Wapenda genre gani zaidi? mm napenda sna ngumu kumeza zenye uhitaji wa akili nyingi kuzielewa(ujasusi) labda na mikasa ya maisha, pia nakushauri nenda play store search hadithi app,Hilo neno wangu
Wajibika
Naww muda mwema
Usisahau kunitag kwenye vistory vizuri vizuri
Ahsante ngoja nikimbie huko ulikonambiaWapenda genre gani zaidi? mm napenda sna ngumu kumeza zenye uhitaji wa akili nyingi kuzielewa(ujasusi) labda na mikasa ya maisha, pia nakushauri nenda play store search hadithi app,
sikufichi utaipenda simu yako coz mda wote utakuwa nayo bize
Leta mrejesho ukifanikiwaAhsante ngoja nikimbie huko ulikonambia
Hahahah! Nakuelewa sana Mkuu, unacho maanisha.. Ile Kiu ya kusubiri next episodeHapa ndipo napozichukia (kwa uzuri) series, yani kusubiria muda mrefu huku ukitengeneza episode ijayo kichwani... Tafadhali nyie mnaotaja taja majina ya watu halisi kulinganisha na characters wa hii series mnatuharibia, hatuchelewi kuambiwa hadithi imesitishwa mpaka hapo badae, nchi hii wa kujistukia wapo sana. Hata huko kwa wenzetu wa nje series nyingi tu zimekua cancelled kwa critics za namna hii kutoka kwa watazamaji.
I wish ingekuwa movie..daah the bold plus the board halafu me ndo chairmanMungu anakuona ujue![]()
![]()
![]()
baba bite ni mwanaboard na anamjua ndugu ray ndo maana anamjali kiasi fulani na nina hisi ni mwana tiss
halafu atuambie jpli saa ngapi ili tuandae popcorn za chocolate mapeeemaVery good stori...........ila mkuu The bold hujanitendea haki kutonistua, yaani post ya mwaka jana ndio naigundua leo,,,,,,,,,,hahahaaah.
baba bite ni spy niko naye mossadOooooh Mungu tuwekee tu leo jumapili usiweke.Nahisi baba bite ni shoga ila nawaza tu
Asante sana mkuu, nimeiona tag hivi sasa nadhani notification tu ndio imesumbua kunifikia.Mbona nimekutag Mkuu! Tazama hapo kwenye orodha ya niliowatag, sema muda mwingine notification zinasumbua kufika.. Nashukuru umeuona uzi
Hii kitu tamu sana aisee.halafu atuambie jpli saa ngapi ili tuandae popcorn za chocolate mapeeema
Hee, shoga tena? Ndiye aliyemtoa Tony na demu wake Polisi.Oooooh Mungu tuwekee tu leo jumapili usiweke.Nahisi baba bite ni shoga ila nawaza tu
Yeah notification zinachelewa sana sometimes..Asante sana mkuu, nimeiona tag hivi sasa nadhani notification tu ndio imesumbua kunifikia.
Hahahahaha! Kuwa na subira unaweza huko mbele ukajuta kutamani kuwa chairman..I wish ingekuwa movie..daah the bold plus the board halafu me ndo chairman