Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
- #421
So sory Mkuu!Bado umenisahau
Tayari mimeshaongeza jina lako kwenye taglist..
So sory Mkuu!Bado umenisahau
Bila shaka Mkuu! Nimeshhongeza jina lako kwenye taglist..Naomba uwe wanitag na miyeee
Shukrani Mkuu!sijui nisemeje but kiukweli hii hadithi imekuwa nzuri kutokana na ujuzi wa KICHWA The bold.mkuu hamna kitu kigumu kama kuwazuia watu wasitaje assumption zao sababu kuu ni kwamba story inawatengenezea picha flani katika ubongo kiasi cha kusisimua na ku solve puzzle mbalimbali kwa kuunganisha dots automatical.
Pamoja mkuu ngoja nibonyeze nisomeNenda pale mwanzoni kwenye ile Episode 1 (post # 1) mwishoni kabisa utakuta link imeandika "soma episode 2 post # 282" . bonyeza hiyo link itakupeleka moja kwa moja post # 282 (Episode 2)
Niwie radhi Mkuu.!The bold ulisau kunitag mkuu
Mkuu na mm nakubali sana post zako. Ukinitag itakua ya kupendeza zaidiNiwie radhi Mkuu.!
Tayari nimeongeza jina lako kwenye taglist
Sawa Mkuu! Tayari nimweka jina kwenye taglistMkuu na mm nakubali sana post zako. Ukinitag itakua ya kupendeza zaidi
Namm basi nitagSawa Mkuu! Tayari nimweka jina kwenye taglist
What? Bae hajakuweka ktk list?Namm basi nitag
Tanx a lot mamyWhat? Bae hajakuweka ktk list?
Yani wewe hukustahili hata kuomba,consider it's done my dear.
Cheki hapo kwenye taglist utaona jina lako..Namm basi nitag
Uvivu mbaya huu aisee nijifunze kuachaCheki hapo kwenye taglist utaona jina lako..
Kabla hata hujaniomba nimeshakutag tayari [emoji4]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]What? Bae hajakuweka ktk list?
Yani wewe hukustahili hata kuomba,consider it's done my dear.
In shaa allah! Mwaka huu mwishoni mwishoni utasikia anaanza kukusumbua umletee maembe mabichi.. [emoji4]Uvivu mbaya huu aisee nijifunze kuacha
Sikuona kajina kangu
Mungu akubariki mlete katoto kazuri kakike mwanangu aoe
Asijali nitambebea ndoo nzima pamoja na ndimu za kutosha hadi miezi 9 asiwe anasumbua sumbuaIn shaa allah! Mwaka huu mwishoni mwishoni utasikia anaanza kukusumbua umletee maembe mabichi.. [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asijali nitambebea ndoo nzima pamoja na ndimu za kutosha hadi miezi 9 asiwe anasumbua sumbua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] honey you crazy Wallah [emoji85] [emoji85] [emoji85]In shaa allah! Mwaka huu mwishoni mwishoni utasikia anaanza kukusumbua umletee maembe mabichi.. [emoji4]
Haaaaa,weee unadhan nitamwangusha wifi yangu mzur aka Cheupe asijali kabisaaa nipo kumwangalia yy mbona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ninavyomjua tayari amenote hiyo ahadi kwenye notebook.. Sasa ole wako usitimize [emoji23]