Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Jumamosi mtani.
Kesho tukutane kwa sports [emoji6]
Lazima muangukie pua dadadeki,haiwezekani machozi yangu ya juzi yaende bure.
Hahahaah sawa mtani.
Sasa hiyo kesho utakuwa upande wa lambalamba??
 
Ooo, am looking for Clkey
Just missing her deadly [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mkuu umemmiss clkey...?she will be back soon...
de900064b4152cdd7ab54476cfbbd5c3.jpg
 
Mkuu hukutazama au unataka kuupotosha umma? Usiwe unabisha kisiasa mara zote. Rais amesema atapandisha au kushusha bei!

Mzee Tupatupa
Jamaa nadhan hapo hakuwa makini,mzee amesema kama bei ndogo ataongeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I Think unahitaji ban si bure [emoji30] [emoji30] [emoji30] MziziMkavu nipe dawa ya kumfanya mtu asahau nywila zake za jf ndani ya mwezi mmoja tu unamtosha
 
Ila Ray naye mwepesi sana..huo ukichwa wake bure kabisa..yani akitikiswa kidogo tu anaongea kila kitu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom