Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Previously walikua wanaziachia kwenye facebook page yao "kona ya riwaya reloaded" but kwa sasa sijui km bado zipo
Aah, ile page.

Ilibidi nisitishe kuifutilia, maana niliona nakuwa addicted na kazi muhimu nashindwa kufanya.
 
Wakuu episode ya 6 ya vipepeo haijatoka? Nistueni jaman kama ikitoka
 
  • Thanks
Reactions: Lee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Shoo ya kibabe [emoji123] [emoji123] [emoji35]
Kiongozi nimeitwa job leo nimesingizia homa kisa tu nikawaza nikienda job nitashindwa soma vizuri Ep6 so nipo nasubilia notification yako, tuwekeee mzigo kaka [emoji3][emoji3][emoji3]
 
The bold ananikumbusha riwaya za marehemu Elvis Musiba na Ben Mtobwa.
Ila kwa zama hizi yupo mkongwe Hussein Issa Tuwa, yeye anajiita bingwa wa riwaya za taharuki, yaani hapo msomaji unabaki na taharuki zisizosemeka. Mkipata nafasi tafuteni na msome riwaya zake kadhaa hamtajuta asee, nina dedicate kwenu vitabu hivi ambavyo nimeshavisoma tayari [emoji116]
1. Usiku wa 9/12 ( 1&2)
2. Mkimbizi
3. Mdunguaji
4. Mtuhumiwa.

Na pia story hizi sijui kama ameshatoa vitabu vyake [emoji116]
1. Miss Tanzania
2. Mtafiti
3. Bondia

Na sasa nipo mkao wa kula nasubiria kitabu kingine (kipo jikoni) kinaitwa "Kilio cha gaidi"
Ni hatari sana aisee.
Huyo sijamsoma vitabu vyake baada ya hao watu wawili nhoja nivitafute mkuu
 
Habari wakuu?

Leo ndio episode ya 6 ilipaswa kuwekwa mida ya jioni...

Kwa bahati mbaya The bold amepatwa na dharura fulani hivi...
Kuna changamoto imejitokeza that's why hamjamuona online siku ya pili sasa.

Tuwe na subira kidogo,tunaamini mpaka kesho jumapili atakuwa amerejea na kuendelea na simulizi.

Sorry for inconvenience!

#TheBold's
 
Attachments

  • wp_ss_20170114_0001.png
    wp_ss_20170114_0001.png
    72.2 KB · Views: 142
Habari wakuu?

Leo ndio episode ya 6 ilipaswa kuwekwa mida ya jioni...

Kwa bahati mbaya The bold amepatwa na dharura fulani hivi...
Kuna changamoto imejitokeza that's why hamjamuona online siku ya pili sasa.

Tuwe na subira kidogo,tunaamini mpaka kesho jumapili atakuwa amerejea na kuendelea na simulizi.

Sorry for inconvenience!

#TheBold's
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
The bold anepata PC mzuri sana.
Anacheza pande zote mbili
 
Bora akupe ww tu shemegi.. ww ipost kwa niaba yake.. na sisi huku tunazidi kuwaombea[emoji12]
 
Kwa hyo wifi yetu hadi lini ss
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
The bold anepata PC mzuri sana.
Anacheza pande zote mbili
[emoji4] [emoji4] [emoji4] kumbe hakufanya makosa eeeh?
Bora akupe ww tu shemegi.. ww ipost kwa niaba yake.. na sisi huku tunazidi kuwaombea[emoji12]
Kungekuwa na uwezekano huo hakika ningeshapost... Sadly! There is no way [emoji24]
Tuombe kheri...kesho panapo majaaliwa everything will be alright [emoji120]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom