The bold ananikumbusha riwaya za marehemu Elvis Musiba na Ben Mtobwa.
Ila kwa zama hizi yupo mkongwe Hussein Issa Tuwa, yeye anajiita bingwa wa riwaya za taharuki, yaani hapo msomaji unabaki na taharuki zisizosemeka. Mkipata nafasi tafuteni na msome riwaya zake kadhaa hamtajuta asee, nina dedicate kwenu vitabu hivi ambavyo nimeshavisoma tayari
1. Usiku wa 9/12 ( 1&2)
2. Mkimbizi
3. Mdunguaji
4. Mtuhumiwa.
Na pia story hizi sijui kama ameshatoa vitabu vyake
1. Miss Tanzania
2. Mtafiti
3. Bondia
Na sasa nipo mkao wa kula nasubiria kitabu kingine (kipo jikoni) kinaitwa "Kilio cha gaidi"
Ni hatari sana aisee.