wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,171
- 1,129
Mkuu nimekupata maana toka mchana nilikuwa sichezi mbali na windo la Simba mimi kama fisi najua muda wowote nitamalizia baada ya simba kufanya yake tuko pamoja kama samaki na maji.
Mkuu sorry ila nilirekebishaaLee empire usi-quote hadithi yote mkuu.
Kua jasusi kama baba bite.
Mimi naweza nikaacha kula...nikaisoma!..Hizi story za the Bold huwa ni tamu ILA kuisoma Yote kunahitaji ujasiri wa John Faru
Mimi natamani ile game ya ray na cheupe ingeendelea maana si kwa mkamiano uleJamani namuwazia tu hapa baba bite
jamaa kanywa vi Windhoek viwili tu kashajitangaza mshindi tayri
Hujasoma warning hapo juu mkuu??The bold nice job
Bernard Shayo=Regnald M.e.ng"i?
Zuberi Zephania=Kigoma mjini moja?
Ila asante kwa stori
Hahahhaa baba bite noma ngoja nijipachike hilo jina nahisi nitakuwa msaada mkubwa kwa cheupe siku ray akitekwaLee empire usi-quote hadithi yote mkuu.
Kua jasusi kama baba bite.
Mbna mm nasoma dk 20 tu na yote inakaa kichwani? nina waswas ulikuwa mbovu katka imla..Hizi story za the Bold huwa ni tamu ILA kuisoma Yote kunahitaji ujasiri wa John Faru
Wazo zuri ili sisi na tecno zetu tuweze kusoma vizuri..yes nadhani ni vizuri mods wakizipandisha pale page ya kwanza.. ila zisikae kwenye post moja.. ingekuwa vizuri post # 1 ikae episode 2, post # 2 ikae episode 2 na kuendelea..
mods tusaidieni kwenye hilo.. JamiiForums Maxence Melo Mod 1 Mod 2 Mod 3 Mod 4 Mod 5
Hahahhaa baba bite noma ngoja nijipachike hilo jina nahisi nitakuwa msaada mkubwa kwa cheupe siku ray akitekwa
thanks chief. ubarikiwe sanaNEW EPISODE (EPISODE 2) POST # 282
Divine... glory to yhwh Nifah BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga succinate coA hydrogenase SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea Shareef Conscious wambeke The Boss deejay Nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly The Wolf Firegironsa everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Juma chief Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope mamaafacebook II JEKI likikima Compact scorpio me G'taxi gambada ynwa adna yuzo ntamaholo Otorong'ong'o naan ngik-kundie kandukamo1 AFRICA101 mwalidebe Kobe Blaki Womani kalendi savius The Great Emanuel r2ga Ntaluke.N. Transcend Msemachochote Mchumiajuone mwampepec MTOTO WA KUKU Fukara proto cute kawombe zinginary MLALUKO JR Vupu barafu BlackPanther @ntunzu Matola impongo ntamaholo Mkoroshokigoli Deadbody King Easy mahoza @mosolo kkenzki deborah1 Mazigazi KIDUDU
Ilikuwa hatari sana wangekomanaaMimi natamani ile game ya ray na cheupe ingeendelea maana si kwa mkamiano ule![]()
![]()
![]()
jamaa kanywa vi Windhoek viwili tu kashajitangaza mshindi tayri
![]()
![]()
![]()
![]()
sikuachi pombe maana unanifanya namuona mama chanja mupya kila siku,
Hahaha eti " leo nitakuonesha" vibia viwili tu kashajiona supermanIlikuwa hatari sana wangekomanaa
Hahahha kichwa chake hakifui dafu mbele ya the board ww? nahisi atajitenga nao baada ya kuguswa familia ya cheupe so kwakuwa ameshakuwa partner lazima afanyiziwe asitoe siri za kambi? hyo nafasi ndo mm "baba bite" nitaitumiahahahaha unatumia fursa.....Ray kichwa ngoja na mie niendelee kuunganisha dots
Baba bite angesubilia kupambazuke make ya msaga sumu yalikua hayajaingia kichwaniHahaha eti " leo nitakuonesha" vibia viwili tu kashajiona superman
nilijawa na wivu mkuu, nchi inamajonzi alafu wao wanawaza ujinga, kwanza hawajaoanaBaba bite angesubilia kupambazuke make ya msaga sumu yalikua hayajaingia kichwani