kumuacha taabu yake hasimuliki nawaapien msijaribu.

Daah nimejifunza kitu hapa.
 
tumeambiwa tusamehe lakini huyu kiumbe hata angekuja na magoti umbal wa km 100 siwezi kumsamehe na always namuombea mabaya tu.

Pole mpenzi hawa viumbe ndio wakivyo kuna saa unatamani uchukue nafasi ya malaika mtoa roho ukishamaliza kazi unarudi position yako!!! Wanakera
 
mimi sijutii aiseee japokuwa huwa nakumbuka
 
tumeambiwa tusamehe lakini huyu kiumbe hata angekuja na magoti umbal wa km 100 siwezi kumsamehe na always namuombea mabaya tu.

we call it love, pole sana mdada unakamata fursa nyngne maisha lazma yaendelee. Sahau yalopita
 
Back
Top Bottom