Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Hakuna kitu leo hadi kesho mkuu maji yamezidi unga
Ngoja nikatembee majukwaa mengine.
Hakuna kitu leo hadi kesho mkuu maji yamezidi unga
![]()
![]()
![]()
jamani jamani!
Hakuna namna inabidi kukubaliana na kila jambo. Mwenyezi Mungu amlinde na kumpa wepesi kwa mambo yanayoendelea.


Ukiona kizuri niite nammNgoja nikatembee majukwaa mengine.
Ukiona kizuri niite namm
Kwanza nilikumiss sana,juz na jana ulitoweka kama 'Baba Bite' wa The bold.Oyaa ndo unaamka au karibu tupige soga leo The Bold yuko off na wifi yetu
Aha wapi bwana mbona cjaona juhudi za kunisaka
Shida ya siku hizi JF hata ukimtag mtu hailet notificarions, nimehaha hadi The Transporter akanambia ntapigwa ban, nikamwambia na nipigwe tu kwa ajili ya ClkeyAha wapi bwana mbona cjaona juhudi za kunisaka
Ahsante sana kunijaliiiiiiiShida ya siku hizi JF hata ukimtag mtu hailet notificarions, nimehaha hadi The Transporter akanambia ntapigwa ban, nikamwambia na nipigwe tu kwa ajili ya Clkey
Karibu sana.Ahsante sana kunijaliiiiiii
Nilikuwepo napambana na hali yangu
Yaaaa hapa nshatoka kibaruani nitafute mahali ss niburudishe akili yangu angalau na pepsi baridiiiiKaribu sana.
Natumai umeimarika
Why not home made juisi?Yaaaa hapa nshatoka kibaruani nitafute mahali ss niburudishe akili yangu angalau na pepsi baridiiii
Kila cku ninywage ya nyumbani aisee mara moja moja unakaa palikotulia utafakari life ya sizonje,home kelele za watotoWhy not home made juisi?
Kila cku ninywage ya nyumbani aisee mara moja moja unakaa palikotulia utafakari life ya sizonje,home kelele za watoto






Yaaap,mara zingine zikukere lkn huna jinsi inakubidi ucheke pia
Kweli kabisa,unatumia muda huo kufikiria Spichi zake za wiki nzima
Nifah shukrani kwa taarifa, je ni changamoto ya kawaida isijekuwa figisufigisu baada ya kuandika hii stor kwa majina ya mwanzo ?Habari wakuu?
Leo ndio episode ya 6 ilipaswa kuwekwa mida ya jioni...
Kwa bahati mbaya The bold amepatwa na dharura fulani hivi...
Kuna changamoto imejitokeza that's why hamjamuona online siku ya pili sasa.
Tuwe na subira kidogo,tunaamini mpaka kesho jumapili atakuwa amerejea na kuendelea na simulizi.
Sorry for inconvenience!
#TheBold's
YeahHata mobile?
Ni kawaida mkuu,halihusiani kabisa na hii simulizi.Nifah shukrani kwa taarifa, je ni changamoto ya kawaida isijekuwa figisufigisu baada ya kuandika hii stor kwa majina ya mwanzo ?
Next time tualikane,tujumuike pamoja.Yaaap,mara zingine zikukere lkn huna jinsi inakubidi ucheke pia