Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,366
Ahaa c wamelalaNiwaache wanafanya nini kwani? [emoji23] [emoji23]
Ahaa c wamelalaNiwaache wanafanya nini kwani? [emoji23] [emoji23]
Basi na ss turudi kulala humu bado sanaAhaa c wamelala
Tangulia naja ahaa mm silali tenaBasi na ss turudi kulala humu bado sana
Utakuja tu naujua ugonjwa wakoTangulia naja ahaa mm silali tena
Siji ng'oooooUtakuja tu naujua ugonjwa wako
Huoni wivu? ,Siji ng'ooooo
Sinaga wivu na ww wajuaHuoni wivu? ,
Basi tusimwage kuku kwenye mchele [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sinaga wivu na ww wajua
Mkuu unataka Nikutukane ndio ufurahi? [emoji45]Iko poa sana hii mkuu
Hahaaaa kuna tofauti ya R na L.Leo ndo jumamosi
Twasubiri humu
the board upo
Oohhoo,Riwaya Bomba mkuu the bold, toa kitabu tununue Nina imani hutojutia uamuzi huo
Kama itawezekana naomba unitag na mie
Dah aisee, online zipo.?!The bold ananikumbusha riwaya za marehemu Elvis Musiba na Ben Mtobwa.
Ila kwa zama hizi yupo mkongwe Hussein Issa Tuwa, yeye anajiita bingwa wa riwaya za taharuki, yaani hapo msomaji unabaki na taharuki zisizosemeka. Mkipata nafasi tafuteni na msome riwaya zake kadhaa hamtajuta asee, nina dedicate kwenu vitabu hivi ambavyo nimeshavisoma tayari [emoji116]
1. Usiku wa 9/12 ( 1&2)
2. Mkimbizi
3. Mdunguaji
4. Mtuhumiwa.
Na pia story hizi sijui kama ameshatoa vitabu vyake [emoji116]
1. Miss Tanzania
2. Mtafiti
3. Bondia
Na sasa nipo mkao wa kula nasubiria kitabu kingine (kipo jikoni) kinaitwa "Kilio cha gaidi"
Ni hatari sana aisee.
Umeipakua online?Nikita ipo vizuri sana. Huwezi amini 24 ninayo full lakini sina mzuka wa kuianza sijui kwa nini.
[emoji23] [emoji23]mimi kama msemaji wa THE BOARD nasema story imeishia hapo tumeamua kujipeleka kwa waziri !!
HahahThe Bold njoo tuwekee utamu japo nipunguze hasira za kulambishwa ma ice cream jana usiku
Previously walikua wanaziachia kwenye facebook page yao "kona ya riwaya reloaded" but kwa sasa sijui km bado zipo
Yeah, muda sasa
Naomba link aiseeYeah, muda sasa