Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Kama unamaanisha mimi...
Mara nyingi naona watu wanachanganya Nifah na Tiffah...
Mimi ni Nifah mkuu.
Asante sana.
Dangooteee's daughter naona anakupa cheo si unajua mtoto yule ni maarufu kuliko hata babu yangu ?
 
Shwain mwenyewe.ukisikia roho mbaya ndio hii. Mbali na hii hadithi.humu kuna chatting na utani wa hapa na pale mwingi tu.ila hili dogo tu ndio ndio umeona utoe kasoro.
No usinge mrudishia tusi bwana mstaarabu huwa halipizi mpe asante ajione mjinga
 
Mkuu The bold naomba unapoweka nyuzi kama hizi unitag.mimi ni mpenzi wa mimuvi kama ya kijasusi kiterorist nakadhalika.hapa unenifikisha
 
Big up mkuu, The bold hii series inakosa scene fulani fulani hivi amaizing, usikaze sana, james bond movies unaziangaliaga lakini??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Umesomeka loud and clear.. Episode ya kesho utaipenda!! Kama nawaona wanachama wa chaputa watakavyo maliza sabuni za jamaa madukani..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Umesomeka loud and clear.. Episode ya kesho utaipenda!! Kama nawaona wanachama wa chaputa watakavyo maliza sabuni za jamaa madukani..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siwezi kusubiri my love.
Ila itabidi wakati wa kusoma kama ndio mambo yenyewe hayo uwe karibu [emoji85].
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siwezi kusubiri my love.
Ila itabidi wakati wa kusoma kama ndio mambo yenyewe hayo uwe karibu [emoji85].
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Mimi tena! Sichezi mbali kesho baada ya kutupia episode.. [emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo hiyo episode itakuwa 'catalyst'?
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Shoo ya kibabe [emoji123] [emoji123] [emoji35]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom