Vipi kama ex aki ......!!

Vipi kama ex aki ......!!

Utafiti nilioufanya mwenyewe umethibitisha zaidi ya asilimia 80 ya ndoa, ni ndoa za wanandoa ambao hawajapendana upendo wa moyoni.

Hii kitu wife/husband material inawalazimisha watu waoe wasiowapenda kwa dhati.... wakijiaminisha watajifunza kupenda.... michepuko itakwepeka?

Ukiona wanandoa wamehamishia mapenzi yao kwa watoto zaidi ya wenza wao, jiulize na ujijibu.

Nimesema mimi ODM.

kweli kabisa babu kwa hali hii michepuko haitakwepeka kama mm sidhan kama kuna mwanamke ntakuja kumpenda kama yule x wangu.
 
Aiseeee....Sasa mimi ntabaki kushindana na mtu ambaye simuoni nitaweza? Nitaimprove my standards kulingana na mahitaji ninayoyaona hayo mengine kuchoshana tu
mpaka ugundue unashindana una watoto wanne!lol
 
unaeza jikuta unampa kelbu mbili matata mpk asahau jina lake kwa sekunde!

Hahahah....umempa hadithi nyingine....kesho yake anakwambia nlikuwa nampenda yule binti kwa upole wake,hata nikimkosea alikuwa ananibembeleza...maskini sikutegemea kama snowhite angenitenda vile
 
Last edited by a moderator:
Nikigundua mwanaume anamlilia x kiasi hiki nakaa mbali nae kabisaaa

hahahaaa! Mkuu hicho kilio huwez kukigundua. Hasa kama ni wife to be ila kitabaki moyon tu. Hapa umeyajua kwasababu naamin hatufahamiani
 
Hahahah....umempa hadithi nyingine....kesho yake anakwambia nlikuwa nampenda yule binti kwa upole wake,hata nikimkosea alikuwa ananibembeleza...maskini sikutegemea kama snowhite angenitenda vile

akweeeeeeendre na makaburi yake ya kimahusiano!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah....umempa hadithi nyingine....kesho yake anakwambia nlikuwa nampenda yule binti kwa upole wake,hata nikimkosea alikuwa ananibembeleza...maskini sikutegemea kama snowhite angenitenda vile

Hakuna mwanaume anayeweza kumzungumzia ex wake mbele ya mwanamke wake. HAKUNA.
 
Last edited by a moderator:
Hahhaha nilijua tu. Afu unaweza kuta wakati jamaa linammega, mama anavuta hisia zako.

İla nakushauri., sahau yaliyopita kaa mbali na mke wa mtu. Hatareee

Hommie saa hii upo kitandani au madhabahuni

Mwalimu wangu snowhite kwa huzuni kubwa narudi kitandani
 
Last edited by a moderator:
Bahati mbaya wanaowalilia huwa hawawalilii tukiona!
wanawalilia kwa mapishi yetu
wanawalilia kwa swaga zetu kitandani
wanawalilia kwa maumbo yetu
wanawalilia kwa tunavyodeal na emotions zetu
wanawalilia kwa mitazamo yetu!
basi mradi raaaaha tu kudate watu wasio na uwezo wa kuapdate kama sio kuconfigure RAM zao!

kumbe unayajua hayo.
Tena inaweza kufikia hatua mwanaume akakosa hamu kabisa na ww ila anashiriki tendo na ww kwa kuvuta hisia za ex wake. Yaan anamliza mchezo mzima lakn kumbe kichwan mwake amekuvika picha ya hawala au ex.
Haya mambo jaman sometme yanachanganya sana
 
Hakuna mwanaume anayeweza kumzungumzia ex wake mbele ya mwanamke wake. HAKUNA.

Hahahah...sio lazima akwambie..anaweza akawaambia rafiki zake au kikawa ndo hicho kilichomkaa kichwani. Unadhani akiwa anawaza hayo huku anakuangalia wewe unakuwa unaonekanaje?
 
Hommie saa hii upo kitandani au madhabahuni

Mwalimu wangu snowhite kwa huzuni kubwa narudi kitandani
ish!
mi mwenzio special case!
hahahahhahaha enzi za special diet unazikumbuka?
by ze wei hiv hamnaga kiporo cha icecream?
 
Last edited by a moderator:
Hahahah...sio lazima akwambie..anaweza akawaambia rafiki zake au kikawa ndo hicho kilichomkaa kichwani. Unadhani akiwa anawaza hayo huku anakuangalia wewe unakuwa unaonekanaje?

swali ni moja. UTAJUAJE?
 
Back
Top Bottom