Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,366
Hahahaha una akili aiseee hata mm naungana na wwKweli wamelala na hivi tuliambiwa epsode 6 itakuwa na utamu labda alichungulia wakalianzisha[emoji12]
Hahahaha una akili aiseee hata mm naungana na wwKweli wamelala na hivi tuliambiwa epsode 6 itakuwa na utamu labda alichungulia wakalianzisha[emoji12]
Zina utamu wake ila ss ulambe kwa kupenda ww na c kulazimishwa mkuu
Hujambo aisee[emoji39][emoji39]
Hujambo aisee
Mekumiss ujue
Wifi kampa dozi bwana kaka hadi net imekata ngoja akunywe maziwa kurudisha nguvuMimi mzima kabisa,nimekuja kuchungulia kama kashusha mzigo.
Sawa shemej yetu ila jitahidi kukaimu vizuri hyo nafasi ili next time jikoni JF kusinune akipata dharura manake daah jmoc haiendi kabisaHadi kesho wii mpenzi, tuvumilieni kidogo wapendwa.
Wifi kampa dozi bwana kaka hadi net imekata ngoja akunywe maziwa kurudisha nguvu
Kufa hamfi ila labda cha moto tu ndo mtakipataAhahaha muwe waangalifu,mtatumaliza bure.
Hakuna namna inabidi kukubaliana na kila jambo. Mwenyezi Mungu amlinde na kumpa wepesi kwa mambo yanayoendelea.Habari wakuu?
Leo ndio episode ya 6 ilipaswa kuwekwa mida ya jioni...
Kwa bahati mbaya The bold amepatwa na dharura fulani hivi...
Kuna changamoto imejitokeza that's why hamjamuona online siku ya pili sasa.
Tuwe na subira kidogo,tunaamini mpaka kesho jumapili atakuwa amerejea na kuendelea na simulizi.
Sorry for inconvenience!
#TheBold's
Kufa hamfi ila labda cha moto tu ndo mtakipata
Wewe mwanamke? OMG! Am pretty sure The bold akiona hii post atacheka sana.Kweli wamelala na hivi tuliambiwa epsode 6 itakuwa na utamu labda alichungulia wakalianzisha[emoji12]
Chezeya cheupe wewe hadi The bold kaenda mapumzikoHahahaha una akili aiseee hata mm naungana na ww
Sawa Shem, I'll [emoji4] [emoji120]Sawa shemej yetu ila jitahidi kukaimu vizuri hyo nafasi ili next time jikoni JF kusinune akipata dharura manake daah jmoc haiendi kabisa
Hakuna kitu leo hadi kesho mkuu maji yamezidi ungaMimi mzima kabisa,nimekuja kuchungulia kama kashusha mzigo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani jamani!Ahahaha muwe waangalifu,mtatumaliza bure.
Kwanza nilikumiss sana,juz na jana ulitoweka kama 'Baba Bite' wa The bold.Oyaa ndo unaamka au karibu tupige soga leo The Bold yuko off na wifi yetu
Amen [emoji120]Hakuna namna inabidi kukubaliana na kila jambo. Mwenyezi Mungu amlinde na kumpa wepesi kwa mambo yanayoendelea.