Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,371
Honey,nakuhitaji PM pls.Hahahahaha! Kuwa na subira unaweza huko mbele ukajuta kutamani kuwa chairman..
Njoo baby...am waiting [emoji8]
Honey,nakuhitaji PM pls.Hahahahaha! Kuwa na subira unaweza huko mbele ukajuta kutamani kuwa chairman..
coming babes!Honey,nakuhitaji PM pls.
Njoo baby...am waiting [emoji8]
Honey,nakuhitaji PM pls.
Njoo baby...am waiting [emoji8]
Hahaa nyie watu nyie... Nendeni watsap zenu msijaze server za jf hahaacoming babes!
Wewe ni nani JF hii?Hahaa nyie watu nyie... Nendeni watsap zenu msijaze server za jf hahaa
Max & Mike kwa pamojaWewe ni nani JF hii?
Max?Mike?
Kama sio shut up and mind your own business.
Hata mie jamaniNaomba siku nyingine namimi unikumbuke katika comment kama hii!
Thanksthanks chief. ubarikiwe sana
Kaka naomba unitag hiyo jumapilicoming babes!
Mkuu! Hebu jitahidi tusitaje majina ya watu tafadhali.. Kila mtu abaki na tafsiri yake kichwani..Mbunge ni zitto kabwe
Mfanyabiashara ni reginald mengi
Nimependa hapo kwa msagasumu na gentamysin......
Mbona ujaweka post ya niffah?
Baba bite amepAnga jirani na ray ili kuhakikisha yupo safe ila ni THE BOARD..
STORY Hii imenifanya niache kusoma wakati nna test next week.......
HonGera sana The bold
Episode 3 inatoka j'pili Mkuu..Daah !!!! Kila mda lazima nipitie huu uzi ili kujua kama episode 3 imetoka, Aisee yani nimeamini kusoma kitabu cha mwandishi mzuri kunanoga kuliko kuangalia muvi ya director mzuri.
Najiskia aibu kupata burudani hii nzuri bila kulipa
Mkuu kwanza nakupongeza sana kwa kipaji ulicho nacho. Hii simulizi ni nzuri sana kuanzia mtililiko mazingira mpaka namna ya kufikirisha.Bila shaka! Nitakutag scorpnose
nifah mwenzio anakutania tuu usimmind kiivyoooWewe ni nani JF hii?
Max?Mike?
Kama sio shut up and mind your own business.