Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
- #201
Pamoja sis..The Bold shukrani
Pamoja sis..The Bold shukrani
Zimefika mkuu...Dah, mpe hi nifah
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]![]()
EPISODE 07 YA VIPEPEO WEUSI MSIMU WA PILI IKO HEWANI TAYARI...
Nenda,
jamiiforums.com
Ili kuisoma
Mkuu pongezi nyingi kwa hadithi tamu. Lakini hii Episode namba 7 mbona haipo kwenye website ila ipo namba 8. Au hiyo namba 8 ndio 7. Nimetafuta kadiri ya uwezo wangu lakini bila mafanikio.![]()
EPISODE 07 YA VIPEPEO WEUSI MSIMU WA PILI IKO HEWANI TAYARI...
Nenda,
jamiiforums.com
Ili kuisoma
Kwenye tovuti uliishia epsode ya 16.Sasa endelea epsode ya 17 mkuu bold !Hii nianze kuweka kuanzia Episode ya ngapi?? Maana nyingine zipo kule kwenye tovuti...
Tuanzie wapi wakuu??
Mkuu Kwema lakini anzia Ep 17Hii nianze kuweka kuanzia Episode ya ngapi?? Maana nyingine zipo kule kwenye tovuti...
Tuanzie wapi wakuu??
16 mkuuHii nianze kuweka kuanzia Episode ya ngapi?? Maana nyingine zipo kule kwenye tovuti...
Tuanzie wapi wakuu??
Ndugu yangu khabari za siku nyingi tulikukosa sana humu jamvini karibuHii nianze kuweka kuanzia Episode ya ngapi?? Maana nyingine zipo kule kwenye tovuti...
Tuanzie wapi wakuu??
Iko apiMkuu pongezi nyingi kwa hadithi tamu. Lakini hii Episode namba 7 mbona haipo kwenye website ila ipo namba 8. Au hiyo namba 8 ndio 7. Nimetafuta kadiri ya uwezo wangu lakini bila mafanikio.
Hongera sana kwa uandishi uliotukuka