Vipi wenzangu wa Shy Bei ya Maji Tsh ngapi????

Rais kawaambia kuwa atafanya UchunguZi, akikuta Bei ya Maji Shinyanga ni kubwa kuliko Mikoa Mingine basi ataipunguza na akiikuta ni ndogo kuliko Mikoa Mingine basi ataipandisha ilingane na Mikoa Mingine na Mhandisi wa Maji kapandishwa Jukwaani na katika mchnganuo wake Shinyanga Unit moja inauzwa Bei nafuu kuliko Mikoa ya Jirani.
 
Nimeshangaa mbunge kupiga siasa kwenye bei ya maji na ulalamishi usio na sababu za msingi.Maji yana bei nzuri tu.Kabla ya maji ya Victoria mf Kahama matumizi ya maji kwa Sikh ilikuwa zaidi ya sh.1500 kwa familia ya watu wanne,ambapo kwa mwezi ni zaidi ya 45000!Lakini sasa ni kama elfu 12 tu kwa mwezi.Nashangaa mtu akisema maji being kubwa!
 
Rais kawaambia kuwa atafanya UchunguZi, akikuta Bei ya Maji Shinyanga ni kubwa kuliko Mikoa Mingine basi ataipunguza na akiikuta ni ndogo kuliko Mikoa Mingine basi ataipandisha ilingane na Mikoa Mingine na Mhandisi wa Maji kapandishwa Jukwaani na katika mchnganuo wake Shinyanga Unit moja inauzwa Bei nafuu kuliko Mikoa ya Jirani.
Walibaki KIMYAAAAA
 
Hakusema yote hayo.huoni aibu kuongea uongo?
Rais kasema atamtuma waziri kuja kuchunguza kama bei ni kubwa ili aweze kuondoa makato KAUWASA na SHWASA
 
Alisema,mdau alisema kuwa ikiwa maji yapo juu zaid ya mikoa mingine atashusha,ila kama mikoa mingine yapo juu zaid ya shy ayapandisha.
Wasukuma wakanyamaza
Akasema 'naona mnanyamaza,SHINYANGA OYEEE'
Sasa ndo akasema atamtuma waziri aje pale
 
Hakusema yote hayo.huoni aibu kuongea uongo?
Rais kasema atamtuma waziri kuja kuchunguza kama bei ni kubwa ili aweze kuondoa makato KAUWASA na SHWASA
Haupo sahihi, Jamaa ameandika sahihi kabisa kuwa iwapo bei itakuwa kubwa atashusha na kama ni ndogo atapandisha
 
Hakusema yote hayo.huoni aibu kuongea uongo?
Rais kasema atamtuma waziri kuja kuchunguza kama bei ni kubwa ili aweze kuondoa makato KAUWASA na SHWASA

Hukuwa na ulazima wa kunitukana kuniita Muongo!

Pitia comment no.14,16,17,18 na 19.
 
Back
Top Bottom