marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,634
- 3,660
umeona Asprin kanitukania hapo juu!
daaadeki!
ujue wanaume huwa wanaamini wanawake ni vilaza or sort of!
kimsingi wanasahau namna hedhi na uchungu huwa zinatengeneza nini zaidi ya ujasiri!
kutana na wachawi woooote ila sio mchawi mwanamke!
hahahahahahahahahahahahahahaha NGU!NGUuuuu!nikweli nilichanganya maada.
Hyo tunajua sana lakn jambo la msingi ni usiri tu baasi. Kwanza kitanda hakizai halamu na kama mm nmekutolea mahali na naishi na ww kwa ndoa ya kanisani au msikitn najua mm ndio kidume hakuna yeyote atakayekuja kusema huyu ni mwanangu ila ww na huyo mwzi mwenzio mtaishia kusemea kwenye blanket tu.
mi x sitaki hata kumsikia kifo kingekua kinaombewa ningemwombea afe
sisi hatusemi nyie ni vilaza ila haya mambo kila mtu anaujanja na jeuri yake. Jeuri anayoitumia ex wangu kumtoroka mme wake na kuja kwangu ndiyo jeuri anayoitumia mke wangu kwenda kwa hawala yake.
hahahahahahahahahahahahahahaha NGU!NGUuuuu!
hadi raha!
how does it feel kuishi na ex wako tumboni miezi tisa,kumuona ukinyonyesha?kumuona ukipeleka nasare?kumuona ukiozesha?kumuona mpk ukamilifu wa dahari!
wewe na mahaba yooooote huthubutu.kuniletea ex wako ndani!
nani sasa anayeishia kusemea kweny blanketi?

Zimekugusa hadi umekuwa speechlesskatika mada ambazo zilishawahi kunigusa hii n ya pili ama ya tatu sasa, japo sizikumbuki vizuri zile mada but akili yangu inarudi nyuma sana kwa nyuzi kama hizi aise!
dah! Nmecheka sana ulivyorusha hilo kombola kujibu mashambulizi.
Hilo wala halina shida kwangu hyo raha itaishia moyon mwako lakn huwez kuionyesha kwangu hadharan kwanza utakuwa kwenye kifungo cos unaogopa nikijua tu tayar nyumban hapatakalika, halafu utakuwa umejidhalilisha mbele ya wanawake wenzio na hata wazaz wako utakuwa umewapaka matope. Hvyo utakuwa kwenye wakat mgumu wa kuizuia hyo siri isivuje. Ila mm naweza kumzalisha ex wangu na kila mtu akajua na bado nikaonekana ni kidume zaidi na mtoto ntamleta nyumban na utamlea ww mwenyew. Umeona hapo mkuu
Aiseeeee....huu uzi na ufungweee...
ni kweli maisha yanaenda,fikiria kila mtu ana ndoto za kuwa na ndoa,na kwa bahati ukapata mtu atakae timiza ndoto zako,mkapatana wewe na yeye kuwa kitu kimoja lako ni lake na lake ni lako,inakujatokea mtu anayavuruga hayo mapatano na kuyafutilia mbali,niambie utajisikiaje? ni kama umepiga hatua 3 mbele halafu anatokea mtu anakurudisha nyuma hatua kumi! hapana yasikie tu. na lawama nawapa wanaume tu hakuna mwingine ni sisi tu.
dah! Nmecheka sana ulivyorusha hilo kombola kujibu mashambulizi.
Hilo wala halina shida kwangu hyo raha itaishia moyon mwako lakn huwez kuionyesha kwangu hadharan kwanza utakuwa kwenye kifungo cos unaogopa nikijua tu tayar nyumban hapatakalika, halafu utakuwa umejidhalilisha mbele ya wanawake wenzio na hata wazaz wako utakuwa umewapaka matope. Hvyo utakuwa kwenye wakat mgumu wa kuizuia hyo siri isivuje. Ila mm naweza kumzalisha ex wangu na kila mtu akajua na bado nikaonekana ni kidume zaidi na mtoto ntamleta nyumban na utamlea ww mwenyew. Umeona hapo mkuu
Pole sana. ila leo nimegundua kitu kimoja. Una wivu sana.
tunajaribu tu kuwaonyesha how best we are in playing this game!kinachoshangaza.. na ubaradhuli wote mlio nao bado mnaongoza kwa wivu. sijui nani kawalogeni.
Aiseeeee....huu uzi na ufungweee...
Ni kawaida jambo kushindikana kwa sababu mbali mbali,lakini inafikia wakati mtu unatamani iwe kama ulivyotaka lakini mazingira yanakataa
Sasa basi kwenye masuala ya mahusiano nako kuna vimbwanga vyake,inawezekana huko nyuma uliwahi kuwa na mahusiano ambayo hadi leo huwezi kuyasahau na pengine unatamani sana kama yangekuwa ndio ndoa lakini ilishindikana kwasababu mbali mbali ambazo zilikuwa nje ya uwezo wako
Hebu jaribu tu kufikiria,kwa wale ambao waliwahi kuwa na mahusiano ambayo hayakufanikiwa kwenda kwenye ndoa,je kuna mahusiano uliwahi kuwa nayo hadi leo unayakumbuka?
Je unatamani akurudie?
Vipi akikurudia,unaweza kuiweka ndoa yako hatarini kwa kuchepika nae ili ukumbushie mavituz ya kale?
Najua unaweza kuwa na kigugumizi lakini ukweli unaweza kuwa upo wazi kuwa kuna baadhi ambao walikuwa na mahusiano ambayo walitamani ndio yangekuwa njia kuu lakini yalishindikana na hadi leo wanayakumbuka na wana wish hata warudiane hata wawe mchepuko tu
Hebu jiulize hayo maswali hapo juu na uangalie kama kuna cha kujifunza kutoka kwenye hayo mahusiano yako ya kale!!