Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
bye see you soon maana muda unakaribia na ndo nmeingia home now wacha nikakoge kabiisaa! The bold hongera maana unafanya narudi nyumbani mapema viwe vijiwe vyangu sipitii kabisa tangu juzi?
 
Unaanzaje kusahaulika sasa?
Impossible my sista.
Jamaa akitaja viunga vya Kilosa ananikumbusha madafu wakat nasoma huko,na ndo nilikozaliwa,akitaja Kilombero ndo kwa mama naendaga kula KAMBALE NA KITOGA.
Akitaja Dark City nakumbuka maisha yangu wakat naish Mazimbu Campus.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shemela Nifa hujambo Mama nakukubali kwa ushawishi wako kwa the Böld sijui umempaa nini??[emoji85] [emoji85] [emoji85] nawaza tuu
Sijambo mkuu...

Hakuna cha zaidi ya kumpenda kweli,kumheshimu na kumjali.

Zaidi ya yote...nampenda kweli,ndio maana yupo kwangu maridhia.[emoji4]
 
The bold tusushie basi episode ya nne brother....we are waiting
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom